Koffi hatunaye mtaani

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,113
16,021
Wadau wa mandombolo na rhumba.
Mzee wa tukunyema ,wa zamani amelaMbwa kichwa miaka 18 huko France.
Kesi ya yule dancer mahiri wa zamani sijui ilikuwaje wakatofautiana ndio aliemshtaki..
Miaka miwili Mopao akagoma kutia mguu France..
Wakampa go on akajisahau km wale mabeberu tu wanamlia timming.
Kumbuka Mokonzi ana family kule,mke na watoto na anawahudumia via vizuri tu.Binti yake Didier la stone ni model mkubwa tu huko,Mama Didier Aaaliyah ni mtu mkubwa tu huko.
Imetokea Unyafuzi tu toka kwa huyu dancer wake..
Wamemlaghai Mopao kama madai yameisha ana haki kwenda kule kumbe timming wamfunge.
Sasa masebene sijui itakuwaje,
Tukumbuke alibaki yeye tu baada ya Papa Wemba kudondoka jukwaani na kufariki.

Anyway juzi tu alikua anaandaa singo inaitwa KUMAMA.
Haijatoka washamlamba.
Hii tabu sana hii.
 
Back
Top Bottom