mtaani

  1. R

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa Tanzania ni matokeo ya mfumo mbovu wa Elimu yetu, kujaza wenye Degree mtaani ni ujinga mkubwa sana

    Nchi yetu ni Maskini sana na wananchi wake ni maskini sana ,kiasi kwamba bado kuna wanakufaa kwa kukosa Matibabu ,Njaa na kukosa malazi. Najiuliza sana Hawa Wasomi waliopo serikalini na kwenye Uongozi wanatudia kweli? Sababu kubwa ikiwa ni Siasa ndani ya mfumo Elimu .Nchi yetu ina Mali asili...
  2. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iweke aina rangi za kupaka kwenye nyumba maana naona rangi za ajabu mtaani

    Rangi aina nne au Tano zitasaidia kuepuka maajabi ya rangi za ajabu. Lkn lazima Kuna rangi za Kupiga marufiku kitumia. Kwa mfano. Black Lazima nyumba zitapendeza. Angalia nyumba za bongo zingependeza Sana kama wangepewa option.
  3. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya Lengai Ole Sabaya yaahirishwa hadi Juni 10, 2022

    Hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita inatarajiwa kusomwa leo Mei 31, 2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Kesi hiyo imeendeshwa tangu ilipoanza Julai, 2021. Hukumu hiyo inatarajiwa kuamua hatima ya kiongozi...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtoto aliyepotea kwao asema alifanywa ombaomba mtaani

    Mtoto Patrick Dickson ambaye alipotea kwao kwa siku kadhaa mwanzoni mwa mwezi huu Mei 2022 amepatikana na kusimulia kuwa alikuwa akitumikishwa katika kazi ya kuombaomba mtaani pamoja na kuvutishwa sigara. Mtoto huyo ambaye alipatikana Mei 23, 2022 amesema: “Siku ya kupotea kwangu nilitoka...
  5. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Vijana waliohitimu Kidato cha Sita ni muda sahihi kukaribishwa mtaani

    Habari wanajukwaa. Naona tumeomgezeka kundi lingine la watu wazima mtaani wameingia. Wakaribishwe ni wageni huku Mana walizoea shuleni kubanwa na nyumbani. Wakishaingia chuoni waweza mpangia nyumba nzima ukalala naye mpaka asubuhi Mana before alikuwa anaonja bata anaogopa kuwa atachelewa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Mitaala ya shule ifundishe maisha halisi Ili kumfanya mwanafunzi kuyamudu maisha pindi arudipo mtaani

    Ni wazo langu kwamba Serikali iangalie mitaala yetu Ili kuwafundisha WATOTO maisha halisi Ili warudipo mtaani wasihangaike kutafuta ajira. Kwa mfano masomo ambayo yamechukua nafasi ya SoMo la sayansikimu ya miaka ya tisini kwa sasa ni butu kabisa kwa sababu WATOTO hawajui hata kufua na kupasi...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwani kimetokea nini huko Chamazi? Mtaani mashabiki wa Simba wanatembea na mawe.

    InashangaZa mashabiki wa timu kubwa kutembea na mawe mifukoni, mmekumbwa na nini?
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Taja kitu kilichopanda bei mtaani kwenu, Mimi nitaanza...

    Habari! Huku mtaani kwetu Chanika unga wa sembe unapanda bei kwa kasi. Kila nikienda mashine kununua unga siku hizi nakutana na bei mpya. Vitu vingi vilivyouzwa jero sasa ni mia 6 na vile vya buku sasa buku na mia 2. Leo nikiwa kazini mjini nikapitia cafe ya karibu nakuta vitafunwa vimepanda...
  9. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaishije huko mtaani wakati hamna ajira wala hamjajiajiri?

    Jamani hali ya ajira si shwari, kuna watu wamesugua benchi miaka zaidi ya mitatu achilia mbali wale junior jobless, huku hawana ajira wala hawajajiajiri😓😓😓 Inasikitisha sana hii hali ndani ya nchi yetu. Hebu tujuzane, ni mbinu gani mnaitumia kuendelea ku-survive?
  10. Ibrahim daud

    JamiiForums Tanzania Eti hapa mtaani Hawa jamaa hawana kazi kila siku wanalewa

    Kuna wasela hapa mtaani kila siku yani wanakunywa pombe kila siku Ipoje hii
  11. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya 'Jobless Graduates' wanaishije mtaani miaka yote?

    Habarini ndugu zangu. Ukiwa Chuo unawezeshwa na wazazi au Bodi ya Mikopo kwa ajili ya malazi, chakula, mavazi na mengineyo mengi, na hivyo kupata hadhi/status ya kuonekana kweli kijana wa Kitanzania.Kuna vijana hujibana na kununua mpaka simu, vitu vidogo vya ndani na mwishowe wengine hupata...
  12. Cicadulina

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima rasmi mtaani leo

  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miaka minne aiba gari la mama yake aingia nalo mtaani

    Mtoto mwenye umri wa miaka minne amenusurika kuumia baada ya kupata ajali ya gari alilokuwa akiendesha mtaani bila ruhusa kutoka kwa wazazi wake Nchini Uholanzi. Polisi wa Kituo cha Utrecht wamesema mtoto huyo akikwangua gari hilo katika maeneo mawili ya kuegesha magari baada ya hapo akaondoka...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Tujuzane Je, Mbinu gani mnatumia kuwalipa ulinzi shirikishi mtaani kwenu ili kuepuka upigaji?

    Ulinzi shirikishi ni jambo zuri sana! Maeneo ya vijijini limeonyesha kufaulu kwa asilimia kubwa kutokana na watu wake kujitolea au kupangwa kwa zamu! Tatizo kubwa la ulinzi shirikishi mjini una harufu ya upigaji! Kuna wakati huwa nashawishika kuamini huenda PANYA ROAD ni PROJECT? Kwasababu...
  15. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa matukio ya wizi mtaani tofauti na awamu iliyopita. Je, chanzo ni nini?

    Kwa maeneo niliyopo, kusemaukweli awamu iliyopita kulikuwa na utulivu kwa kiasi kikubwa. Vijana wengi walihofia kuwekwa ndani na hivyo kujiepusha na matukio ya uhalifu. Wengi wao walijishughulisha kwa bidii kwa kufanya shughuli mbalimbali kama vile biashara ndogondogo (machinga) ufundi na kazi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa sana alilolifanya Rais Samia la kusema vitu vitapanda bei hadharani linazidi kutugharimu sana mtaani!

    Nashangaa sana kwakweli Rais alifanya mistake kubwa sana kutamka hadharani kua vitu vitapanda bei, hii kauli yake inazidi kutugharimu sana, mamlaka za serikali ziko kimya watu wanapandisha bei hovyo, tukianza na swala la nauli, nauli baadhi ya sehemu zimepanda 100% wakati mafuta...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Watoto wa mtaani wa Arusha

  18. blogger

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaomaliza kidato cha nne wanakaa sana mtaani

    Mwanafunzi anakaa mtaani,zaidi ya miezi saba. Hivi hii ni sahihi kweli!? Why wasianze,masomo mwezi wa pili? Sio sawa kabisa kwani,wengi hupotea hapo.. Maoni yenu.
  19. T

    JamiiForums Tanzania Ninayoyasikia mtaani juu ya watumishi wa Umma katika awamu ya sita yanatisha

    Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma. "Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa aelezea Ligi ya Vipaji ya Samia ambayo itafanyika Mtaa kwa Mtaa, Kijiji kwa Kijiji, Nchi Nzima

    SAMIA CUP SAKA VIPAJI MTAANI KWAKO Tarehe 24/3/2022, DODOMA Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Mchengerwa, akiwa anazungumza katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ameelezea dhamira yake ya kuleta mageuzi makubwa katika Tasnia za Utamaduni, Sanaa na Michezo...
Back
Top Bottom