Maandamano makubwa yaendelea Libya, vijana waingia mtaani

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Libya.JPG

Kuongezeka kwa bei ya bidhaa na kuendelea kwa migogoro ya kisiasa imetajwa kuwa sababu ya wakazi wa Libya hasa vijana kudai kuwa wanaendelea na maandamano katika Mji Mkuu wa Tripoli hata baada ya kuandamana usiku kucha.

Maandamano ya hivi karibuni yameshuhudia matairi yakichomwa moto na barabara kufungwa huku maafisa wa usalama wakitazama bila kuingilia kati.

Libya 1.JPG

Maandamano yameendelea kusambaa katika Mji wa Beni Walid na Mistara, ambapo kundi la vijana linalojiita BELTRESS limesema litaendeleza maandamano Tripoli.

Kundi hilo linaitisha uchaguzi pamoja na kuvunjwa kwa serikali mbili hasimu pamoja na mabunge tofauti yalioko. Hasira miongoni mwa wakazi zimechochewa na ukosefu wa umeme kwa hadi saa 18 kwa siku, wakati huu wa msimu wa joto, licha ya taifa hilo kuwa lenye utajiri mkubwa zaidi wa mafuta barani Afrika.

Taifa hilo limekumbwa na misukasuko ya kisiasa tangu mwaka wa 2011, baada ya muungano wa NATO kumuondoa madarakani na kumuua kiongozi wa muda mrefu Moamer Kadhafi.

Source: France24

=================

Libya protests planned over power cuts, political deadlock

Libyans angered by rising prices, chronic power cuts and political deadlock planned further demonstrations Monday after a night of angry protests across the capital.

Masked youths set alight car tyres and blocked roads including a major coastal highway between central Tripoli and its western suburbs, but security forces did not intervene.

Videos carried by local media also showed demonstrations in Beni Walid and the port city of Misrata.

A youth movement calling itself "Beltress" said further protests were planned in Tripoli's Martyr's Square at 4:00 PM local time (1400 GMT).

The movement demands elections and the dissolution of both the country's rival governments and their two houses of parliament.

Public anger has been fuelled by power cuts that often last 18 hours amid soaring summer temperatures, despite Libya sitting on Africa's largest oil reserves.

The vast country has been mired in political unrest and armed violence since a 2011 NATO-backed uprising toppled and killed dictator Moamer Kadhafi.
 
Yote haya aliyataka yule gaidi Gaddafi..give people freedom..if they think they are free hawawezi kukusumbua.

Ona sasa aliamini kuwapa umeme na maji bure ndio kuwaridhisha..huku akuwagandamiza wenye mlengo tofauti nayeye na kuminya uhuru wa kutoa maoni na kuchagua na kuguliwa viongozi wawatakao.

Yaliyotokea libya gaddafi ndiye chanzo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Marehemu ndiye ameleta hali ngumu ya maisha Kwa wananchi mpaka wameandamana?
Waende wakale Kwa Baba Yao US aliyewaingiza choo Cha kike!
 
Yote haya aliyataka yule gaidi Gaddafi..give people freedom..if they think they are free hawawezi kukusumbua.

Ona sasa aliamini kuwapa umeme na maji bure ndio kuwaridhisha..huku akuwagandamiza wenye mlengo tofauti nayeye na kuminya uhuru wa kutoa maoni na kuchagua na kuguliwa viongozi wawatakao.

Yaliyotokea libya gaddafi ndiye chanzo.

#MaendeleoHayanaChama
Apo ndo mwisho wako wa kufikiri?
 
View attachment 2280905

Kuongezeka kwa bei ya bidhaa na kuendelea kwa migogoro ya kisiasa imetajwa kuwa sababu ya wakazi wa Libya hasa vijana kudai kuwa wanaendelea na maandamano katika Mji Mkuu wa Tripoli hata baada ya kuandamana usiku kucha.

Maandamano ya hivi karibuni yameshuhudia matairi yakichomwa moto na barabara kufungwa huku maafisa wa usalama wakitazama bila kuingilia kati.

View attachment 2280907

Maandamano yameendelea kusambaa katika Mji wa Beni Walid na Mistara, ambapo kundi la vijana linalojiita BELTRESS limesema litaendeleza maandamano Tripoli.

Kundi hilo linaitisha uchaguzi pamoja na kuvunjwa kwa serikali mbili hasimu pamoja na mabunge tofauti yalioko. Hasira miongoni mwa wakazi zimechochewa na ukosefu wa umeme kwa hadi saa 18 kwa siku, wakati huu wa msimu wa joto, licha ya taifa hilo kuwa lenye utajiri mkubwa zaidi wa mafuta barani Afrika.

Taifa hilo limekumbwa na misukasuko ya kisiasa tangu mwaka wa 2011, baada ya muungano wa NATO kumuondoa madarakani na kumuua kiongozi wa muda mrefu Moamer Kadhafi.

Source: France24

=================

Libya protests planned over power cuts, political deadlock

Libyans angered by rising prices, chronic power cuts and political deadlock planned further demonstrations Monday after a night of angry protests across the capital.

Masked youths set alight car tyres and blocked roads including a major coastal highway between central Tripoli and its western suburbs, but security forces did not intervene.

Videos carried by local media also showed demonstrations in Beni Walid and the port city of Misrata.

A youth movement calling itself "Beltress" said further protests were planned in Tripoli's Martyr's Square at 4:00 PM local time (1400 GMT).

The movement demands elections and the dissolution of both the country's rival governments and their two houses of parliament.

Public anger has been fuelled by power cuts that often last 18 hours amid soaring summer temperatures, despite Libya sitting on Africa's largest oil reserves.

The vast country has been mired in political unrest and armed violence since a 2011 NATO-backed uprising toppled and killed dictator Moamer Kadhafi.
Ila wazungu wana mambo sana. Kujifanya kuikomboa Libya kumbe wana yao. Angalia walivyoisambaratisha Libya! Haitamaniki. Iko vipande pande. Haieleweki hata inakwenda wapi! Iraq na Afghanistan hivyo hivyo! Israel kule inaua Wapelestina kama kuku wala hawatoi neno!
Leo Urusi kavamia Ukraine eti wanajifanya wakarimu kupokea wakimbizi, kupeleka silaha na kulaani ile mbaya!
Kichwa umiza sana hawa watawala dunia 🥵😡🤬
 
Yote haya aliyataka yule gaidi Gaddafi..give people freedom..if they think they are free hawawezi kukusumbua.

Ona sasa aliamini kuwapa umeme na maji bure ndio kuwaridhisha..huku akuwagandamiza wenye mlengo tofauti nayeye na kuminya uhuru wa kutoa maoni na kuchagua na kuguliwa viongozi wawatakao.

Yaliyotokea libya gaddafi ndiye chanzo.

#MaendeleoHayanaChama
Acha kumuhusisha Gadafi na ujinga wao wa kuchagua dhiki
 
Ghadafi aliwafuga wananchi wake kama MAZOMBI ya zumaridi, aliamini kuwa sngetawala milele au hayo mazombi yasingeamka kudau uhuru , haki na mgawanyo sawa wa keki ya taifa.

Alikuwa akishawapumbaza kwa mahari slikuwa anatumia asilimia kubwa ya mali za nchi kujenga nyumba za ibada kwenye nchi nyingine ili kueneza dini hiyo.

Ilikuwa ni suala la muda tuu, sasa yameamka mazombi yale yaliyokuwa yanalipiwa mahari yanataka uhuru kamili
 
Ona sasa aliamini kuwapa umeme na maji bure ndio kuwaridhisha..

Yaliyotokea libya gaddafi ndiye chanzo.

#MaendeleoHayanaChama
Ninyi ndo vijana wa hovyo tunaoambiwa.

Hapo juu wamelalamika kukosa umeme kwa zaidi ya saa 18 wewe hulioni kama ni tatizo lawama unampelekea aliyekuwa anawapa hivyo vitu kwa uhakika.

Unajitambua kweli?
 
Let them go to hell,walitumika na mababeru kumuondoa Ghadaffi leo wako wapi? Tujifunze sisi ngozi nyeusi Mzungu hana huruma na sisi zaidi ya matakwa yake na lengo lake,vikishatimia hawezi kuangalia nyuma,tujifunze hata huyo mama yenu anayewatukuza ajue kwamba hana future na ngozi nyeusi zaidi ya ukoloni mamboleo,atajikba kuwatembelea mwisho wa siku tutaumia.
 
Huyo ghadafi ( LANA TULLAH) ndiye aliyesababisha hayo yanayotokea leo

Alikuwa ni kiongozi wa hovyo na wa ajabu kuwahi kutokea duniani, badala ya kuandaa vijana wa kujiyegemea anawalea kama mazuzu hadi anayalipia mahari?

Alisababisha instability katika nchi nyingi za kiafrika kwa kuandaa na kufadhili makundi mengi yanayosumbua Afrika leo

Ndiye huyu huyo sliyetuma majeshi yake kuja kuua damu zisizo na hatia za Watanzania akimsapoti Idd amini nduli ambaye slikuwa anamuanda kuzivamia nchi zote za afrika mashariki ili amfanye amiri wa eneo hili kupitia sera yake ya Afrika moja dini moja
 
Ghadafi aliwafuga wananchi wake kama MAZOMBI ya zumaridi, aliamini kuwa sngetawala milele au hayo mazombi yasingeamka kudau uhuru , haki na mgawanyo sawa wa keki ya taifa.

Alikuwa akishawapumbaza kwa mahari slikuwa anatumia asilimia kubwa ya mali za nchi kujenga nyumba za ibada kwenye nchi nyingine ili kueneza dini hiyo.

Ilikuwa ni suala la muda tuu, sasa yameamka mazombi yale yaliyokuwa yanalipiwa mahari yanataka uhuru kamili
Wee ni taira sana naona unatetea watu makosa Yao Kwa kigezo cha demokrasia taira kabisa vp pale Saudia kuna demokrasia, vp pale Dubai, uingereza na nchi nyingi za ulaya zinazoudumia familia za wafalme Kwa Kodi za wananchi mjinga kabisa
 
Yote haya aliyataka yule gaidi Gaddafi..give people freedom..if they think they are free hawawezi kukusumbua.

Ona sasa aliamini kuwapa umeme na maji bure ndio kuwaridhisha..huku akuwagandamiza wenye mlengo tofauti nayeye na kuminya uhuru wa kutoa maoni na kuchagua na kuguliwa viongozi wawatakao.

Yaliyotokea libya gaddafi ndiye chanzo.

#MaendeleoHayanaChama
Utakua unawashwa na fangasi kwenye korodani
 
Back
Top Bottom