mtaani

  1. Russia is not your enemy

    JamiiForums Tanzania JF kama mtaani kuna mitu ina roho za korosho

    Yaani ndio tungelikuwa na tunamtaa wetu wenye roho Mbaya utawaona tu. Nimewauliza pasaka lini hadi Leo hawajanijibu, eti nqkutanq nayo hii hii lfaji r. Wengine ttumekesha wote jf usiku wa manane. Wakina Kalamu Yangu Window7 Galamtogela Extrovert Mashimba Son Massimba Jr
  2. Ndondocha mkuu

    JamiiForums Tanzania Hali halisi ya maisha huku mtaani

    Habari ya jion wana JF, Ni miezi kadhaa tangu niandike uzi wangu mara ya mwisho ndani ya jf, ni katika harakati za kuendelea kupambana na maisha ya mtaani hasa kwa sisi graduates. Nikiwa nimekaa mahali napo patia ridhiki juzi nilipitiwa na dogo ambaye nilimuacha akiwa first year pale SUA akiwa...
  3. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Isingekuwa uwezo wa Mungu leo ningekuwa marehemu na mtaani kungekuwa na misiba na majeruhi wengi siku ile

    Tulikuwa tunaishi karibu na barabara kubwa ya lami, upande wa pili wa Ile barabara kulikuwa na kibanda flani Cha abiria wanakaa hapo kusubiria magari(checkpoint) ni Cha muda mrefu kilikuwa hakitumiki, Vijana tuliokuwa tunaishi maeneo Yale tulifanya Kama kijiwe Cha story,tunacheza drafti nk.(sio...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mpanda hali ni mbaya, Watoto wengi hawaendi shule, wanaingia mtaani kufanyabiashara, Serikali iko wapi?

    Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbalimbali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi. Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za kuboresha...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aina mpya ya Dawa hatari za Kulevya yaingia mtaani

    Vita dhidi ya dawa za kulevya inazidi kuwa mbichi. Hivi sasa watumiaji wa ulevi huo, wamekuja na mbinu nyingine ya kutumia dawa za kutibu binadamu kama mbadala wa dawa za kulevya. Mbinu hiyo ni matumizi ya dawa aina ya methamphetamine’ ambayo kwa sasa inatumika kwa kasi na kuanza kuwa tishio...
  6. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mchele umeshuka Bei, nipo hapa mtaani naona mchele mzuri bei 2600

    Nimenunua mchele mzuri hapa Temeke 2600 ndio naenda kupika pia kwa pembeni nimeona Mwingine sh 2500 mzuri na wenyewe pia. Hakika Jambo hili ni Jambo Jema Sana kiukweli. Update Mchele ni mtamu Sana ndo napakua Muda huu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo degree ambazo zimesambaa mtaani

    Degree ambazo zimesambaa mtaani na wengine WANAFUNGUA MADUKA NA KUJIAJIRI KWA PAMOJA TUNAITA KUPAMBANA: DEGREE ZENYEWE NI HIZI: Ualimu, Human Resource Economics Law Procurement and supply, Secretary Banking and Finance, Community Development, Public Relation, Business Administration, Record...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Sitaki kukumbuka matapeli wa kanyaboya. Niliwapa hadi simu yangu ili nikomboe pesa niliyopewa kununua bia za baba, mshua alinitembezea kipigo kikali

    2008 hiyo Mshua alikuwa anapiga kazi zake za wiki lakini ikifika Ijumaa mida ya saa mbili flani hivi anapiga vyombo vyake kistaarabu kabisa hana kelele wala fujo na ni ndani sio bar. Nilipewa takribani elf 10 kuchukua lvinywaji alivyoniagiza, enzi hizo ni pesa kubwa hii. Nilipita sehemu...
  9. Desierto

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kupiga watu mtaani inakuwaje?

    Haya matukio ya raia kupigwa na wanajeshi mtaani hutokea pale ambapo mwanajeshi mwenzao kafanyiwa kitendo kibaya na watu wasiojulikana hasa labda imetakea mwenzao kaibiwa, kaumizwa, kauliwa, nk. Nimewahi shuhudia matukio haya ambayo yaliwafanya watu kuishi kama wakimbizi maeneo ya Dar Kigamboni...
  10. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Kwanini noti ya elfu moja au maarufu kama "buku" inatamba sana mtaani siku hizi?

    Habari za leo wana JF? Ni kama miezi mitatu hivi nimeanza kuona hizi noti za elfu moja zikitamba sana mtaani, yaani zimekuwa nyingi unaeza kudhani kuna mahali ziliwekwa sasa zimeachiwa. Wataalam wa masuala ya uchumi tunaomba ufafanuzi hapa.
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania 2014 nilirogwa kwa kununua dawa ya mvuto mtaani, sikuwa najitambua, ponea yangu ni ndugu yangu kunijua nina tatizo na kunipeleka kwa mtaalam

    Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama kuwaharibia maksudi baraka mlizopewa pengine ili wanufaike na matatizo yenu, Ridhika na ulichopewa, Tia...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mtaani kwenu mnaiitaje hii?

    Kwetu wanaiita "Kisungura" aloo vijana wanakuwa wazee kabla ya wakati wao.
  13. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mtego wa wizi umemnasa mtoto wa jirani yangu je nitaishi kwa amani mtaani?

    Mwaka huu pekee nimeibiwa mara tatu,walengwa ni kuku wangu maana nina uzio wa michongoma hivyo vibaka huongia ndani ya uzio kirahisi. Ndipo rafiki yangu akanishauri kitu kuwa tuweke umeme live kwenye vitasa vya mabanda ya kuku. Japo hairuhusiwi nilikubaliana nae tukaunga imeme live...
  14. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mtaani kwako soda wanauza shilingi ngapi?

    Zile za chupa ya glasi ambazo sio take away kwasasa ni sh ngapi? Huku kwetu baadhi ya maduka wanauza 800, je ndio anaupiga mwingi?
  15. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanawake ambao tuko nao huku mtaani ndo wanawatesa Hadi mnatangaza kujiua au nyie mna-date na HD high definition?

    Maisha ya mtandaoni is series of Dramatically Unakuta eti anateswa sijui na mapenzi au kitu kinachofanania na Hiko . Lakini huku mtaani tunaishi ni Nani Ambaye haoni jinsi soko la wanawake lilivyoshuka . Mimi hapa ndani ya mwaka huu Kuna Mademu watano wenye umri wa miaka 20 Hadi 23 wanataka...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Iran: Wakati maandamano yakiendelea, Polisi wa Maadili waondolewa mtaani

    Wanausalama hao ambao jukumu lao kubwa ni kuangalia aina ya mavazi yanayotakiwa kuvaliwa na raia wake wanaondolewa ikiwa ni miezi kadhaa tangu wawe chanzo cha maandamano yanayoendelea. Mwanasheria Mkuu wa Iran, Mohammad Jafar Montazeri ametoa kauli hiyo licha ya kuwa bado haijathibitishwa na...
  17. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania Shilingi 500 bandia zimezagaa mtaani tuwe makini

    Habari, Wana JF mimi sina utaalamu wa uwandishi hivyo tuvumiliane kwa wale wakosoaji wa uwandishi. Twende kwenye lengo, hivi karibuni kumezuka mia 500 fake nyingi sana mtaani, ambapo mwisho leo usiku huu nimekutana nayo na nikathibisha madai haya niliyowahi kusikia kabla. Utaijuaje ni fake...
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kagera walia na uchafu mtaani

    Baadhi ya wakazi wa Kata za Bilele na Bakoba katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, wameiomba serikali kuwachukulia hatua kali wananchi ambao wanazalisha taka na kuzitupa katika Mto Kanoni, maana kufanya hivyo wanahatarisha afya na usalama wao. Wakazi hao wamesema kuwa tatizo hilo...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Wahitimu vyuo Vikuu uzeni maji mtaani

    Ni fursa kubwa imejitokeza kutokana na uhaba wa maji. Ningeshauri muanze biashara ya kutembeza maji mtaani ndoo/dumu 5,000 TZS huku Bonyokwa. Kwa siku ukiuza 100x5,000=500,000 X siku 30 = 15,000,000 TZS. Mtaji: Mkokoteni, Madumu 6 na nguvu zako.
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanachuo na wahitimu wanaodharau wenye elimu za chini

    MUHIMU: Kwa wale baadhi yao wenye tabia hii, sio wote, wapo wanaojiheshimu ! Elimu yangu niliishia form 4, ilinibidi nianze maisha ya kujitegemea kwa kujifunza useremala naoufanya hadi sasa (najikongoja wala siwezi kujisifia nimefanikiwa ) Katika miaka mingi nimeweza ku observe kwamba kua...
Back
Top Bottom