msumbiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    DOKEZO Soko la Ilala, Dar es Salaam kwa uchafu huu itakuwa chimbuko la kipindupindu kama cha Msumbiji. Lifungwe

    Wakuu, kwa wakazi wa jiji la Dar tunatumia SOKO la Ilala kujipatia mahitaji yetu pale, ni aibu na udhalilishaji wa binadamu kuona binadamu anaweza kununua kitu cha kwenda kula toka pale. SOKO hili lipo kama mita 150 toka ofisi ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam na km 5-6 toka Ikulu ya Magogoni...
  2. Botswana: Serikali yakanusha kutelekeza Wanajeshi wake vitani Msumbiji

    Jeshi la Ulinzi la #Botswana (BDF) limesema taarifa hizo zilizoripotiwa na Magazeti kuhusu Wanajeshi kukabiliwa na njaa kutokana na kutokana na kukosa chakula ni za uzushi na hazina msingi. Taarifa ya #BDF imesema Wanajeshi wake waliotumwa Kaskazini mwa Nchi hiyo kulinda amani wapo katika Kambi...
  3. Malawi na Msumbiji si mbali na Tanzania 'Kijiografia' je, tumeshajiandaa kama 'Fred' akijipenyeza au 'tunambwelambwela' tu?

    Tuendeleeni tu kujifanya Taifa letu ndiyo linapendwa mno na Muumba wakati Muumba huyo huyo pia ndiyo amewaumba Wapendwa wake wa Malawi na Msumbiji.
  4. Kimbunga Freddy chaua watu 109 Malawi na Msumbiji

    Idadi ya waliofariki upande wa #Malawi ni 99 na 10 kwa Msumbiji wakati 16 wakiwa hawajulikani walipo Nchini Malawi. Inaelezwa kutokana na mvua kubwa inayoambatana na upepo mkali zaidi ya nyumba 300 zimeathiriwa wakati idadi ya watu walioathiriwa na Kimbunga hicho ni 1,350 Kusini mwa Malawi...
  5. Kimbunga Freddy chaendelea kusababisha athari Msumbiji

    Ndani ya wiki mbili Kimbunga Freddy kumesababisha madhara mbalimbali ikiwemo kusababisha kifo cha mtu mmoja kilichotokana na kuangukiwa na nyumba, kuharibu nyumba na kusababisha moja ya bandari kusitisha kutoa huduma huku zaidi ya watu 171,000 wakiathiriwa. Picha za satellite zinaonesha mvua...
  6. Msumbiji hatarini kukumbwa na mafuriko makubwa kutokana na Kimbunga Freddy

    Kimbunga hicho ambacho kimetokea Kaskazini Magharibi mwa Australia zaidi ya siku 30 zilizopita kinaendelea na kina uwezekano wa kuweka rekodi ya kuwa kimbunga kilichodumu muda mrefu zaidi. Kwa sasa kimbuga hicho kipo Kusini mwa Msumbiji na Pwani ya Madagascar kikiwa na kasi ya kilometa 160 kwa...
  7. Msumbiji: Mchungaji afariki dunia akijaribu kufikia rekodi ya Yesu ya Siku 40

    Kudos Wadau. Tunaendelea na vituko vya Walokole. Mchungaji mmja aliyejulikana Kwa jina la Francisco Barajah wa huko Msumbiji amefariki akiwa kwenye mfungo wa siku 40 Akijaribu kuifikia rekodi ya Bwn.Yesu. Nyie Wachungaji Yesu alikuwa ni roho nyie mnaigiza mambo yaliyo Nje ya uwezo wenu. Hawa...
  8. Moja ya kumbukumbu mbaya machimboni nchini Msumbiji. Lakini maisha lazima yaendelee

    Mwaka 2021 nikiwa hapa home tz nilikua na pesa flani ambayo nilipanga niagize bidhaa Ali express nianze kuuza maana Nina uzoefu na kuagiza mizigo huko kutoka China through Ali express bahati mbaya ikaingia Corona ikavuruga mipango yote. Nilishawai leta thread ya kutaka ushauri wa kununua bidhaa...
  9. Msumbiji yachukua nafasi ya Kenya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC)

    Taifa hilo kutoka Kusini mwa Afrika limeingia rasmi katika #BarazalaUsalama la Umoja wa Mataifa (UNSC), likianza muhula wa miaka 2 baada kuchaguliwa Juni 2022 pamoja na Nchi za #Ecuador, #Japan, #Malta na #Switzerland. Msumbiji inaungana na #Ghana na #Gabon kuhudumu katika Baraza hilo, huku...
  10. Kaniachia balaa mtoto wa msumbiji

    Wanajamvi jamvini, Huu u single unanipeleka kubaya hatari maana na kila demu mbele yangu siachi na walivo maji mara moja sasa daa unatongoza jioni usiku unakula. Sasa nikiwa na mademu zangu wa wiwili nikitafuta ufundi zaidi si nikakutana na mtoto wa kimakonde anajidai wa msumbuji, ilo balaa...
  11. Rais wa Msumbiji afuta Bonus ya mshahara wa mwisho wa mwaka kwa wafanyakazi

    Katika hotuba yake Bungeni, Rais Nyusi amesema hatua hiyo imesababishwa na changamoto za kiuchumi na kuongeza kuwa watakaolipwa Bonus hiyo ni Wafanyakazi wasio na Mikataba pekee. Tangazo hilo linafuta rasmi utaratibu wa kila mwaka ambapo Wafanyakazi wa Serikali wamekuwa wakilipwa marupurupu ya...
  12. J

    Rwanda yapeleka Wanajeshi zaidi Msumbiji kuwakabili magaidi

    Chadema ni chama cha wastani barani Africa lakini kwa wiki mbili Tatu kimekuwa gumzo huko Marekani na Ulaya Lakini kilichonishangaza ni namna Nchi kubwa ya Msumbiji inavyoitegemea nchi ndogo ya Rwanda kiulinzi Baada ya magaidi kuuwa askari kadhaa wa Msumbiji mh Kagame ametuma Wanajeshi zaidi...
  13. Itachukua muda watu kugundua maafa ya wapiganaji huko Msumbiji baada ya kuunda vioja zubaishi vingi nchini

    Tusipuuze taarifa au tetesi za magaidi wa huko Msumbiji kuvamia msafara wa Wapiganaji wetu, kama ipo na ni taarifa ya kweli matukio ya spinning za akina Bashiru mkae chonjo, ziara na maandamano yote yatapofusha macho na masikio kuhusu habari za magaidi waliovamia msafara sio jambo la kuchekea...
  14. KWELI Msumbiji: Magaidi wamevamia Msafara wa Wanajeshi wa Tanzania na Lesotho

    Zipo taarifa zinadai kuwa Jeshi la Tanzania katika wilaya ya Nangade, Cabo Delgado waliingia kwenye mtego wa Magaidi katika kijiji cha Vondanhar, eneo la Palma. Aidha inadaiwa Jeshi la Tanzania lilikuwa likisafiri kwa magari ya kivita sambamba na jeshi la Msumbiji. Magari matatu ya jeshi la...
  15. Kilichochelewesha mradi wetu wa LNG ni siasa nyingi, mimi naumia sana Msumbiji kututangulia kusafirisha LNG

    Nimeanza kufuatilia mwenendo wa sekta yetu ya gesi tangu mwaka 2011. Toka kipindi hicho mpaka leo yamezungumzwa mengi sana kuhusu sekta yetu ya gesi. Sekta yetu inakasoro nyingi sana zinazokwamisha maendeleo ya miradi yetu. Siasa iliyokua ikitumika ndio imechelewesha sisi kuanza mradi wa LNG...
  16. Msumbiji yaanza kusafirisha Gesi kwenda Ulaya

    Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya...
  17. Msumbiji: Mwandishi aliyeshikiliwa kwa tuhuma za ugaidi aachiwa huru

    Hatua hiyo imefikiwa baada ya shinikizo kutoka kwa taasisi za kimataifa ikiwa ni wiki moja tangu akamatwe. Inadai kuwa mwanahabari huyo, Arlindo Chissale alinyimwa chakula alipokuwa kizuizini katika Mji wa Balama na uamuzi wa kuachiwa huru ulitokanana Jaji kuamua kuwa hakuna kesi yenye nguvu ya...
  18. Rais wa Msumbiji atoa msamaha kwa Magaidi 25

    Ni wanaodaiwa kuwa wanachama wa vikundi vya Kigaidi vya Islamic State na Al Shabaab ambavyo vimekuwa vikifanya mashambulizi katika jimbo la Cabo Delgado tangu mwaka 2017. Nyusi amesema waliosamehewa ni wale waliojisalimisha kwa hiari yao baada ya vikosi vya Majeshi ya Msumbiji, Rwanda na...
  19. Juisi ya msumbiji na kiti Binafsi kanisani!Ni dhahiri Ndugu yetu ana hofu!!anaogopa Nini!?

    Wakuu kwa wenye akili timamu wanaweza kujiuliza anaogopa nini!? Juisi hakutaka kunywa hadi mwenyeji wake ainywe kwanza! Kelele mitandaoni kibao tukaona ni vituko vya kawaida! Juzi kwenda na kiti chake! Haamini kiti cha upako!? Ina maana haamini viti vya washirika hadi awe na chake!? Anaogopa...
  20. Dkt. Stergomena ashiriki Mkutano wa Tume ya Kudumu ya Pamoja Baina ya Tanzania na Msumbiji

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameshiriki Mkutano wa Nne wa Tume ya Kudumu ya pamoja ya Ushirikiano katika msuala ya Ulinzi na Usalama (JPCDS) baina ya Tanzania na Msumbiji uliofanyika katika Ukumbi wa Joachim Chisano, Maputo nchini Msumbiji, Waziri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…