Rais wa Msumbiji atoa msamaha kwa Magaidi 25

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Ni wanaodaiwa kuwa wanachama wa vikundi vya Kigaidi vya Islamic State na Al Shabaab ambavyo vimekuwa vikifanya mashambulizi katika jimbo la Cabo Delgado tangu mwaka 2017.

Nyusi amesema waliosamehewa ni wale waliojisalimisha kwa hiari yao baada ya vikosi vya Majeshi ya Msumbiji, Rwanda na Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kuingilia kati kudhibiti vitendo ya Ugaidi eneo hilo.

Wanamgambo wenye uhusiano na Vikundi vya Kigaidi waliripotiwa kushambulia watu wanaoishi kwenye mpaka wa Tanzania na Msumbiji na kusababisha mauaji ya maelfu ya watu huku wengine wakilazimika kuyahama makazi yao.

=============================

Mozambique President Filipe Nyusi has granted pardon to 25 citizens who were allegedly members of a terrorist group which has been staging attacks in the northern province of Cabo Delgado since 2017.

The 25 citizens were who were pardoned in a ceremony held in Nampula province Wednesday were said to have been recruited in the districts of Memba, Nacala-Porto, Mogovolas and Mogincual with promises of employment.

Nyusi said the pardoned citizens surrendered voluntarily in response to government appeals and pressure on the ground with military intervention by Mozambique, Rwanda and Southern African Development Community (SADC).

SADC member states are Angola, Botswana, Comoros, Democratic Republic of Congo, Eswatini, Lesotho and Madagascar.

Others are Malawi, Mauritius, Mozambique, Namibia, Seychelles, South Africa, Tanzania, Zambia and Zimbabwe.

The northern Cabo Delgado province has a population of 1,893,156 people spread over its 77,867km² in 16 districts.

Attacks on police stations
The attacks began in October 2017 on police stations in Mocimboa da Praia District, then spread to other districts in the northern part of Cabo Delgado, notably in Macomia, Palma and Nangade.

Islamic State-linked militants launched attacks on the northeastern coastal town of Palma on March 24, ransacked buildings and beheaded civilians.

Known locally as Al-Shabaab — but with no relation to the Somali-based terror group by the same name — the militants in Cabo Delgado have launched a series of brazen raids on towns and villages in an apparent bid to establish an Islamic caliphate.

The deadly insurgency erupted in northern Mozambique near the Tanzanian border and led to the killing of thousands with hundreds of thousands being displaced.

Last month, Mozambique and Tanzania signed deals to fight terrorism.

THE EASTAFRICAN
 
Nadhani wamejiridhisha mpaka wakachukua uamuzi wa kutoa msamaha, badala yake napendekeza kesi ya ugaidi ushahidi ukikamilika hukumu yake iwe ni kifo tu.
 
Yuko kilelemama ndo maana nchi imemshinda !! Anasamehe magaidi huyu jamaa anajiewa kweli amezan ndo watabadilj tabia??
 
Hao lazima walitoa intelijensia ya uhakika na ya kweli iwahusuyo magaidi wenzao na kwa kuwapa zawadi Serikali ya Msumbiji imeamua kuwasamehe.
sio kuwasamehe tu bado wanaenda kutoa ushirikiano nje ya gereza UGAIDI ni mnyonyoro mrefu lazima UKATWE
 
Nadhani wamejiridhisha mpaka wakachukua uamuzi wa kutoa msamaha, badala yake napendekeza kesi ya ugaidi ushahidi ukikamilika hukumu yake iwe ni kifo tu.

Ukiruhusu kufika kote huko watakuzidi maarifa. Hawa ni kumalizana nao hewani hewani tu.
 
Back
Top Bottom