msumbiji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tony254

    Asante Rwanda kwa kusaidia Msumbiji. Wachana na Waoga wengine waliokataa kutuma jeshi huko

    Licha ya nchi fulani kujificha chini ya kitanda na kukataa kutuma jeshi msumbiji, jeshi la Rwanda jana lilitangaza kwamba limeikomboa port ya Mocimboa da Praia kutoka kwa magaidi. Pia wamekomboa airport na hospitali katika eneo hilo. Bila shaka Jeshi la Rwanda linawapa viboko hawa watoto wadogo...
  2. Mr Putin

    Mchezo umeisha! Msumbiji huru sasa

    Magaidi wamesha ukimbia muji wa afungi kwa sasa! Hari iko shwari,soon raia watarudi kwenye makazi yao. SADC bado wana panga mabegi kwenda ku saidia mwanachama.
  3. Mzalendo_Mwandamizi

    Polisi Warejesha Operesheni Kibiti Kufuatia Yanayojiri Msumbiji

  4. Genecandy

    Msumbiji: Mafuta kuchotwa Baharini inawezekana vipi?

    Wakubwa salaam Kuna clip inasambaa kwa kasi kutoka Mozambique Mkoa wa cabo Delgado almaarufu kama Pemba wananchi wakichota kinachosemekana ni mafuta ukingoni mwa bahari Mi swali langu ni hii kitu inawezekana kweli? Yaani mafuta yachotwe bila kuchanganyika na maji naomba wajuzi watujuze jmn...
  5. MK254

    Baada ya Kagame kupeleka wanajeshi kuokoa Msumbiji, sasa apokea wakimbizi kutokea Libya

    Kagame anazidi kuonyesha Rwanda ndio giant wa kweli Afrika licha ya ukubwa wa nchi kuwa mithili ya mkoa, wanaopenda kujiita giants wanaendelea kukunja mikia kwa uwoga hata pamoja na kuchokozwa na magaidi mpaka kuchokonolewa kwa vidole.... =================== A new batch of 133 asylum seekers...
  6. MK254

    Rwanda awa mfano wa kuigwa kwa kupeleka wanajeshi 1,000 Msumbiji, huku waoga wakiendelea kusuasua

    Ni dhahiri hawa magaidi hawapaswi kuachiwa wachukue uongozi wa Msumbiji maana tumeshuhudia unyama wao, wamekua wakichinja wanavijiji kule Msumbiji na hata Tanzania tena bila huruma, wanachinja binadmu kama mbuzi, huku majirani wa Msumbiji wakiendelea kuingiza mikia katikati ya miguu kwa uwoga...
  7. Analogia Malenga

    Nyembe maarufu chapa ya Alshabab zatia hofu mamlaka za Msumbiji

    Wembe wa chapa ya jina sawa na kundi la wanamgambo wa kiislamu ambalo limekuwa likitekeleza mashambulizi dhidi ya wakazi wa mji wa Cabo Delgado kaskazini mwa Msumbiji, limeshtua mamlaka. Wembe wa chapa ya Alshabab umaarufu wake ulikuwa ukiongezeka mwaka jana. Hivi sasa mamlaka zina hofu kuwa...
  8. Sam Gidori

    SADC wakubaliana kupeleka wanajeshi kukabiliana na ugaidi Msumbiji

    Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika siku ya Jumatano umeazimia kupeleka wanajeshi nchini Msumbiji kukabiliana na kitisho cha usalama katika jimbo la Kaskazini la Cabo Delgado. Hatua ya SADC inakuja baada ya vifo vya zaidi ya watu 3,000 huku wengine...
  9. Analogia Malenga

    Rais Samia aenda Msumbiji kwa kikao cha dharura cha SADC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili leo tarehe 22 Juni, 2021 katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo nchini Msumbiji kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya...
  10. MK254

    Tanzania yaingiza baridi, haitotuma JWTZ kuisaidia Msumbiji licha ya mashambulizi kuwaathiri pia

    Tanzania yaingiza mhaho, imesema malumbano ya Msumbiji yasuluhusishwe kwa maongezi, yaani kama vipi hayo majihadi yasitishe kukata vichwa vya watu na kuitwa vikao vya kuwabembeleza. Juzi kikao kimefanyika cha jopo kazi iliyobuniwa na SADC ambayo ilishauri majeshii yatumwe kule maana hayo...
  11. Sam Gidori

    UNHCR: Tanzania imewanyima hifadhi wakimbizi wa Msumbiji

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema limesikitishwa na taarifa za wakimbizi wanaokimbia mapigano Kaskazini mwa Msumbiji kulazimishwa kurudi nchini kwao baada ya kuvuka mpaka kuingia Tanzania. UNHCR imesema imepokea shuhuda za maelfu ya wakimbizi waliorudishwa...
Back
Top Bottom