Msumbiji: Mwandishi aliyeshikiliwa kwa tuhuma za ugaidi aachiwa huru

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,458
Hatua hiyo imefikiwa baada ya shinikizo kutoka kwa taasisi za kimataifa ikiwa ni wiki moja tangu akamatwe.

Inadai kuwa mwanahabari huyo, Arlindo Chissale alinyimwa chakula alipokuwa kizuizini katika Mji wa Balama na uamuzi wa kuachiwa huru ulitokanana Jaji kuamua kuwa hakuna kesi yenye nguvu ya kutosha ya kumweka kizuizini.

Miaka mitano tangu wanamgambo waanze uasi katika jimbo la Cabo Delgado, Chissale ni mwanahabari wa tatu kushutumiwa kwa kushiriki katika vitendo vya kijihadi.

=============

Mozambican journalist freed after international outcry

Mozambique has bowed to international pressure to release a journalist who was arrested a week ago on suspicion of terrorism.

In the five years since militants began their insurgency in Cabo Delgado province, Arlindo Chissale is the third journalist to be accused of participating in jihadist acts there.

There are reports that Mr Chassale was denied food while he was in detention in Balama town.

Mr Chissale was granted a provisional release on Thursday after a judge decided there wasn't a strong enough case for keeping him in preventive detention, says media freedom watchdog MISA-Mozambique.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom