Msumbiji hatarini kukumbwa na mafuriko makubwa kutokana na Kimbunga Freddy

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Kimbunga hicho ambacho kimetokea Kaskazini Magharibi mwa Australia zaidi ya siku 30 zilizopita kinaendelea na kina uwezekano wa kuweka rekodi ya kuwa kimbunga kilichodumu muda mrefu zaidi.

Kwa sasa kimbuga hicho kipo Kusini mwa Msumbiji na Pwani ya Madagascar kikiwa na kasi ya kilometa 160 kwa saa (160km/h -99.4mph), ambapo kuanzia leo Ijumaa Machi 10, 2023 kinaweza kuingia Pwani ya Msumbiji na kinatarajiwa kuambatana na mvua ambapo pia kinaweza kuelekea Malawi.

Shirika la Hali ya Hewa Ulimwenguni (WMO) kwa sasa linachambua mfumo wa hali ya hewa ili kuona ikiwa maisha yake marefu ni ya kuvunja rekodi.

Aidha, kinaweza kuelekea Zimbabwe na Kusini mwa Zambia.

1678426148860.jpeg

============ ===========

Mozambique to face serious flooding when Freddy hits

Having formed to the north-west of Australia more than 30 days ago, storm Freddy is still going and could end up in the record books for the longest-lasting tropical storm on record.

The World Meteorological Organization is currently analysing the weather system to see if its longevity is indeed record-breaking.

Over the past week or so it has bounced between southern Mozambique and coastal Madagascar.

However, it is now strengthening again and its last act is to head back to Mozambique, as a cyclone once more, with wind gusts in excess of 160km/h (99.4mph) and a coastal storm surge.

Expected to make landfall on the coast of central Mozambique late on Friday, as winds gradually ease, flooding will become the major hazard.

Between 30cm and 50cm (11.8in and 19.8in) of rain could fall in central Mozambique and southern Malawi over the weekend, with devastating floods possible over a large area.

Into next week, impactful rain will also occur over parts of Zimbabwe and southern Zambia.

This however, could be the last act of this long-lasting storm.

Source BBC
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom