msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania MH LISSU atafurahi na atakua Wakwanza Kumpokea Mchungaji Msigwa kwa Furaha, vifijo na Ndelemo!!

    Na wahakikishia, hata itokee Leo hiii Lissu Yuko Nje, HATUA YA KWANZA NI KUKUTANA NA PETER MSIGWA !!.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kazi aliyotumwa Msigwa kwenda kuifanya CCM ameifanikisha?

    Kama unadhani Msigwa alihamia CCM kwa sababu aliichukia CHADEMA, basi wewe ni mtu wa kuhurumiwa sana. Swali ni kama kazi ambayo alitumwa akaifanye CCM ameifanikisha au imeshindikana. Nahisi kama kuna watu CCM walimshitukia.
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kurejea kwa Msigwa CHADEMA: Mchezo Mpya?

    👉Ndani ya siasa za kimkakati, kuna wachezaji ambao huonekana kupambana hadharani lakini nyuma ya pazia wakawa sehemu ya operesheni kubwa zaidi isiyoonekana kwa macho ya kawaida. 👉Safari ya Peter Msigwa ndani ya CHADEMA haikuwa ya kawaida, bali ilikuwa operesheni ya muda mrefu iliyojengwa...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Msigwa, Siasa na Petro wa Biblia

    👉Ogopeni watu wanaobadilisha misimamo kila wanapokosa wanachokitafuta. Leo ni waaminifu, kesho wanageuka maadui wa walewale waliokuwa wakiwatetea. 👉 Mchungaji Peter Msigwa aliwahi kuhubiri madhabahuni kama mtumishi wa Mungu, lakini baadaye akaacha kazi ya uchungaji na kuingia moja kwa moja...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Msigwa huko CHADEMA amejipa 'kazi maalum'?

    Msigwa na Sugu ni kambi mbili tofauti ndani ya Chadema kwasababu Msigwa ni adui namba moja wa Bestfriend wa Sugu, William. Nikauliza kijiwe vipi hali ikoje? Wakaniambia wao wanaamini Msigwa amerudishwa kwa kazi maalum na kwa wanavyomjua amejipa yeye mwenyewe hiyo kazi. Na kunamsemo...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Peter Msigwa: Kama ungekuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya ungerudi CHADEMA?

    You were one of my favorite politician by whatever yard stick measure. Je ungelikuwa umepewa nafasi za ULAJI CCM, je ungelitoka CCM kwa sababu ya kukelwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu za CCM? NAOMBA jibu Mchungaji Peter Msigwa Soma pia Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ikumbukwe: MBOWE ndio mpangaji wa vurugu zilizomuondoa Msigwa CHADEMA. Mbowe alitaka pia awafute akina Lissu, Heche!

    Mzee wangu Peter Msigwa, Wewe una Kura yangu , nihesabu 100% kua Mimi Carlos The Jackal ni Shabiki yako. Mimi na akili yangu, Huwa simshabikii Mtu ndezi ndezi . Msigwa una uwezo, sitaki kukupimisha na watu ambao ni wanachadema na ofcoz hata nikikupimisha NAO , WEWE NI MSHINDI. Karibu...
  8. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Karibu sana Peter Msigwa, Roho yako ni Hai kwa CHADEMA, ila Mwili ndio Ulikua Dhaifu! Akili, Uwezo, Ubunifu, Busara zako sio za kukaa CCM, Pole sana!!

    Kwa Peter Msigwa, Akili, Uwezo, Ubunifu wake ndani ya CCM Ulikua ni 'Umefungwa'. Peter Msigwa nayemfaham yeye hawezi kaa kuvumilia Watu watekwe, Kuuwawa, Kusumbua Kanisa, Kufunga wapinzani Kufungia Chama , Maisha ya Mtanzania kua Juu, Gharama kupanda ,huku Mafisadi wachache wakijineemesha ...
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA

    Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena. Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa...
  10. Think2

    JamiiForums Tanzania Gerson msigwa :Serikali haiwalipi mastaa kuja Tanzania wanakuja kutokana na ukaribu na mheshiwa waziri Makonda

    Msigwa wadanganye watoto wako tu star mkubwa wa ball duniani aje bure ajilipie gharama zote za passport kuja tanzania kisa ameitwa na Makonda? Usikute hata ulaya hawamjui msukuma Makonda 😂 😂 na hilo trako lake kubwa 😂 Tusifiche ukweli tuwambie watanzania pesa zao za kodi wanalipwa hawa mastaa...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Tawala nyingi zilizofanya mauaji ya halaiki dhidi ya raia wake ziliporomoka

    Historia ya dunia ina mifano mingi ya serikali au tawala zilizohusika katika mauaji ya halaiki dhidi ya raia wao au makundi fulani ya watu. Mara nyingi matokeo yake yalikuwa: • kuporomoka kwa tawala, • majeraha ya kizazi kwa kizazi, • migawanyiko ya kitaifa, • hukumu za kimataifa, • au viongozi...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Ningetamani niwe mtu wa kawaida tu, kuna wakati haya majukumu unaona Soo much Artificial

    Gerson Msigwa ameonyesha hisia zake kuwa kama angepewa nafasi ya kuanza maisha upya, angependa kuwa mtu wa kawaida bila cheo chochote cha uongozi. Huenda presha na moto wa mitandaoni anaopelekewa vinamfanya ayaone maisha ya uongozi kuwa magumu zaidi kuliko wengi wanavyofikiria. Maana kuna...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Watu wasingekuwa na imani na serikali ungeona Maandamano na migomo, ukiona wametulia wanaona uongozi unakidhi wanachokitaka

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza katika mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, Msigwa alifafanua kuwa namna wananchi wanavyotii sheria ni kipimo cha wazi cha kuridhishwa na uongozi na mwelekeo wa nchi.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tanzania siyo nchi ya kuamuliwa na Wanaharakati

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, wakati wa mahojiano na Bongo FM Mei 15, 2026, amesisitiza kuwa Tanzania ni nchi huru inayojiongoza kwa mujibu wa katiba, sheria na kanuni zake, na haitakubali kuendeshwa au...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Anayekwenda nje ya nchi na akaanza kukosoa wengi wao wamekuwa katika miradi au mipango ya watu wenye malengo hasi dhidi ya nchi

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 Mwandishi: "Kwenye hili swala la uhuru, wakosoaji wengi wamekuwa wakikosolea nje ya nchi huku kukiwa na taarifa za watu kutekwa na mambo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Nchi yetu imetoa uhuru wa kutosha wa kujieleza na kutoa maoni, Vyombo vya habari vipo huru kuandika chochote ambacho ni sahihi

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 Mwandishi: "Unadhani ni kwa nini ukosoaji dhidi ya serikali sasa hivi umekuwa mkubwa sana?" Msigwa: "Mimi ukiniuliza sababu ya jumla ni...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Mimi ndiye Mwandishi wa habari wa kwanza Tanzania kutuma stori kwa Internet

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa akifanya mahojiano na Bongo FM leo Mei 15, 2026 ameeleza namna alivyopambana wakati anafanya kazi na Radio Tanzania Mkoa wa Songea
  18. Think2

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Nimetembea Kilometa 80 kwenda shule

    Kwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu tena urudi shule 😂. Gerson huu umbali unaosema wewe sio kweli labda kama umekosa cha kusema. Kwa...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa awajia juu waliomkosoa kuita wananchi Nguchiro asema 'Wewe kama siyo Nguchiro kime kuuma nini?'

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anaweka wazi juu ya watu walioweka namba yake ya simu mtandaoni na watu wengine kutumia namba hiyo kumrushia matusi.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tangazeni vivutio vipya vya Utalii, Pori la Akiba Mpanga Kipengere ni moja ya kivutio kinachopaswa kutangazwa Duniani

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa,amewataka maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kutangaza vivutio vipya vya utalii vilivyoko hapa nchini ili kuonesha na kutoa fursa ya kujulikana nchini na duniani kwa ujumla. Msigwa...
Back
Top Bottom