msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa awapongeza Watanzania kwa kuchagua kulinda AMANI

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amewapongeza Watanzania kwa kutimiza miaka 64 ya Uhuru na kuwashukuru kwa kukubali wito wa kulinda amani na utulivu wa nchi yetu. Msigwa amesema hayo leo Desemba 10, 2025 wakati...
  2. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Anayekutuma ushiriki uvunjifu wa amani anakupoteza, kaa nyumbani tafakari

    "Watanzania wote heri ya miaka 64 ya uhuru, uhuru wetu ndo maisha yetu. Watanzania siku hii ya uhuru tutafakari safari yetu, tutafakari nchi yetu, tuilinde nchi yetu. Kataa kushiriki matendo ya kuvunja sheria, matendo ya uvunjifu wa amani, sisi ni watanzania. Tanzania kisiwa cha amani kuna faida...
  3. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa tuambie Bilioni 200 za vijana alizotoa Rais amezikabidhi kwa nani? Tunazipataje? Au mpaka tuvae nguo za kijani?

    Gerson Msigwa najua umeifungia JF na wewe huingiii humu ila mie napitia hapa hapa kukutaka useme wazi hizo bilioni 200 ziko kwa nani tuzifuate? Hizo ni Kodi zetu zirudi kwetu, au mpaka tuvae nguoza kijani tuonekane CCM tukakutane na vibaka walioajiliwa Halmashauri wakiongozwa na wakurugenzi...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa yupo sawa?.Kama X wanakiuka sheria za nchi kwa nini anaitumia kutolea taarifa?

    Kitendo cha X kuvunja sheria za nchi na mkawaambia wajirekebishea ili muwafungulie. Na wao hawajajirekebisha hili kosa . Kama ni kosa kwa nini wewe undelee kulitumia kama njia ya kupeleka habari?
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya ulinzi viko tayari wakati wowote kuelekea Desemba 9

    "Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako salama, mali zao ziko salama, mipaka ya nchi yetu iko salama." Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vituo 672 vya mafuta vilichomwa moto

    Katika mahojiano yake na Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametaja kuwa vituo 672 vilichomwa moto kufuatia vurugu zilizojitokeza Oktoba 29 na siku nyingine. Amesema idadi hiyo ni ile ile aliyowahi kuitaja Waziri Mkuu, licha ya kuwepo kwa taarifa tofauti tofauti kuhusu idadi ya...
  7. Inside10

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Poleni mliopata sintofahamu kutokana na baadhi ya mitandao kuandika nimefiwa na Mama Mzazi

    Habari iliyonifikia hivi punde, Kupitia ukurasa wa Gerson Msigwa, Instagram Marehemu Hannah Mayige (waliokaa, wa kwanza kulia), Mimi na watumishi wenzangu wa TBC Kituo cha Songea tulimuita Mama kutokana na jinsi alivyotuongoza akiwa Mkuu wa Kanda ya Nyasa wa TBC. Tulimwita Mama kwa sababu...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa Kwanini umefunga Comment Section?

    Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa si tu sehemu ya mawasiliano, bali pia eneo la kuungana, kufarijiana na kuonesha utu wetu kwa wakati wa furaha na majonzi. Hivyo basi, tangazo la msiba wa mama wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Gerson Msigwa, limeibua mjadala...
  9. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huyu ndiyo Msigwa, msemaji mkuu wa serikali ya CCM

    KI VIPI MSEMAJI WA SERIKALI GERSON MSIGWA NI FIELD JOURNALIST? AU FIELD MARSHALL JOURNALIST? Kwa testimonies zake baada kumaliza sekondari alifanya biashara kuuza mahindi na duka Songea Alianza mtangazaji trainee RTD Songea chini ya waandamizi watangazaji Chisunga Stephen na Seleman Muhogora...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Where is Mchungaji Peter Msigwa

    Hivi aligombea ubunge? CCM walimpa jimbo? I have lost track of him!!! If not so, yuko wapi? Au bado anasubiri reshuffle ya DCs/RCs anaweza kuambulia
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Msigwa kwanini msiwashtaki kwa "sedition na defamation"

    Msigwa analalamika Tanzania ni nchi kile ni chombo Cha habari Kama Trump pérsonali anaweza washitaki, sisi kama nchi kupitia wanasheria wetu tunafeli wapi kuwashitaki CNN dhidi ya kesi ya uchochezi? Au uzalilishwaji?
  12. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mtangazaji Clouds TV: Pongezi za Msigwa kwa Waandishi hazinihusu, tuache unafiki!

    Wakuu, Wakiwa kwenye kipindi watangazaji wa Clouds, wameulizana swahili hili: "Sifa mlizopewa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali mpaka kufikia kuundiwa mfuko maalum (wa wananhabari) mnadhani sifa hizo mnastahili?" Mtangazaji Sam Sasali kajibu hizo pongezi kwaajili ya kutopost picha za...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Msigwa iambie Serikali yako na Vikundi vyake (Polisi na Mamuluki wao) tarehe 9 Dec ni Maandamano ya Uhakika, Wasithubutu hata Kuua Sisimizi!.

    Kwa Taarifa yenu, Tuliouliwa Ndugu zetu tumeshajipanga kuandamana. Mtangaze Curfew ya mapema, haitozuia lolote. Muanze kupiga Risasi mapema, haitazuia lolote . Maandamano yapo, No way Bwana Msigwa , rukaruka tu na Porojo zako ila MAANDAMANO MAKUBWA YA AMANI YAKO PALEPALE. SASA , Onyo...
  14. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane Gerson Msigwa amekojoa, tuwe na subira atakuja KUNYA🙏

    Tukubaliane Leo Msigwa kakojoa, tuwe na subira atakuja KUNYA siku IKIFIKA. Hivi kweli UMESHINDWA ndani ya MASAA 24 kusema zile video ni za kweli au ni feki? Msigwa field journalist? Sikulaumu TBC haiwezi kutoa critical thinker journalist huo ni uwongo wewe ni pompompoooo! Tangu nilipokuona...
  15. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais alishakubali kwamba tukio lile la October 29 limetia doa taifa. Kulikua na ulazima gani wa Gerson Msigwa kuliongelea?

    Mama alikubali kwamba tukio la October29 limetia doa kama taifa Leo kulikua na ulazima gani Gresyon msigwa kuita vyombo vya habari kukaa na kuongea pumba na kuzidi kutia hasira watu...
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania I thought we are going to critically analyze the CNN report, but who am i?

    I expected kauli kama “ Mim na nyie waandishi wahabari nipo tayari kwenda kwenye eneo wanalosema miili imezikwa tukajionee na kureport kuwa sio sahihi…” Kwanini Msigwa uwa anajitoa sana ufahamu? Mambo mengine ni kujikoroga kabisa Britanicca
  17. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa inabidi akumbushwe Hili

    Katika mazingira yoyote ya operesheni za habari, kuna kanuni moja isiyovunjika, inasema "Unaweza kuzuia sauti za ndani, lakini huwezi kudictate vyanzo vya nje." Ndicho kinachomkumba Msigwa sasa. Anajaribu kuextend control mechanism zile zile anazotumia kusimamia leseni za online TV za ndani...
  18. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Kwako Greson MSIGWA Wajibu wa Serikali ni Kutoa Ukweli na Siyo Malalamiko

    Tulitarajia kuona Serikali ikitoa ushahidi wa kina hasa picha za satelaiti 🛰️, vielelezo vya kitaalamu, na maelezo ya kiuchunguzi ili kuonesha kwamba madai ya mauaji yaliyotolewa na CNN, BBC, Al Jazeera hayahusiani na Tanzania bali na maeneo mengine kama Sudan. Lakini badala yake, tunachokiona...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Msigwa hata kama ungepewa nafasi ya kuijibia serikali ungejibu nini? Kuwa watu hawakuuliwa?

    Naomba unijibu kama mtu ambae anatumia common sense. Sio akili za kulinda kitumbua na ugali kama Maliyamungu wa Iddi Amini. Rais Samia katamka hadharani kuwa baada ya vijana kuimba kuwa wataka kama ya Madagascar watu waliuliwa. Uhalifu ulifanyika Je, ulihataji kuzuiwa kwa mtutu wa bunduki...
  20. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa ameidhalilisha Shule Kuu ya Uandishi wa Habari SJMC kwa PUMBA alizoongea

    Anayejiita mwandishi wa habari Field Journalist mhitimu wa shule kuu ya uandishi wa habari ni kilaza sana huyu ukisema u apply ulivyofundishwa na walimu kama Kamfipo, Katunzi na wengine hatuwezi kuwa jamii ambayo itapata taarifa sahihi, kusema vyombo vya ndani vinafanya kazi nzuri kazi nzuri ya...
Back
Top Bottom