Peter Msigwa: Baada ya mauaji ya Oktoba 29 na ukiukwaji wa haki unaoendelea, siwezi tena kubaki CCM, nimeamua kurejea CHADEMA

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
448
Reaction score
3,360
1000765907.jpg

Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.

Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.

Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli.

Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki.

Soma Pia:
Asanteni Sana.
 
Kundi la heche huyo wanakitaka kiti cha lissu ndomana wanapinga maridhiano ili lissu aendelee kuozea jela

Uwongo mtupu.
Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kuyaamini maneno yako. Heche na Lisu ni wamoja hasa, wala Heche haitamani nafasi ya Lisu.

Mtu yeyote anaweza kukosea, anapogundua amekosea, akaomba msamaha, ni budi kusamehewa. CHADEMA wamsamehe Msigwa, aongeze nguvu.
 
View attachment 3593736
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.

Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.

Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli.

Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki.

Soma Pia:
Asanteni Sana.
Vipi angepata uteuzi angerudi CHADEMA?! Kilichomfanya aondoke CHADEMA kimeshafanyiwa kazi?
Siasa za hivi ndo zilikatisha watu tamaa baada ya 2015..
 
Uwongo mtupu.
Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kuyaamini maneno yako. Heche na Lisu ni wamoja hasa, wala Heche haitamani nafasi ya Lisu.

Mtu yeyote anaweza kukosea, anapogundua amekosea, akaomba msamaha, ni budi kusamehewa. CHADEMA wamsamehe Msigwa, aongeze nguvu.
Huyo jamaa anaongea vitu kama NCHEMBA.
 
View attachment 3593736
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena.

Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA.

Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli.

Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki.

Asanteni Sana.
Msigwa hakuondoka CHADEMA kwa sababu ya ideological dissonance. Aliondoka kwa sababu ya conflict kati yake na Ayatollah Mbowe. Baada ya Ayatollah Mbowe kung’oka, kurudi kwa Msigwa CHADEMA kulikuwa more likely than not!
 
Back
Top Bottom