msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa awajia juu waliomkosoa kuita wananchi Nguchiro asema 'Wewe kama siyo Nguchiro kime kuuma nini?'

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anaweka wazi juu ya watu walioweka namba yake ya simu mtandaoni na watu wengine kutumia namba hiyo kumrushia matusi.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tangazeni vivutio vipya vya Utalii, Pori la Akiba Mpanga Kipengere ni moja ya kivutio kinachopaswa kutangazwa Duniani

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa,amewataka maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini kutangaza vivutio vipya vya utalii vilivyoko hapa nchini ili kuonesha na kutoa fursa ya kujulikana nchini na duniani kwa ujumla. Msigwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa arusha jiwe gizani: Kuanguka kwa dola ni pale MTAWALA anapozidi nguvu mamlaka za Katiba na sheria,. nepotism and the like

    "Busara” za mchungaji Msigwa. Ziite utakavyo lkn kuna sense aliloliandika. Ameandika Mch. Peter Msigwa Historia inaonyesha: mataifa mengi duniani hayakuanguka kwanza kwa sababu ya vita au mapinduzi bali , Yalianza kudhoofika taratibu pale ambapo mamlaka isiyo rasmi inaanza kuogopwa kuliko...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anadai watu 80 wamekamatwa na wapo vituo vya polisi. Kama wana hatia kwa nini zaidi ya masaa 24 hawajapelekwa mahakamani?

    Msigwa amejitapa kuwa dunia ya sasa ipo juu kiteknolojia. Ndio maana waliomkamata wametiwa mbaroni na polisi. Haya sasa hivi ni zaidi ya masaa 24 kwq nini hawajap3lekwa mahakamani kwa mujipu wa sheria? Kama hawana hatia waaachiwe.
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Vijana msinitukane mtakamatwa tu, Polisi wameshakusanya zaidi ya Watu 80

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kwa bahati mbaya wanaowaponza na kuwarubuni Vijana na kuwaingiza kwenye uvunjifu wa sheria ya Mtandaoni wamekuwa wakiwafuata Vijana kutoka familia duni, suala...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa, amewaita Watanzania ‘Nguchiro’.

    Taarifa kamili 👇🏿
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tujitafakari, Serikali inashambuliwa mitandaoni vitengo vya Habari na maafisa wapo kimya

    Watu wamwambia watateteaje uongo. Hawajui kilichomo kwenye ripoti watatetea vipi. Waziri wa Habari Makonda ajitafakari pamoja na kupewa B2 za content creators hajaisaidia serikali.
  8. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Watu wanakuhitaji pale tu wanafaidika na wewe

  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa: Watu wanakuhitaji pale tu wanafaidika na wewe

    Amekuja gundua kwa kuchelewa sana. Huyu Msigwa alitembezwa sehemu nyingi za nchi kabebeshwa picha. Kama falah, taahira na msukule. Sasa anashtuka. Too late. Na simu zake hawapokei. Hana issue tena kwa sasa. Siyo deal. Ameshadharaulika hana mbele wala nyuma.
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Ukiona mpaka tumekifungia 'Chombo cha Habari', maana yake kuna mambo yanavuruga Nchi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza kuwa serikali inaamini katika uhuru wa vyombo vya habari, akisisitiza kuwa tangu Rais aingie madarakani, alichukua hatua ya kuvifungulia vyombo vilivyokuwa vimefungiwa na kuvipa leseni ili viweze kuendelea na kazi zao. Hatua hiyo ililenga...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Tujikumbushe kidogo

    "Ukweli ni Kuwa dereva wa Daladala anaweza kusimama na kukupakia mahali ambapo hakuna kituo cha Daladala. Lakini dereva huyo huyo atakataa kukushusha mahali ambapo hamna kituo cha Daladala. Hii inathibitisha watu wanakuhitaji pale tu wanapofaidika na wewe, Changamka."
  12. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kama Tuhuma hizi kuhusu Pesa alizopewa Yanga Zina ukweli, Gerson Msigwa Jiuzulu Mara Moja ni Aibu

    Kuna hizi pesa zinatajwa kutolewa eti kwa Jina la Goli la mama, na Yanga wamekabidhiwa milioni 60 wakati ukalali wao ni milioni 20. Jee kwa vile muhusika na mpanga mipango ya fedha hizo ni wewe huu sio WIZI? Ni aibu kwa mtu ambaye pia ni msemaji mkuu wa Serikali kuwa mwizi au kushiriki wizi wa...
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Msigwa upo Kimya, Je wageni wanaruhusa ya Kukosoa ila Wazawa haturuhusiwi?

    Unakumbuka ule msemo wa “Wageni wakija nyumbani, watoto mkae kwa kunyamaza na utulivu”? Na ukipewa soda au nyama na mgeni fanya kila unachoweza kusema kuwa umeshiba ili tu usipate kuonekana umekula soda au chakula cha mgeni. Hivi ndivyo inavyoonekana kwenye video moja huko mjini TikTok na...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Msigwa, soko la dunia hawauzi dizeli wala petroli! Na hayapimwi kwa kilo!

    Eti katoa bei za dizeli na petroli soko la dunia akijaribu kunyoosha kauli za Rais. Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko wengine wooote tuliobaki! Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Nadra kumpata Rais mwenye upekee wa kuacha majukumu ya Ikulu na kwenda porini, kurekodi filamu

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa ni nadra kumpata Rais mwenye upekee wa kuacha majukumu ya Ikulu na kwenda porini kushiriki shughuli za kurekodi filamu. Akizungumza katika kikao kazi cha Maafisa Utamaduni, Sanaa na Michezo kilichofanyika ukumbi wa AICC jijini Arusha, Msigwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania G. Msigwa na Wafanyakazi wote wa Wizara chini Yako Nawasalimia Ndugu Zangu

  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Ukisema ninasubiri uteuzi unanitukana

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amesema kuwa thamani yake kama binadamu haijawahi na haitawahi kutegemea vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa. Akizungumza katika mahojiano na mtangazaji Neema Msafiri wa Msafiri Online, Msigwa amejibu mapigo kwa wale wanaodai kuwa...
  18. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Swali la Msingi: Mh. Spika Baada ya Mchango mkubwa wa Mch. Msigwa kwa Samia, Je si vizuri sasa kumkumbuka?

    Mheshimiwa Spika wa JF. kwanza napenda kumpongeza mungu kunichagua mimi kuwa mbunge na kumshukuru mama kunipitisha kwa ushindi wa kishingo. Kwa kweli mama mitano tena. Tumeona maendeleo ambayo amefanya toka uhuru hayajawahi fanyika. Swali kuu. Je baada ya kampeni kali za kumtembeza Mch...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kiko wapi? Milioni tano za goli la mama, simsikii Msigwa wala Mchengerwa,

    Nauliza tu Msigwa uko wapi, mbona hatusikii tena goli la mama labda Simba ingeshinda Chezea Watanganyika na sio wazungu Kwisha habari zenu
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Suala la dhahabu linapotoshwa. Kabla ya awamu ya sita Serikali ilikuwa haina dhahabu

    Wakuu, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa anaeleza kuwa suala lilioibuliwa hivi Karibuni la Uuzaji wa Dhahabu limepotoshwa tofauti na uhalisia ulivyo kwa kile alichodai ni suala la kawaida.
Back
Top Bottom