msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency for two consecutive terms since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa: Watu wanakuhitaji pale tu wanafaidika na wewe

    Amekuja gundua kwa kuchelewa sana. Huyu Msigwa alitembezwa sehemu nyingi za nchi kabebeshwa picha. Kama falah, taahira na msukule. Sasa anashtuka. Too late. Na simu zake hawapokei. Hana issue tena kwa sasa. Siyo deal. Ameshadharaulika hana mbele wala nyuma.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Ukiona mpaka tumekifungia 'Chombo cha Habari', maana yake kuna mambo yanavuruga Nchi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ameeleza kuwa serikali inaamini katika uhuru wa vyombo vya habari, akisisitiza kuwa tangu Rais aingie madarakani, alichukua hatua ya kuvifungulia vyombo vilivyokuwa vimefungiwa na kuvipa leseni ili viweze kuendelea na kazi zao. Hatua hiyo ililenga...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Tujikumbushe kidogo

    "Ukweli ni Kuwa dereva wa Daladala anaweza kusimama na kukupakia mahali ambapo hakuna kituo cha Daladala. Lakini dereva huyo huyo atakataa kukushusha mahali ambapo hamna kituo cha Daladala. Hii inathibitisha watu wanakuhitaji pale tu wanapofaidika na wewe, Changamka."
  4. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kama Tuhuma hizi kuhusu Pesa alizopewa Yanga Zina ukweli, Gerson Msigwa Jiuzulu Mara Moja ni Aibu

    Kuna hizi pesa zinatajwa kutolewa eti kwa Jina la Goli la mama, na Yanga wamekabidhiwa milioni 60 wakati ukalali wao ni milioni 20. Jee kwa vile muhusika na mpanga mipango ya fedha hizo ni wewe huu sio WIZI? Ni aibu kwa mtu ambaye pia ni msemaji mkuu wa Serikali kuwa mwizi au kushiriki wizi wa...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Msigwa upo Kimya, Je wageni wanaruhusa ya Kukosoa ila Wazawa haturuhusiwi?

    Unakumbuka ule msemo wa “Wageni wakija nyumbani, watoto mkae kwa kunyamaza na utulivu”? Na ukipewa soda au nyama na mgeni fanya kila unachoweza kusema kuwa umeshiba ili tu usipate kuonekana umekula soda au chakula cha mgeni. Hivi ndivyo inavyoonekana kwenye video moja huko mjini TikTok na...
  6. V

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Msigwa, soko la dunia hawauzi dizeli wala petroli! Na hayapimwi kwa kilo!

    Eti katoa bei za dizeli na petroli soko la dunia akijaribu kunyoosha kauli za Rais. Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko wengine wooote tuliobaki! Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Nadra kumpata Rais mwenye upekee wa kuacha majukumu ya Ikulu na kwenda porini, kurekodi filamu

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa ni nadra kumpata Rais mwenye upekee wa kuacha majukumu ya Ikulu na kwenda porini kushiriki shughuli za kurekodi filamu. Akizungumza katika kikao kazi cha Maafisa Utamaduni, Sanaa na Michezo kilichofanyika ukumbi wa AICC jijini Arusha, Msigwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania G. Msigwa na Wafanyakazi wote wa Wizara chini Yako Nawasalimia Ndugu Zangu

  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Ukisema ninasubiri uteuzi unanitukana

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, amesema kuwa thamani yake kama binadamu haijawahi na haitawahi kutegemea vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa. Akizungumza katika mahojiano na mtangazaji Neema Msafiri wa Msafiri Online, Msigwa amejibu mapigo kwa wale wanaodai kuwa...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Swali la Msingi: Mh. Spika Baada ya Mchango mkubwa wa Mch. Msigwa kwa Samia, Je si vizuri sasa kumkumbuka?

    Mheshimiwa Spika wa JF. kwanza napenda kumpongeza mungu kunichagua mimi kuwa mbunge na kumshukuru mama kunipitisha kwa ushindi wa kishingo. Kwa kweli mama mitano tena. Tumeona maendeleo ambayo amefanya toka uhuru hayajawahi fanyika. Swali kuu. Je baada ya kampeni kali za kumtembeza Mch...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kiko wapi? Milioni tano za goli la mama, simsikii Msigwa wala Mchengerwa,

    Nauliza tu Msigwa uko wapi, mbona hatusikii tena goli la mama labda Simba ingeshinda Chezea Watanganyika na sio wazungu Kwisha habari zenu
  12. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Suala la dhahabu linapotoshwa. Kabla ya awamu ya sita Serikali ilikuwa haina dhahabu

    Wakuu, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa anaeleza kuwa suala lilioibuliwa hivi Karibuni la Uuzaji wa Dhahabu limepotoshwa tofauti na uhalisia ulivyo kwa kile alichodai ni suala la kawaida.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tanzania inamiliki 15% mradi wa Crude Oil pipeline kutoka Uganda na tayari tumetoa bilioni 995 kumiliki hisa

    Akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 20, 2026 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali ya Tanzania kupitia TPDC inamiliki asilimia 15% katika Mradi wa Crude oil pipeline wenye ubia na TotalEnergies (62%), Uganda National Oil Company (15%), and CNOOC kampuni ya China(8%)...
  14. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Msigwa: DP World imezalisha zaidi ya ajira 764 za moja kwa moja

    Katika press ya msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameeleza namna ambavyo bandari ya DP World ilivyotatua changamoto ya ajira kwa viajana wasomi wa kitanzania ambapo amesema bandari hiyo imezalisha zaidi ya ajira 764 za moja kwa moja na ajira zisizo za moja kwa moja nyingi zimezalishwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Kuna baadhi ya watu wanapotosha bandari imeuzwa, haijauzwa ipo chini ya serikali

    Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na vyombo vya habari leo Januari 20, 2026 amesema kuwa Rais Samia alifanya maamuzi makini ya kuingia mkataba wa upangishaji na uendeshwaji wa Bandari ya Dar es Salaam na DP world pamoja na ADAN akidai wanaosema imeuzwa wanapotosha kwani ipo...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, Kihongosi, Msigwa, na Makonda ni virusi kwa Chama, Samia na Taifa

    Hawa vijana wanaongozwa na mihemko zaidi kuliko hekima na busara, uwezo wao umejengwa kwenye misingi ya Uongo, Kibri, Kisasi na Kujipendekeza, wanapotoa matamshi huwa hawaangalii consequences zake, kuna siku isiyo na tarehe watakuja kuliponza taifa. Kazi yetu ni ndogo sana, kusema, kama...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Jamani Peter Msigwa yuko wapi?

    Yulo wapi? Alibeba mapicha ya Samia, wakamshikisha mapicha. Yuko wapo? Kafia wapi? Au teuzi zijazo atakumnukwa? Nani ampishe?
  18. 888I

    JamiiForums Tanzania MSIGWA NA MAROBOTI: Wanaotukana na Kushangilia Kukamatwa Mwandambo Ndio Bots Zenu!

    Mambo vipi wana JF.... Wadau, hivi karibuni Msigwa na wenzake wanalalamika kuwa wanaotukana serikali mitandaoni ni "maroboti" waliotumwa na wapinzani ili kuchafua picha. Lakini ukiangalia vizuri post ya Jamii Forums Instagram kuhusu kukamatwa kwa Mzee Clemence Mwandambo, wanaoshangilia na...
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mlio karibu na Peter Msigwa na Wenje wambieni wavae sare za CCM za mama mitano Tena wapite barabarani waone kitakachojiri zaidi ya kuwachumu

    Je, Wenje na Peter Msigwa wakivaa nguo za CCM na kuvaa kale kakofia kalikoandikwa mama mitano Tena, tutawachumu au tutawapa zawadi gani? Mimi nitawachumu kwa busu la kenge. "Nyokorikoooooo" wewe je utawafanyaje?
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa umepotelea wapi kwenye umaarufu wa kisiasa?

    Muda mfupi sana CCM walivyokutumia kama wamekuweka kabitini kabisa. Yani ulivyoingia ulikuwa unaisema CHADEMA mpaka ukakosa cha kuongea. Shukuru jina lako la mwisho kidogo anatembea msemaji wa serikali linafanya nisikusahau. Ila umepotea vibaya kwenye medani za siasa.
Back
Top Bottom