Wakuu,
Leo asubuhi nimekaa juu ya jiwe lililoko nyuma ya nyumba yangu naota jua la saa nne.
Ghafla nikaona Mzee mmoja anatokea upande wa mashariki (alikuwa anatembea taratibu), nikaangalia kusini nikamuona Mzee mwingine anakuja (huyu alikuwa amenikaribia).
Yule Mzee aliyekuwa anatokea...
Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Tarime Mjini, Ndugu Bashiri Abdallah amesema kuwa amepata taarifa kuwa 'Wasiojulikana' wapo hapa kwenye mazishi ya Suezi, hii ni Tarime, ukija hautoki
Soma pia TANZIA - Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma
Nimepata taarifa kwa usalama wa chama...
Kiongozi Mkuu wa Iran, Mojtaba Khamenei, hatohudhuria shughuli za mazishi ya baba yake, Ali Khamenei,
Taarifa hiyo imetolewa na mwakilishi wa kiongozi huyo nchini India wakati Iran ikiendelea na maandalizi ya shughuli za mazishi.
kuna possibility kubwa hata huyu walishapita nae
Wakuu ccm haipo ila ilichokifanya kwa miaka mingi ni kuingza makada kwenye taasisi zote za serikali ambao ndo wanatumika kulinda harufu ya ccm fatilieni watendaji, polisi, wafanyakaz halmashauri, walimu hawa wengi wao ni makada wa ccm ambao waliingzwa huko kwa lengo la kulinda chama hawa ndo...
Ukisoma hiki kifungu namba 5 kwenye huu mswaada ambao kiuhalisia lazima baadhi ya viongozi wataingia kwenye shida hii kubwa
Nimejiuliza Sana mwenyewe kuwa kwanini serikali omepaniki Sana nikaja kugundua kilichomo ndani ya hii bill ni jeneza kabisa Kwa CCM...
Ebu soma hapa utapata jibu
MAREKANI...
Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kushtushwa na kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa mwanachama wake, Seleman Bungara maarufu Bwege, kilichotokea ghafla asubuhi ya Machi 30, 2026, alipokuwa akipatiwa matibabu ya kusafisha figo jijini Dar es Salaam. Chama hicho pia kimeahidi kugharimia mazishi ya...
Aliewahi kuwa mbunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania jimbo la kilwa kupitia CUF ndugu seleman said bungala amefariki dunia leo akiwa hospital ambako alikuwa akipatiwa matibabu.
18 November 1961 - 30 Machi 2026
Pia soma
Suleiman Bungara (BWEGE) Mbunge wa Kilwa Kusini: "Kwaheri...
Rais Samia, amesikitika kutangaza kifo cha William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) pamoja na Mbunge wa Jimbo la Isimani.
Kwa mujibu wa taarifa rasmi, Lukuvi amefariki dunia leo tarehe 25 Machi, 2026, majira ya saa...
Wakuu,
Nauliza tu
Kwanini hawa viongozi wastaafu walivyotambulisshwa shangwe limekuwa kubwa mno
Hapo Pinda, Warioba na Majaliwa walivyotambulishwa shangwe lilikuwa kubwa mno lakini alivyotajwa Nchimbi vibe halikuwa kubwa hivyo
Wakuu,
Hii ni leo wakati Padri Kitima anatambulisho uwepo wa vyama vya siasa mbalimbali kwenye msiba wa Kardinali Pengo
Hapo kuna sehemu kataja kuna vyama 17
Msafara wa msiba wa Kadinali Pengo ni wa aina yake.
Kuna men in black, makarao wakiwa makini muda wote.
Tunajua Pengo alikuwa kiongozi mkubwa wa dini, lakini kwa huu uzito aliopewq na gavoo mbona kama alikuwa mserikali?
Hakuna Nyumba ya Mzanzibari iliyoomboleza. Hakuna Msiba ulisafirishwa kwenda Zanzibar.
Je, nini kilisababisha Wazanzibari waliojaa Dar es Salaam asijeruhiwe hata mmoja?
Nawaza sana.
Kuna video moja nimeona inasambaa ikionyesha mdau mmoja akisema CHADEMA wanaringa na msiba wao huku akiahidi kwamba na "wao" wanasubiri msiba wao ambao utafana zaidi ya msiba wa CHADEMA ili nao wapate kuringa.
Huyu mdau akaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa tena msiba "wao" utakaofana utatangazwa...
Kuna msiba uliotokea ila umeibua maswali mengi ya chinichini. Kwa jicho langu la kijasusi najiuliza maswali hapa ambayo bado yanakosa majibu.
Kwanza, huyo dada mkwe anaitwa nani, mbona taarifa nyingi za huo msiba hazitaji jina lake?
Pili, mbona hatujaonyeshwa picha ya marehemu wakati wa uhai...