msiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. upupu255

    JamiiForums Tanzania Mbowe: CHADEMA haijatengwa tusiuchafue msiba wa Mzee Mtei

    Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, ambaye pia ni mwanafamilia wa marehemu Mzee Edwin Mtei, amejibu hoja mbalimbali zilizoibuliwa mitandaoni zikidai kuwa CHADEMA haijapewa nafasi na hadhi inayostahili katika taratibu za kumuenzi muasisi wa chama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msiba Usio wa Kawaida: Mbwa Kuruhusiwa Kuunusa Mwili wa Marehemu kabla hajazikwa, ni sawa ?

    Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi. Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Poleni mliofiwa na ndugu zenu. Msiba huu ni wetu sote

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewapa pole wale waliofiwa na ndugu zao katika maandamano ya Oktoba 29, ingawa yeye ameeleza kuwa maandamano hayo yalijumuisha vurugu. Rais Samia Suluhu Hassan aliyasema haya wakati akizungumza katika mkutano maalum...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hakuna ahadi hata moja waliyoitoa kwenye msiba wa mama yetu wameitekeleza

    Wadau naomba ushauri. Msiba wa mama yetu mwaka jana July na hadi muda wameshindwa kutimiza ahadi zao zote walizokuwa wameahidi kwangu na uwezo wanao. Ahadi wakitoa wao wenyewe baada ya maziko tena mbele ya Mjomba nduguye marehemu mama kunisaidia mimi ndugu yao kumbe ni bure
  5. Genius Man

    JamiiForums Tanzania CCM kifo cha mende naona nchi imechangamka sana utazani haikuwa na msiba mzito week kadhaa zilizopita

    CCM kifo cha mende naona nchi imechangamka sana utazani haikuwa na msiba mzito week kadhaa zilizopita. #D9 kitawaka sana gen z wanahasira.
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kama ni marehemu unafikiri sasa tupo hatua gani kumaliza msiba?

    Nafurahia marehemu anavohangaika kuingia kaburini watu wamfukie. imebaki tu kufukia maana kama kufa kashakufa na kuaga tushaaga na sasa ndo tupo makaburini muda huu Hatuondoki makaburini mpaka na mimi nihakikishe nimetupia chepe langu moja
  7. guzman_

    JamiiForums Tanzania Gen Z kazeni hapo hapo, msikae kizembe

    Kuna moshi unafuka. Trust me. Gen-z kazeni hapo hapo na ongezeni umakini msikae kizembe. Baada ya kudis-arm wajeshk nataarifiwa alternative imepatikana. Ni wao au sisi. Full stop. Hata wazee sasa tumechoka na huu uk..da. Lakini bado wana mwezi mzima wa kujitafakari. Mungu ni wetu sote...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wito kwa wananchi kuomboleza msiba mkubwa kitaifa

    A call for citizens to mourn a major national tragedy We, members of different communities in Tanzania, with great sorrow and heavy hearts, acknowledge the tragic events that have occurred in Tanzania, where brutal killings have claimed the lives of 3,000 innocent people. We announce that we...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wito kwa wananchi kuomboleza msiba mkubwa kitaifa

    Wito kwa wananchi kuomboleza msiba mkubwa wa kitaifa Sisi wanajamii, kwa huzuni kubwa na moyo mzitotunatambua matukio ya kusikitisha yaliyojitokeza Tanzania, ambapo mauaji ya kikatili yamepoteza maisha ya watu 3000 wasiokuwa na hatia. Tunatangaza kuwa sisi wanajamii tutakuwa na siku 3 za...
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mapenzi ninayoyaona kwa watu katika msiba wa Raila Omolo Odinga, mara zote 5 za kugombea urais alishinda

    Mapenzi haya sijawahi ona katika maisha yangu! Huyu alipendwa na 99% ya wakenya. Mungu nipe uhai nione maziko ya hawa wetu!
  11. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania MSIBA: Wazazi wanawalindaje watoto dhidi ya maudhui yasiyofaa?

    Siku nyingi nimekuwa nikiandika PUMBA TUPU ila leo niko more cooperate kwa HILI, pumba nita post mwishoni.... Si umesikia ile stori ya dogo aliyejiua baada ya ku chat na gpt? Ushasikiaga yule mtoto wa miaka 11 aliyekufa wakati anashiriki challenge ya TikTok ile ya kubana pumzi? Ok, unamkumbuka...
  12. Desierto

    JamiiForums Tanzania Je? Unatumaga mchango wa msiba kijijini kwenu?

    Mimi huwa natuma yaani kwa ujumla nipo kwenye daftari la kijiji ila nataka kujiondoa je? Kuna hasara gani nitapata maana faida siioni mm nina mke na watoto.
  13. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Ndugai

    Tunasisitiza tena. Viongozi wa CHADEMA wasiruhusiwe kuhudhuria msiba wa Mheshimiwa Dr Ndugai. Wasije kuvuruga Amani
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Prof. Mahalu ,amefiwa ! Msiba uko Kilimanjaro

    Grace Martin naye kafiwa, poleni sana
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu Pole Pole, ikawaje uendelee na Press ilhali nyumbani Pana msiba?

    Salaam! Najua umuhimu wa press yako sawa. Ila kwa tamaduni zetu watanzania, pakitokea msiba, huwa tunaacha mambo mengine, tunaomboleza kwanza. Tusizidiwe maarifa na wadudu, sisimizi, dudumizi, mchwa nk nk. Umelala Job, pole kwa family. Nawasilisha 🙏
  16. W

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Samweli Karao apiga Marufuku Kampeni za Siasa Msiba wa aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Arumeru

    Mchungaji Samweli Karao wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), anayeongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Arumeru, Albert Elias Mollel, amewaonya viongozi wa kisiasa dhidi ya kutumia msiba huo kwa malengo ya kisiasa. Akihubiri mbele ya viongozi mbalimbali...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mrisho mpoto anataka tuvae viatu vyake kwenye msiba wa mkewe wakati yeye anatembea peku

    Ina maana sisi maumivu yetu sio yake ila ya kwake ni ya kwetu.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta! Sitaenda tena kwenye msiba isipokuwa wa ndugu au rafiki wa karibu sana, si kila msiba ni wa kuhudhuria jamani

    Wakati naanza maisha baada ya kumaliza chuo niliendelea kukaa kwa miaka kama saba katika mtaa niliokua nimepanga wakati nasoma chuo. Kwa miaka hiyo saba nilijuana na watu plus ma ex wawili watatu. Kufupisha story, baadae nilijipata nikajenga nje ya jiji la Dar es salaam ambako ndipo ilipo...
  19. youngkato

    JamiiForums Tanzania Msiba mkubwa kwa wafanyabiashara walio wengi

    Katika biashara, si kila anayepita anaweza kuwa mteja wako. Kama hujawahi kukaa chini na kufahamu ni nani hasa anayehitaji bidhaa au huduma yako unaendesha biashara kwa kubahatisha. Na bahati mbaya haijawahi kuwa mkakati wa mafanikio. 1. Fahamu Mahitaji ya Wateja Wako Kabla hujatangaza au kuuza...
  20. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mtu anajisifu mjini na kuhonga wanawake ila akipata msiba ukimsindikiza kwao unakuta panafanana na porini

    Kuna Jambo sijalielewa hivi inakuaje unahonga mademu , mbwembwe kibao Ila mama yako anapikia kuni , anakunywa maji yenye rangi mchele je hii sio laana ya mtindio wa ubongo.
Back
Top Bottom