CHADEMA wanapaswa kujifakari

CHADEMA wanapaswa kujifakari

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
753
Reaction score
674
Anaandika Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Mkazi wa Jijini Mwanza Alloyce Nyanda (Mtozi), akionesha kuunga mkono chapisho la Msanii wa Muziki wa 'HipHop' Nchini, anayeishi Nchini Marekani kwa sasa Roma Mkatoliki (ambalo tumeweka kwenye post iliyopita):

"Ukisoma andiko la Roma, kama utataka kulichambua linaweza kuwa na swali moja kuu je, kinachowafanya CHADEMA mpaka sasa hawajaenda kuhani Kizimkazi ni kipi?"

"Roma anasema kwenye agenda kuu za CHADEMA ndipo kuna tricky kubwa kwamba ukimpinga mtu kwa jambo fulani, basi na wewe unatakiwa usiwe mtu wa kufanya jambo hilohilo"

"Roma anasema wananchi wanapaswa kuelewa kwamba 'CHADEMA wakishika Dola, hawatafanya haya na yale wanayofanya hawa Watawala', Hatutaua (kwahiyo inabidi wasiue hata sasa na wao CHADEMA), Hatutaiba (kwahiyo inabidi wasiibe hata sasa, yaani CHADEMA wasiwe wezi), Hatutafurahia kuona Binadamu amekufa au ameuliwa hata akiwa ni adui (na inabidi waanze kuonyesha hilo sasa), Adui akifa au akifiwa tutaenda kuzika na tutaenda kuhani msibani (Hata sasa CHADEMA waonyeshe hili)..."

"Ukiniuliza hata Mimi Mtozi naweza kuweka swali langu kuu, 'Kipi kinawafanya CHADEMA mpaka sasa hawajaenda kuhani kwa Ndugu Samia wakati amefiwa na Mume wake Hafidh Ameir Hassan?, msiba huo ulitokea Septemba 07.2026...

Je, ni visasi?, na kama ni visasi juu ya nani?, na wakipewa Dola watawalipisha wangapi?

Na kwenye agenda za CHADEMA kuna eneo la visasi?, Kwa sababu kama wanataka wananchi waamini kwamba kesho wakipewa Dola watakuwa tofauti na wale wanaowakosoa leo, basi tofauti hiyo inapaswa kuonekana kabla hawajapewa Dola, hapo ndipo credibility ya agenda yao inapopimwa" -Nyanda
 
In fact,
wanahitaji zaidi kujitathimini 🐒
 
Ndio swala la kujitafakari hilo kweli?. KUTOKWENDA KWA MTESI WENU KUNA LA KUJIULIZA HAPO?.

Na sio kweli kulinganisha CHADEMA wakiingia madaraka ukafananisha na mapitio yanayopitishwa sasa. Ni uongo.

Sisi Watanzania hatuna jema kabisa. CHADEMA wangeenda msibani ndio kabisa maneno yangekuwa mengi. Sioni sbb ya CHADEMA kwenda huko.
 
Kibanadamu hakuna shida kwenda kuhani msiba wa mpinzani wako. Ishu ni kwamba mazingira ya kisiasa yanakataa. Mwenyekiti yuko ndani, aliyefiwa ana nguvu za kuamua atoke au asitoke, maana yake ni yeye ndiye kamuweka ndani. Sasa utaendaje kwa hasimu wako kutoa pole katika mazingira haya? Lissu katoa pole huko huko aliko zifikishwe. Huenda angekuwa nje CHADEMA official wangeenda kutoa rambirambi zao haina shida
 
Kuna kitu sielewi, hivi chadema ikishika dola ikayafunga haya majizi yote kuna mtu atasema ni visasi?
 
..mimi nashauri Chadema wasiende kuhani kwa Ssh.

..Na uamuzi huo ni kuthibitisha kwamba hawapendezwi na matendo ya kikatili ya utawala wa Ssh.

..Haiingii akilini kwenda kumpa pole muuwaji pale ambapo na yeye amefiwa.

..Na sio sahihi vilevile kupokea pole au rambirambi toka kwa wauwaji pale ambapo wamekuulia mtu / watu wako.

..Chadema wasiende kuhani misiba ya Ccm. Na wasiruhusu Ccm wahani misiba ya Chadema pale wanapowauwa.

..Kwenda kuhani msiba wa Ssm ni kuileza dunia kwamba " mpo naye " mnahusiana naye vizuri.

..Na Chadema kutokwenda kuhani msiba huo kusichukuliwe kwamba watalipiza kisasi. Kama Chadema wangekuwa watu wa kulipiza visasi wangeshafanya hivyo maana watu wao wengi wameuwawa.

..Mtawala anayeuwa ni lazima atengwe na jamii.
 
Kuna kitu sielewi, hivi chadema ikishika dola ikayafunga haya majizi yote kuna mtu atasema ni visasi?

..swali lingine.

..Ssh amehani misiba mingi ya wapinzani.

..Ssh pia amefadhili matibabu ya baadhi ya wahanga wa utekaji.

..Ssh alikwenda kumtembelea TL alipokuwa hospitali akijiuguza.

..Pamoja na kufanya yote hayo bado utawala wa Ssh umezidisha utekaji, utesaji, na mauaji ya wanaharakati, na wapinzani.
 
Kibanadamu hakuna shida kwenda kuhani msiba wa mpinzani wako. Ishu ni kwamba mazingira ya kisiasa yanakataa. Mwenyekiti yuko ndani, aliyefiwa ana nguvu za kuamua atoke au asitoke, maana yake ni yeye ndiye kamuweka ndani. Sasa utaendaje kwa hasimu wako kutoa pole katika mazingira haya? Lissu katoa pole huko huko aliko zifikishwe. Huenda angekuwa nje CHADEMA official wangeenda kutoa rambirambi zao haina shida

..hapana.

..kuna shida kuhani misiba ya watawala mnaowatuhumu kwa mauaji.
 
Anaandika Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Mkazi wa Jijini Mwanza Alloyce Nyanda (Mtozi), akionesha kuunga mkono chapisho la Msanii wa Muziki wa 'HipHop' Nchini, anayeishi Nchini Marekani kwa sasa Roma Mkatoliki (ambalo tumeweka kwenye post iliyopita):

"Ukisoma andiko la Roma, kama utataka kulichambua linaweza kuwa na swali moja kuu je, kinachowafanya CHADEMA mpaka sasa hawajaenda kuhani Kizimkazi ni kipi?"

"Roma anasema kwenye agenda kuu za CHADEMA ndipo kuna tricky kubwa kwamba ukimpinga mtu kwa jambo fulani, basi na wewe unatakiwa usiwe mtu wa kufanya jambo hilohilo"

"Roma anasema wananchi wanapaswa kuelewa kwamba 'CHADEMA wakishika Dola, hawatafanya haya na yale wanayofanya hawa Watawala', Hatutaua (kwahiyo inabidi wasiue hata sasa na wao CHADEMA), Hatutaiba (kwahiyo inabidi wasiibe hata sasa, yaani CHADEMA wasiwe wezi), Hatutafurahia kuona Binadamu amekufa au ameuliwa hata akiwa ni adui (na inabidi waanze kuonyesha hilo sasa), Adui akifa au akifiwa tutaenda kuzika na tutaenda kuhani msibani (Hata sasa CHADEMA waonyeshe hili)..."

"Ukiniuliza hata Mimi Mtozi naweza kuweka swali langu kuu, 'Kipi kinawafanya CHADEMA mpaka sasa hawajaenda kuhani kwa Ndugu Samia wakati amefiwa na Mume wake Hafidh Ameir Hassan?, msiba huo ulitokea Septemba 07.2026...

Je, ni visasi?, na kama ni visasi juu ya nani?, na wakipewa Dola watawalipisha wangapi?

Na kwenye agenda za CHADEMA kuna eneo la visasi?, Kwa sababu kama wanataka wananchi waamini kwamba kesho wakipewa Dola watakuwa tofauti na wale wanaowakosoa leo, basi tofauti hiyo inapaswa kuonekana kabla hawajapewa Dola, hapo ndipo credibility ya agenda yao inapopimwa" -Nyanda
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Mbona yeye uyo Mtonzi Nyanda hajaenda kizimkazi....🤔🤔
 
Back
Top Bottom