Poleni jeshi la polisi kwa msiba huu mzito

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,585
Reaction score
103,412
Kama waungwana tunatoa pole. Basi na nyinyi tunawaombea mubadirike muwe Police Peoples Service and NOT Force.

Ikataeni falsafa ya Kifo ni Kifo.

RIP Kamanda.
 
Attachments

  • IMG-20260911-WA0010.jpg
    IMG-20260911-WA0010.jpg
    147.7 KB · Views: 18
What goes around… hawa jamaa inabidi wafanye misa na dua ya kutubu dhambi zao kwa kuonyesha wapi miili imezikwa hata kama imechomwa waonyeshe watu wafanye mazishi la sivyo laana itawatafuna. Watagongwa na magari , bodaboda ,watajinyonga na wengine watapigwa hadi na madaktari.
 
Hawatokaa waonyeshe, namashaka hata hao walioshiriki sidhani kama wako hai
 
What goes around… hawa jamaa inabidi wafanye misa na dua ya kutubu dhambi zao kwa kuonyesha wapi miili imezikwa hata kama imechomwa waonyeshe watu wafanye mazishi la sivyo laana itawatafuna. Watagongwa na magari , bodaboda ,watajinyonga na wengine watapigwa hadi na madaktari.
Wataanza kutembea na AK47 sasa muda sio mrefu wataanza kuwapiga watu za kichwa na kuwafumua vichwa na hawatofikishwa popote, utashangaa traffic yupo barabarani mgongoni ana AK47
 
What goes around… hawa jamaa inabidi wafanye misa na dua ya kutubu dhambi zao kwa kuonyesha wapi miili imezikwa hata kama imechomwa waonyeshe watu wafanye mazishi la sivyo laana itawatafuna. Watagongwa na magari , bodaboda ,watajinyonga na wengine watapigwa hadi na madaktari.
Hivi mbona sioni watanganyika wanao dai miili ya wapendwa wao? Kuna nini hapa?
 
What goes around… hawa jamaa inabidi wafanye misa na dua ya kutubu dhambi zao kwa kuonyesha wapi miili imezikwa hata kama imechomwa waonyeshe watu wafanye mazishi la sivyo laana kifo tu"itawatafuna. Watagongwa na magari , bodaboda ,watajinyonga na wengine watapigwa hadi na madaktari.
Hapana mkuu kuna falsafa ya " Kifo ni kifo tu"
 
Back
Top Bottom