Wasanii wamfariji Rais Samia baada ya msiba

Wasanii wamfariji Rais Samia baada ya msiba

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
702
Reaction score
631
Wasanii mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Sept, 2026.
IMG-20260909-WA0009.jpg
IMG-20260909-WA0007.jpg
IMG-20260909-WA0011.jpg
IMG-20260909-WA0005.jpg
IMG-20260908-WA0148.jpg
 
Wasanii mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Sept, 2026.View attachment 3666241View attachment 3666242View attachment 3666243View attachment 3666244View attachment 3666245
HAWANA KAZI ZA KUFANYA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom