Ujumbe wa Oman wamfariji Rais Samia kufuatia msiba

Ujumbe wa Oman wamfariji Rais Samia kufuatia msiba

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,104
Reaction score
873
Ujumbe wa Mawaziri kutoka Oman wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Septemba, 2026.
IMG-20260911-WA0109.jpg
IMG-20260911-WA0110.jpg
IMG-20260911-WA0111.jpg
IMG-20260911-WA0112.jpg
IMG-20260911-WA0113.jpg
IMG-20260911-WA0114.jpg
 
mrudisheni Humphrey Polepole vinginevyo huyu bibi aendelee kujificha huko huko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom