Hongera kwa kuongezewa mshahara!
Unadhani sasa ni muda wa kuongeza simu mpya, gari ama nguo mpya?
HAPANA! Usifanye hivyo aisee, jitahidi uendelee kuishi kama ulivyokuwa hujaongezewa na helauliyoongezewa itunze yote 100% baada ya miezi 12 hivi au zaiid.
Uhuru wa kiuchumi unakuja namna hii...