Mwandishi Wetu, DODOMA, Aprili 26, 2026
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametumia mamlaka yake ya kikatiba kutoa msamaha wa kupunguza adhabu kwa wafungwa 1,369 nchini, ambapo wafungwa 436 wameachiwa huru mara moja huku wengine 933 wakipunguziwa vifungo vyao...