Kwa hiyo kampeni yake haina uhalisia?Godfrey Tumaini maarufu kama Dudubaya ambaye ni mwanaharakati wa kulinda migongo amemuomba msamaha msanii mwenzake Ommy Dimpozi akisema alitumia jina lake katika harakati zake kutengeneza content tu ili ujumbe ufike mbali!
View attachment 3680772
Kwahiyo tutegemee na wale Ommy Dimpoz wa JF kuombwa msamaha?.Kwa hiyo kampeni yake haina uhalisia?
Kwa hiyo gays community mmekuwa relieved?Godfrey Tumaini maarufu kama Dudubaya ambaye ni mwanaharakati wa kulinda migongo amemuomba msamaha msanii mwenzake Ommy Dimpozi akisema alitumia jina lake katika harakati zake kutengeneza content tu ili ujumbe uende mjini na ufike mbali!
View attachment 3680772
Watu wenye uelewa wana maoni na mtazamo huu. Tatizo akijitokeza mtu na kushauri hivi, wasio na uelewa wanasema anaunga mkono ushoga!Kama ni harakati,angeachana na kutaja majina ya watu.
Kina Lucas Mwashambwa BICHWA KOMWE - and others watapumua nowGodfrey Tumaini maarufu kama Dudubaya ambaye ni mwanaharakati wa kulinda migongo amemuomba msamaha msanii mwenzake Ommy Dimpozi akisema alitumia jina lake katika harakati zake kutengeneza content tu ili ujumbe uende mjini na ufike mbali!
View attachment 3680772
Hahahaa watesi wangu wamefedheheka.
Huyo kapigwa bitiiKuna mawili
1. Watu wazito wamempiga bitiii
2. Pesa imehusika
Kashfa za hiyo kitu sio yeye wa kwanza kuzisema
Huyo kapigwa bitii
Kuna ile kauli aliwahi kuisema ukimpiga kofi akiwa polisi yeye anarudisha matatu kwasababu polisi si sehemu ya yeye kupigwa mbona aliitubu. Uzuri ni kwamba anajua wazi kabisa kuna watu hawasemi mara mbili mbili nchi hii.Kabisaaa
Mtu mzito aliye nyuma ya Dimpoz kampiga bitiii 😂
😂😂😂😂😂😂😂Kuna ile kauli aliwahi kuisema ukimpiga kofi akiwa polisi yeye anarudisha matatu kwasababu polisi si sehemu ya yeye kupigwa mbona aliitubu. Uzuri ni kwamba anajua wazi kabisa kuna watu hawasemi mara mbili mbili nchi hii.