msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa App inayoweza kugenerate autocaption za kiingereza

    wakuu salam Ninaomba msaada wa Application kwa ajili ya kugenerate aoutocaption kwa lugha ya kiingereza. Au kwa video za lugha ya english. Ninajaribu kwa Capcut inafika mwisho inagoma. Sijaua kwa nini. Msaada kwa mwenye maarifa zaidi.
  2. JamiiForums Tanzania Je, Mungu anapokupa jaribu anakuacha upambane nalo au anakuletea na usaidizi wake? Mjamzito anataka msaada wangu, hatujawahi kuwa na mahusiano

    Nina miezi sita sina ajira wala kazi na hali yangu ya uchumi ni mbaya mno, sina hata pa kuhemea. Juzi nimekutana na mdogo wa rafiki yangu, tuliishi wote huko Arusha, dada ni mjamzito anasema amefukuzwa na bwanake, na bwanake karudisha na nyumba waliyokuwa wakiishi. Nimemwambia urudi kijijini...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta msaada wa kupata mwongozo nipate Visa kwenda Canada

    Wadau ebu nisiongee sana naomba nisimame kama kichwa cha habari yangu nilivyoandika kwa atayekuwa na msaada au mawazo yoyote napokea
  4. JamiiForums Tanzania Msaada. Nifanyeje desktop icons zionekane

    Wataalama naomba maelekezo ya jinsi ya kufanya ili hii laptop icons zaa desktop zionekane Kama kawaida. Kwa sasa muonekano ni huu
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kurudisha Yahoo mail adress tafadhali

    Habari ndugu Nakuja hapa naomba mnisaidie Nilikua na Yahoo adress ambayo imeshikilia vitu vingi lakini kikubwa kikiwa ni attached credentials zangu ambazo ni vyeti vyangu na docs nyingine za muhimu Original hard copy ya vitu vyote hivyo nimepoteza Nimejaribu kwenda kwenye help desk za yahoo...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Napata mtihani kupata field

    MREJESHO: Nimefanikiwa kusaidiwa kupata field wakuu, mungu awabariki wote mliotoa mchango wenu wa kimawazo katikabuzi huu. 🙏 Wakuu habari za wakati huu, Wakuu habari za wakati huu, Nakuja kwenu kwa ombi la unyenyekevu: Msaada katika kutafuta fursa ya mafunzo kwa vitendo. (FIELD). Kwa sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi naweza kupata Maziwa ya watoto wadogo ambayo ni Protein Free (hypoallergenic infant formula milk)

    Habari ya kazi Wakuu. Ndani ya mkoa wa Dar es salaam, maziwa hayo yasiwe ya Soya au Almond. Kwa kampuni yoyote ile inayozalisha maziwa ya watoto.
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa kitabibu kupunguza genitial herpes kujirudia rudia, kila nikikaribia period

    Habari zenu ma Dr. natumai mu wazima wa afya. Naomba kwenda moja kwa moja kwenye mada, ni kwa muda wa miaka miwili na kitu sasa nimekua nikisumbuliwa na vipele ambavyo vinatokea ukeni kila nikikaribia perio, hivi vipele vinaanza kama blisters (ni sawa na vile vidonda vya homa vinavyotokeaga...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwa ramani hii

    Wakuu, Ni matumaini yangu mpo bukhery. Naombeni msaada wenu hapa kwenye haka karamani. Target yangu ilikua ni kutumia tofali range ya 3200-3600 .... Sasa nimeambiwa tofali 4300 kichwa kinawaka moto. Msaada wenu wakuu.
  10. JamiiForums Tanzania Wakristo tushukuru sana ndoa zinaweza kuvunjwa mahakamani, Makanisa hayana msaada, Sheria zetu za ndoa zipo mdomini tu ila si kwa uhalisia

    Kuvunja ndoa ya kikristo ni mpaka kifo ama kuchepuka, Kwanini wakristo hawatii sheria zao wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa kwa sababu zingine? -Mke au mume wako ni mwema kabisa tabia njema wala hana tatizo, mara paap! Kapata kazi huko Marekani, likizo yake ya kurudi ni wiki 2 tu mwaka...
  11. JamiiForums Tanzania Nyumba nzima yateketea kwa moto Kyela. Hakukuwa na msaada wa zimamoto hakuna kilichookolewa

    Ndivyo hali ilivyotokea mchana wa leo hapa kyela. Ni mtaa wa Mageleza karibu na chuo cha KPC. Kyela inagari la zimamoto pamoja na wataalamu wa uokoaji. Chanzo cha moto huo na madhara bado havijajulikana
  12. JamiiForums Tanzania Vijana wengi hutafuta msaada wa kushikwa mkono lakini ikitokea wameshikwa huzichezea bahati na kufanya madudu

    Bila Shaka mpo Pouwa! Kwa kweli Njia ya kujiajiri ni ngumu Sana. Kupitia ugumu huo waliofanikiwa kujiajiri huwa na heshima na umakini wao kiasi kwamba inawawia vigumu kuamini Watu kirahisi hasa wale wakuwasaidia. Vijana wengi wanapenda Sana kushikwa Mkono, kusaidiwa iwe sehemu za kujishikiza...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Ubungo Hostel - UDSM

    Habari wadau wa JF? UDSM ina hostels Ubungo karibu na Mic hotel au Ubungo bus terminal ambazo ni kwa ajili ya Masters na PhD students. Naomba kuuliza utaratibu iwapo mwanafunzi wa Masters anahitaji kuishi Ubungo na sio Mabibo, what procedures to follow. Msaada kwa waliowahi kusoma hapo UDSM...
  14. JamiiForums Tanzania Naweza kubadili kozi niliyopangiwa?

    Hiivi naweza kubadili kozi ya kusomea maana nmepangiwa DIT na serikali. Je, naweza kubadili kama nkifika chuo, inawezekana? 🤔
  15. JamiiForums Tanzania naomba msaada

    hivi Naweza badili coz maana nmepangiwa DIT na serkali Naweza badili kama nkifika chuo inawezekana🤔
  16. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu salary scale za "NECTAR"

    Naomba kupata salary scale za "NECTAR" Naomba uelewe hilo neno NECTAR. Asante
  17. JamiiForums Tanzania Msaada bei ya kioo cha PC

    Wakuu, Habari naomba msaada kujua bei ya kioo ha Pc pamoja na charge yake ni HP.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua gym maeneo ya Africana, Mbezi Beach

    Naombeni mnisaidie wapi nitapata GYM maeneo ya Mbezi Africana. Ndipo ninapoishi. Naona uzito unaongezeka na si nzuri sana kiafya. Pia sipendi kuwa na mwili mayai mayai. Sasa maeneo ya huku sijajua wapi naweza pata Gym nianze kufanya mazoezi. Na kama kuna Kampani pia si mbaya. Mimi naishi Mbezi...
  19. JamiiForums Tanzania MSAADA TUTANI: Ninaomba msaada namna ya ku-apply Songea Teachers' College

    NB: Mada husika ipo kwenye paragraph ya pili. Heshima kwa wanajukwaa wote, baada ya salamu naomba niende moja kwa moja kwenye jambo la msingi. Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2022 na ninahitaji kujiunga na chuo cha Ualimu cha Songea (Songea Teachers' College) ili nisomee Diploma kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada

    Mimi ni muhitimu wa kada ya afya clinical officer Niliapply avn number mwaka Jana nikatumiwa , Sasa kila nikijaribu kuitumia ku apply lesseni inagoma naambiwa hii avn namba haipo nisaidieni jamani mwenye uzoefu na hili
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…