msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kuhusu VPN

    Ni VPN gani ambayo ni inaweza kutumia kwenye Desktop computer? Ambayo ni Free!
  2. JamiiForums Tanzania Trump: sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ulaya wamekanusha

    Wanaukumbi. BREAKING: TRUMP IMEFICHUKA ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Trump โ€“โ€“ "Sasa wakati sihitaji msaada kutoka kwa mtu yeyote, nchi za NATO zinanipigia simu kutoa msaada" Ukweli wa Kufurahisha: ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Italia ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Uingereza ilikubali haikumpigia Trump simu ya msaada ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada Njia nzuri kumlipa Supplier China

    Habari Wakuu, Kamakawaida mtafutaji hachoki, Leo bana nimekuja na kipengele hicho hapo juu kama heading inavyojieeza, naimani uzi huu utakuwa solution kwa wengi sana. Mimi ni mpambanaji najitafuta nimekuwa nikihusle sana kulipia bidhaa zangu China kwa Suppliers hususani katika njia ambazo ni...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa kuelewesha kuhusu Tangazo la kazi lililotolewa na JWTZ 14.04.2026

    Habari za zenu wana JF, Husika na mada hapo juu mimi ni kijana Mtanzania, ambaye nimeona nikajitolee kulitumikia Taifa kupitia Jeshi la Wananchi. Tangazo nililiona na vigezo vyote ninavyo, ila sasa sijaelewa kitu kimoja ambacho naomba msaada wenu kwa ambao mna uzoefu na hili jambo. Shida...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yapata Aibu Nyingine Ni Baada ya Uganda Kukataa Kuwapa Msaada wa Mafuta

    My Take Wakaombe Kwa Beberu USA wanakoshoboka huku wakisifiwa na desperate and useless Chadema fans ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡ Kiukweli Uganda wamejua kunifurahisha. Tanzania ya Samia tuna Akiba ya miezi 3 na matenki yakikamilika tutakuwa na Akiba ya mwaka mzima. ----- Uganda ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ has turned down Kenyaโ€™s ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช request...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada kisheria kero ya mkopo

    Salaam! Naomba kupata ufafanuzi nini nifanye kwenye hili; Nilichukua mkopo wa Tzs. 5m hati ya dhamana. Nimefanikiwa kurejesha Tzs. 4.3m hadi sasa. Deni lililobaki ni Tzs. 700,000 ambayo deni halisi ni 500,000 na 200,000 ni interest kwa kuchelewa kukamilisha rejesho, mpaka muda huu nipo nje ya...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu simu yangu haisomi line ,na wi-fe,hotspot, Bluetooth haziwaki

    Simu in Samsung A12 Nili nunua unboxed haijawahi sumbua kabisa ,ila hili tatizo lime anza baada ya kubadii kioo Nili peleka kwa fundi aka badili waya wa mtandao lakini tatizo Bado lipo aka suggest ni flash nimekuja kwenu wajuzi njia mbadala kabla ya iyo kuflash Note Simu haisomi kabisa ina...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada Wauzaji wa Pump za maji za Hydram

    Habari ndugu wana JF Naombeni msaada wa kujua muuzaji wa hizi pump kwa hapa Tanzania. Nimejaribu kusearch online sijapata muuzaji kwa hapa Tanzania. Mwenye kujua naombeni msaada wa maelekezo.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimekuwa addicted na tadalafi (Viagra) kwa muda mrefu

    Habar wakuu mim nimwanume umri miaka39 baada yakuhangaika sana na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu takribani miaka 9 bila kupata ufumbuzi.mwaka2023 nilibahatika kukutana na professor mmoja wa urology baada nae pia kunifanyia vipimo nakugundua Sina tatizo lolote Zaid ya tatizo la hormones...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada Tafadhali: Namna ya kufix issue ya Adsense YouTube

    Habari za uzima wana JF, Nina changamoto kidogo kwenye kufix Adsense kwenye YouTube Account Yangu, mwenye ujuzi kuhusu hili, Naomba msaada
  11. JamiiForums Tanzania Msaada namna ya ku-verified number kwenye YouTube

    Wakuu salamu. Naombeni msaada namna ya ku verify number kwenye YouTube channel. ๐Ÿซถ
  12. JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na hili naomba msaada

    Wakuu nilianza kupata changamoto ya hairline kurudi nyuma japo umri wangu ni miaka 28 nilijaribu kutumia mafuta mbalimbali but sikupata matokeo. Ni kwamba nywele zangu za mbele zimeanza kuondoka. Baada ya kufeli nikaamua kutumia Minoxidil kirkland nakimbilia mwezi sasa but changamoto nayikutana...
  13. JamiiForums Tanzania Nimetumia dawa za H-pylori kwa wiki moja ili sipati ahueni, naomba msaada wa dawa

    Ninatumia dawa za h-pylori dozi ya pili leo natimiza wiki moja ila sipati afueni yoyote kizunguzungu km nataka kuanguka bado kipo mwili kujiskia vibaya hali bado ipo,nikitembea kdg tu maruerue km naanguka bado yapo,ivi niendelee na dawa au nirudi hosptal?
  14. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakabidhi msaada wa chakula kwa Msumbiji

    TANZANIA YAKABIDHI MSAADA WA CHAKULA KWA NCHI YA MSUMBIJI Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekabidhi msaada wa tani 500 za mahindi kwa Serikali ya Jamhuri ya Msumbiji kufuatia mafuriko yaliyoikumba nchi hiyo kutokana na mvua kubwa zilizonyesha. Msaada huo umekabidhiwa Machi 24...
  15. JamiiForums Tanzania Kutoa msaada ni sadaka inayoweza kukufanikisha katika mambo mengi kwenye maisha yako

    Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia, Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu,Nimerogwa na mpenzi

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Natumaini jamiiforums ina watu wenye experience na ujuzi katika mambo mbalimbali, Tatizo langu, Nimerogwa na mpenzi,sasa siwezi kufanya mapenzi na mwanamke mwingine tofauti nayeye tu. Nikiwa na yeye mashine inasimama safi tu, Lakini nikiwa na mwanamke...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Printer gani itafaa kwa matumizi ya ofisi ndogo

    Wakuu kama title inavojieleza, tunahitaji Printer itakayoweza Copying, printing colored na Scanning. Sifa iwe na running costs ndogo japo pia matumizi yetu ni madogo labda ku print Karatasi 10-15 kwa wiki au chini ya hapo. Budget ni haizidi 450K, labda iwe pungufu ya hapo. Kuna zile naskia...
  18. JamiiForums Tanzania Ukikua utajua wale uliokuwa unawategemea wakusaidie kumbe nao wanahitaji Msaada. Jifunze kujitegemea

    UKIKUA UTAJUA WALE ULIOKUWA UNAWATEGEMEA WAKUSAIDIE KUMBE NAO WANAHITAJI MSAADA. JIFUNZE KUJITEGEMEA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Sisi Watibeli tunajifunza kujitegemea mapema tuu baada ya kujua uchi ni nini. Baada ya kusikia haya na aibu kutembea bila nguo. 2. Ndio maana maisha yetu...
  19. JamiiForums Tanzania Chuo gani Zanzibar kinachotoa Degree ya saikolojia

    Je Chuo gani Zanzibar kinachotoa Degree ya saikolojia nimesoma HKL je nitakubaliwa mwenye experience naitai msaada
  20. JamiiForums Tanzania Ommy Fitness: Kukimbia ni zoezi baya sana lisilofaa kufanywa. Halina msaada

    Kwa mujibu wa huyu mtaalamu wa mitandaoni KUKIMBIA ni zoezi baya sana lisilofaa. Sababu aliyotoa ni kuwa mbona wanyama hawafanyi mazoezi ya kukimbia na wana spidi kali kuliko sisi?.. Unakubaliana naye? https://www.facebook.com/share/v/1ZnKNHuYMT/
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ