Msaada: Naomba njia sahihi ya kukataa uteuzi wa rais bila kumkasirisha Rais

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,536
20,884
Sio utani.

Wakuu heshima kwenu.

Vyanzo vyangu vya uhakika kabisa ambavyo vingine viko kwenye jungu la ushauri la uteuzi wa rais vimeniambia ndani ya wiki moja mpaka mbili jina langu litakuwa moja katika mabadiliko fulani fulani katika uRC na uDC.

Nimeambiwa kwa uhakika kabisa kuwa kuna nafasi ya uRC ambayo kijana anayoishika kwa sasa anaonekana kupwaya hasa kwa kauli zake tata na hivyo unaandaliwa mchakato wa yeye kurudishwa katika majukumu mengine ya chama na hivyo nafasi yake kupatiwa mimi.

Kwa sasa nina furaha kubwa na kazi yangu ninayoifanya na hivyo nina mpango wa kukataa uteuzi huu. Naomba msaada na njia sahihi ya kukataa uteuzi huu bila kumhudhi mh Rais.

Natanguliza shukrani.
 
.
 

Attachments

  • 200 (10).gif
    200 (10).gif
    3.7 MB · Views: 2
Sio utani .
Wakuu heshima kwenu.
Vyanzo vyangu vya uhakika kabisa ambavyo vingine viko kwenye jungu la ushauri la uteuzi wa rais vimeniambia ndani ya wiki moja mpaka mbili jina langu litakuwa moja katika mabadiliko fulani fulani katika uRC na uDC. Nimeambiwa kwa uhakika kabisa kuwa kuna nafasi ya uRC ambayo kijana anayoishika kwa sasa anaonekana kupwaya hasa kwa kauli zake tata na hivyo unaandaliwa mchakato wa yeye kurudishwa katika majukumu mengine ya chama na hivyo nafasi yake kupatiwa mimi.
Kwa sasa nina furaha kubwa na kazi yangu ninayoifanya na hivyo nina mpango wa kukataa uteuzi huu. Naomba msaada na njia sahihi ya kukataa uteuzi huu bila kumhudhi mh rais.
Natanguliza shukrani.
bado hujasema, mpaka useme 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom