msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je, ni sahihi Jamhuri kukata rufaa baada ya miaka miwili ya hukumu kupita?

    Wakuu naomba kueleweshwa, nilishtakuwa Kwa kesi ya jinai na Jamhuri miaka miwili imepita sasa toka hukumu ilipotolewa na mahakama iliniachia huru baada ya kujiridhisha na ushahidi. Imepita sasa miaka miwili, Jamhuri wamekata rufaa. Naomba mnieleweshe imekaaje hii ya rufaa imepita miaka miwili
  2. otimbiotimbi

    JamiiForums Tanzania Viupele hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno, ni ugonjwa gani?

    Yani hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno ,vinapoanza panaanza kuwasha kwanza halafu vikishatokezea kama vipele ila vinakuwa kama mtu kaungua na moto hv yaani ukiminya vinakuwa na maji yani vinauma kweli kweli. Vinaweza kukaa kama miezi mwili ama mitatu vinarudi tena...
  3. B

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Msaada wa haraka wapendwa, mgonjwa wangu anahitaji Upasuaji MOI na familia haina fedha

    Nawasalimu ndugu zangu. Samahani kwa usumbufu, kaka yangu alipata ajali mbaya sana ya pikipiki akiwa kwenye mizunguko yake. Aliumia hasa, akapelekwa Taasisi ya MOI, ndugu tumepeleka hela nyingi tuzizochanga familia yetu ni duni sana zimeisha kwenye vipimo, sasa tangu Ijumaa amegundulika...
  4. Kinamba namba

    JamiiForums Tanzania Nina maumivu makubwa moyoni, hadi nimepata mawazo mengi mabaya kiasi cha kutamani kujidhuru

    UPDATED 18 JAN 2025 GOD BLESS ME
  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Remote jobs

    Hello! Msaada jamani waliowahi kufanikiwa na hizi remote jobs Huwa wanatuambia njia zipi maana Huwa naapply cjawahi pata na nasikia Kuna watu wanapata tupeane Siri angalau tupate kupata kipato Cha ziada
  6. F

    JamiiForums Tanzania Jaman msaada wa muongozo wa interview Assintant aircraft mashaller

    Msaada wa muongozo interview kada ya Assintant Aircraft Mashaller
  7. K

    JamiiForums Tanzania RC Songwe apongeza msaada wa magodoro 60 kwa Wagonjwa, vitanda 40 vya Shule na madawati 100

    Wagonjwa Hospitali ya Rufaa ya Songwe watapa msaada wa madogoro 60, Shule 40 na madawati 100 kwa Shule za Msingi Londoni na Sai. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, ameipongeza Benki ya NMB kwa kutenga sehemu ya faida wanayopata kurudi kusaidia jamii, ametoa pongezi hizo leo Oktoba 22...
  8. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani wa gharama za kuvuta maji taka

    Gharama za kuvuta maji taka kwenye karo ni Tshs kwasasa kwa mwenye ufahamu ? Nipo Mbezi Luis Dar es salaam, kama nitapata kujuzwa bei na namba za simu za watu wanaopatikana jirani na Mbezi Luis nitashukuru Ahsante
  9. Kichwa kikubw

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kurudisha file la mobile data Icon kwa juu ya simu Galaxy A15 yangu

    Wanajukwa habari za wakati huu ndugu jamaa na marafiki natumai nyote ni wazima waafya .Lengo kuu la kuandika uzi huu nikuwaombeni msaada wale wataalamu wa maswala ya Technology and science in computer skills and accessories. Jaman mm natumia simu aina ya Samsung galaxy A15 nimei UPDATE jana...
  10. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kwa msaada wa AI GEMINI leo natunukiwa tunda.

    Akili mnemba ndio habari ya mjini hatimaye kwa mara ya kwanza kupitia Gemini somebody daughter kaingia kwenye mfumo. Naungana na waliosema teknolojia imekuja kurahisisha maisha.
  11. I

    JamiiForums Tanzania Hivi ukipata mkopo 100% Boom unaweza kupata lote

    Hivi ukipata mkopo 100% Boom unaweza kupata lote
  12. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika: Jina la website ya movies na series inayotumia Mb chache.

    Habari wanaJukwaa! Nawapa salamu za Jumapili hii ya tarehe 20/10/2024 ambayo nayo inaanza kuyoyoma taratibu. Shida iliyonileta ni kupata website nzuri ambayo ina series na movies za Hollywood ambayo ina packages zote hizo kwa Mb chache, nimejaribu kuingia fzmovies ila spidi yake hairidhishi...
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Putin aomba msaada wa Wanajeshi Korea Kaskazini

    Naona mkakati wa NATO unafanikiwa sana. Kumdhoofisha Putin. Sasa imenyesha paananza kuonekana panapovuja.
  14. konrad

    JamiiForums Tanzania Msaada: AVN number inatumika kwenye kuomba lesseni kwa Clinical Officers (CO)?

    Naomba kuuliza je AVN number inatumika kwenye kuomba lesseni kwa Clinical Officers (CO)
  15. nipo online

    JamiiForums Tanzania Kesho naelekea Tengeru Arusha, naomba location kutoka Arusha mjini

    Wakuu kwa mara yangu ya kwanza kufika kule namsindikiza mdogo wangu anaenda chuo cha tengeru. Sina experience yeyote najua hapa nitapata ABC zake. Shukrani.
  16. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa vitu vya watoto

    Salamu wakuu Maisha haya ukiwa mzima na watoto wako shukuru Mungu Kuna ndugu nilikutana nae ana changamoto mwanae alizaliwa na kichwa kikubwa.alifanyiwa operation muhimbili dogo anaendelea vizuri kichwa kinapungua mdogo mdogo .ana miezi sita sasa Kusema kweli wazazi wale wamechokaaa maana kila...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Habari wa kuu, mm hapa naingia kwenye akaunti yangu ya muhas haionyeshi ka nimechaguliwa third round au laa ,na watafta hawapatikani,naombeni msaada
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya gari aina ya Verossa

    Napenda kufaaham ubora nanulaji wa mafuta wa gari aina ya verossa Mfano, taa ya mafuta imewaka umeongeza ya elf 10 lakini taa bado inawaka ni sahihi kutembelea hayo mafuta ya elf 10 taa ikiwa bado inawaka?
  19. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada juu ya hili

    Nina macbook toleo Hilo,je nifanyeje iweze kukubali apps za kuanzia 10.14 Natanguliza shukrani Chief-Mkwawa na wote naombeni msaada wenu wa mawazo.
  20. E

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa ya bawasiri inayoponyesha msaada tafadhali

    Msaada kwa mwenye ushuhuda kupona bawasiri kwa upasuaji au dawa za asili
Back
Top Bottom