msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. HAMISI HH

    JamiiForums Tanzania Mabati bora ya kuezeka nyumba

    Naomba ufafanuzi kwa wazoefu juu ya Mabati kwaajili ya kuezeka nyumba. Ni mabati gani ambayo ni bora zaidi ambayo hayana changamoto za kupauka na gharama zake. Maana sasa hivi viwanda ni vingi sana na kila mtu anavutia kwake.
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Matajiri wakubwa Tanzania hawana msaada wowote kwa jamii zaidi ya kuinyonya

    Nimekaa nakatafakari sana juu ya social benefits tunazopata kama jamii kutoka kwa Hawa tunaowaita businesses bundit wa hapa nyumbani. Kuanzia kwa Mohamed Dewj, Salim Bakhresa, Assas na wengine wengi hawana msaada wa moja kwa moja kwa jamii zaidi. Hivi kweli hizo Foundation wanazoanzisha mfamo...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali; namtafuta Mc Egron Rweyemamu

    Naomba msaada wanajamii forum. Yeyote anayeweza kuisaidia kumpata mtu anaitwa Osward Rweyemamu au jina kingine Mc Egron Rweyemamu. Alikuwa anajihusisha Sana na mambo ya ujenzi. Hata Kama mawasiliano ya mke wake au ndugu yake. Nashukuru kwa atakaye nisaidia. Asante sana.
  4. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa ya fungus kwenye vidole vya miguu

    Anayejua dawa ya fungus anisaidie tafadhali
  5. DIFFENDA

    JamiiForums Tanzania Msaada mawasilianobya kiwanda Cha turubai

    Habari. Mwenye kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza turubai za P.E zile nyepesi za blue ninaomba mawasiliano yao. Nimejaribu kutafuta mtandaoni sijafanimiwa. Asante
  6. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka Cursor haitembei

    Wakuu za jumapili. Laptop yangu aina ya HP, Leo imezingua sjui nmebonyeza wapi, cursor haitembei ,imestuck. Naombeni msaada please maana Nina kazi za kiofisi inabidi nizikamilishd
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa matibabu

    Mwenye ufahamu wa dawa ya mitishimba kama tiba ya maumivu chini ya mgongo.
  8. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye kujua jina la band na wimbo unaozungumzia Nyerere kutembea kwa miguu kutoka Butiama hadi Mwanza kuunga mkono Azimio la Arusha

    Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya: ..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza. Juhudi za Mwalimu na watanzania wote, haikupita miaka mingi tukatoka utumwani.... Ni wimbo wa miaka mingi...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye radiography

    Hello,kama kawaida jamiiforums ikiwa ni maskani ya kupata maarifa,basi wacha nami nichote maarifa kidogo Mwanzo kabisa nawashukuru wote ambao mliitikia positively katika thread yangu juu ya radiography na baadhi yao walinipatia material kabisa nawashukuru sana, kweli jamiiforums imejaa makada...
  10. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Msaada kung'oa jino la juu limetoboka au kama Kuna njia nyingine ya kulitibu nakaribisha

    Habari za usiku huu, Nina jino upende wajuu kushoto limetoboka lina miaka 5 sasa lakini haliumi mpaka ukilitumia kutafunia ndio linaleta maumivu ya muda baadae kidogo yanaacha ni nikaamua kuwa natafunia upende mmoja wa kulia kwa miaka sasa ila shida iliopo nikilitafunia kitu kwa bahati mbaya...
  11. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Mshamba wa jiji nahitaji msaada wa kufika maeneo haya

    Nimetoka zangu Tukuyu Mbeya nimekuja na scania mende na humo nilijaza mzigo wa ndizi matoki wote wangu na nimefanikiwa kuuza jana wote soko la mabibo nina kakibunda kanene kiasi na lengo la kujaza scania mende hii ni kwa ajili kuweza kufanya matanuzi na kukamata wachumba kede kede wa daslam...
  12. konrad

    JamiiForums Tanzania Msaada: AVN yangu inasoma kwenye number ya simu ya mtu nisiyemjua!

    Wakuu Naomba kujua Huyu Ndugu, Anaweza saidika Vip? Alikuwa amesafiri kwao huko kijijini, sasa Juzi amerudi Dar,sasa akaanza mchakato wa kuomba AVN number , kila akiingiza details zake anambiwa the user mwenye hizo details ameshakuwa registered, sasa akashindwa kuamini, maana haujawahi kuomba...
  13. ricochetmarcus

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TTCL iangalie huduma za mawasiliano Kata za Kikio na Misughaa Mkoani Singida

    Tunaomba Kampuni ya Mawasilano ya TTCL iangalie huduma za mawasiliano katika mnara uliopo katika Kata za Kikio na Misughaa Mkoa wa Singida. Kuna muda Mtandao unakuwa haupo inakuwa kero sana, inadaiwa chanzo ni kutokana na mnara huo kutumia Mitambo ya Sola licha ya kuwa nguzo za umeme zipo...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Msaada; Jinsi ya ku 'disign' baiskeli ya kubebea biashara

    Wakuu, nimejiajiri kwenye biashara ndogo ndogo Mwenye picha au wazo, jinsi ya kutengeneza hiyo baiskeli yenye uwezo wa kubeba bidhaa kama; Miwa, fenesi, madafu na matunda mengine Naombeni picha au wazo nmpe fundi Natanguliza shukurani
  15. Reptilia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimefuta Xender na Miziki yangu pia imefutika

    Wakuu kama ilivo ainishwa hapo juu, MSAADA ninao hitaji nikwamba Jana KWENYE harakati za kwny 1 na 2 nmejikuta nimelifuta file la Xender kwenye simu yangu lakini Cha kushangaza sasa zile MIZIKI nilizokuwa nmezihamishia kwenye hii cm KUPITIA hii Xender kuja kwenye simu yangu nilioifuta ki...
  16. Investaa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa machimbo ya jeans bei ya jumla

    Habari wa JF. Kama title inavyojieleza hapo juu nahitaji chimbo ya jeans kkoo kwa bei ya jumla, kuna jamaa niliongea nae leo tuonane kkoo anipeleke matokeo yake hapokei simu ko nimeenda nimerudi empty.
  17. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wajuvi wa sheria

    Ile form ya District Land and Housing Tribunal ya kufanya application to institute a suit, unawea kuijaza kwa kiswahili au lazima iwe kiingereza maana imetengeneza kwa kugha ya kiingereza.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Swali kuhusu mahusiano ya kirafiki/kijamaa kazini..

    Habarini, Nimekuja gundua maofisini kwenye eneo la kutaftia riziki, kwenye day to day interaction watu wako na mindset tofauti sana, ukilinganisha na eneo kama chuo. Nimegundua kuwa watu wanachunga sana wanachoongea kwa bosi na wafanyakazi wenzao, na waki interact na wafanyakazi wenzao...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Nawasemea, mama kuna watu vyandarua vya msaada wanafugia kuku

    Kuna mtu aliwahi kupost uzi kuwa mwafrika hatakiwi kupewa bima ya afya ya bure na serikali kwa sababu ya ujinga wake Mwafrika ni wajinga,watakunywa maji machafu,watafanya ngono zembe na watu zaidi ya 400,watalala bila chandarua serikali kuwapa bima watu kama hawa lazima ifirisike tu. Kuna...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utumishi wa mahakama hizi fani Civil, plumbing, electrical, welding & fabrication zinaaply wapi

    Habari wakuu! Hivyi karibuni yametoka majina ya waliopata ajira utumishi wa mahakama, miongoni mwao wapo wahandisi kwa maana ya maengineer na mafundi kwa maana ya Technician ( civil, plumbing, electrical, welding & fabrication) naomba kujua utumishi wa mahakama hizi fani zinaaply wapi? Au wana...
Back
Top Bottom