Wakuu kwema ,
Nimefungiwa laini yangu ya tigo kwasababu ety watu wengine hawajalipia huduma hio , kwanini wasifungiwe wao tu.
Wakuu mliowahi kupitia kero hii naombeni njia ya kusovu hili
Wajuvi habari zenu?
Baada ya kujishauri kwa muda mrefu kuhusu biashara ya kufanya ili walau nipate kipato nimeona suluhisho ni biashara ya stationary.
Na hapa nimeona kuwa wengi huwa wanakuwa na printer tu bila photocopy machine.
Na mimi ili niweze kubalance mtaji nimeona nianze na kimojawapo...
Wakuu habari za Leo.
Mimi hapa ni mhitimu wa diploma ya electrical engineering mwaka huu 2024. Naombeni msaada wa namna ya kupata uzoefu na ajira zinazo hususu umeme.
Mnisaidie mashirika yote binafsi na ya serikali yanayohitaji watu wa electrical ili niweze kuyafatilia yote kwani mm ni mgeni...
Habari ya majukum wakuu?
Naomba kujua kwa yeyote anayefaham wapi nàweza kupata kifaa hiki?
Kinaitwa TEMPERATURE AND HUMIDITY CONTROLLER
Kinauzwaje?
Mi napatikana Iringa
Speed - niweze kuseti speed ya juu kwa kila mtumiaji, mfano asivuke speed ya kudonload MB 1 kwa dakika
MB - iwe kama tunavyonunua mabando ya MB kwenye mitandao ya simu, ukimaliza MB connection inakata.
Nimepigwa na bumbuwazi wadau!
Natoka safari zangu naingia ndani namkuta mama mkwe (ana siku ya tatu Sasa hapa akiwa amekuja kututembelea) amejiinamia flani. Nikamuuliza, "mama vipi mbona umejiinamia?" Akaaniita na Kisha nilipofika alipo akasema tu, "angalia!" Basi akapandisha nguo yake na...
Nina kusudi la kuenda kilosa kutafuta maisha,naombeni msaada wa wapi pakuanzia.
Kodi ya chumba ni bei ghani kule??
Watu wanaopatikana huko ni wanaroho nzuri au hawataki wageni??
Utafutaji wa kule ni wa aina gani'je biashara na kilimo zinalipa kwa huko??
Nina mpango wa kwenda kuishi mvumi kilosa...
Nipo kwenye mahusiano na huyu Dada kwa mwaka mmoja na nusu sasa. Hatuishi pamoja lakini muda mwingi nipo kwake, ananihudumia kwa kila kitu. Mimi nafanya kazi lakini kipato changu ni kidogo sana siwezi kuhudumia mwanamke nayeye anajua. Amenilipia kodi kwenye nyumba nzuri, kaninunulia Pikipiki na...
Natumai Ni wazima nyote humu jamvini.
Mwanzo gari yangu ilikuwa in heat sana na ikawa inavuja maji,fundi akabadilisha gasget na cylinder head.kuwasha gari ikawa inakataa,yani inakaribia kuwaka lakini inaishia kuunguruma tu.
Fundi akcheki pump ya mafuta na akasema inashida,akaweka ingine na...
Habari zenu Wana jukwaa kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naomba mnisaidie tips pamoja na vitabu nitakavyokua nasoma kuongeza confidence yangu pamoja na kujiamini
Natanguliza shukrani na nipo hapa kusoma Kila comment na ushauri mtakaonipa
Symbian OS ilikuwa mfumo wa uendeshaji wa simu za mkononi ulioanzishwa mwishoni mwa miaka ya 1990 na mapema miaka ya 2000, kabla ya Android OS kuingia kwenye soko na ni mojawapo ya mifumo ya kwanza ya uendeshaji kwa simu za mkononi yenye uwezo wa kufanya kazi kama kompyuta ndogo. Iliweza...
Habari ndugu naomba msaada simu yangu ina tatizo unaweza kuitumia siku nzima ila kuna muda inajizima na kujiwasha na inaendelea kufanya hivyohivyo mpaka unapobonyeza kitufe cha kuzima ndio inafunguka sasa naomba kufahamu tatizo ni nini na suluhisho lake kabla sijaenda kwa fundi,ahsante.
Wakuu habari za majukumu ,natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained, kiwe na jiko na pia mazingira yenye usalama kwa maeneo ya Arusha-Njiro road kikipatikana mpaka maeneo ya kontena itakua vyema zaidi kwa bajeti ya 80,000-100,000.
Wakuu mambo vpi? Huku kukosa kazi kunatifanya tuapply kila kazi tunayoiona, ni changamoto.
Niliapply kazi ya Data Entry Clerk katika kampuni inayoitwa Silverlief trading limited kupitia tovuti ya Ajira zetu (kwa kujaza Google form).
Sasa leo nimeona email ya Ajirazetu yenyetaarifa za...
Ndugu zangu:
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Huyu ndugu anayetafutwa asili yake ni Zanzibar, Baba yake mzazi alishafariki. Lakini amekulia Dar es salaam.
Ana mjomba wake maeneo ya Kinondoni.
Mjomba wake by 2020 alikuwa ni Dr. Hapo maeneo ya Kinondoni. Said Jamal ATHUMANI katika
maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.