msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa hii ndoto

    Jamani napitia kipindi kigumu sana jana usiku kuamkia leo nimeota nimeingiliwa na mwanaume mwenzangu kushtuka usiku nimejikuta nimemwaga bao nilikemea ndoto ila bado naumia kwanii initokee mm jamani mwenye kujua hii ndoto au msaada naona sielewi kabisa
  2. Princekyoma

    JamiiForums Tanzania Msaada wa jinsi ya kuondoa makovu ya tetekuwanga

    Naomba kujuzwa dawa au mafuta ya kuondoa makovu baada ya kupitiwa tetekuwanga
  3. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kiukweli huyu mchezaji wa soka zamani Alphonce Modest anahitaji msaada

    Unaeweza tazama maswahibu anayopitia Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Tanzania na vilabu vya Mtibwa Sugar, Pamba, Simba na Yanga. Hapa tunamzungumzia, Alphonce Modest, beki aliyesifika kwa kukaba kwa nguvu na akili, kupandisha timu kwa kutengeneza mashambuliaji na kupiga krosi...
  4. JMF

    JamiiForums Tanzania Jina la mtoto limekosewa kwenye matokeo ya darasa la saba, msaada wa nini chakufanya

    Salaam wanajukwaa la sheria. Nina changamoto hiyo hapo juu, nimeileta jukwaa hili kupata ushauri wa nifuate utaratibu gani mwanangu aanze kidato cha kwanza na jina lake lilolopo kwenye cheti chake cha kuzaliwa. Limekosewa herufi mbili hivyo naona kabisa ataingia nalo form one na litakuja...
  5. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi Ya kushare MB Mtandao wa vodacom

    Wakuu habari ,kama kichwa cha habari kinavyosomeka naombeni msaada wa jinsi ya kushare data mtandao wa voda
  6. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Wazee naombeni msaada, mwili wangu unatoa sana jasho tiba ni nini?

    Nikitembea tu kidogo jasho kibao hata kama kuna baridi vipi. Mfano kukiwa na baridi yani ile baridi haswa naweza nikatembea fresh tu ila nikifika tu sehem nilipokua naelekea labda dukani au sehemu yoyote nikisimama tu jasho hizoo zinaanza kutiririka tena nyingi tatizo linaweza kuwa ni nini...
  7. BROTHER OF BROTHERS

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kupata changamoto hii kwenye ajira

    Habari ndugu zangu, wakubwa shikamooni na wadogo habari zenu. Nasimama na kuleta hoja hii kwa niaba ya Ndugu (Brother from another Mother). Mwaka jana 2023 huyu ndugu alifanikiwa kuomba ajira (Ajira Potal) na kufanikiwa kuitwa kufanya usaili alifanikiwa kufanya written na baadaye oral na hivyo...
  8. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Dar msaada taa za Mwenge kutozingatiwa

    Mara kadhaa napita barabara hii ya kutoka Tegeta kwenda Ubungo-Kimara, sasa ukifika hapo Mwenge mida ya saa moja jioni huwa sielewi utaratibu uko vipi, bahati nzuri huwa siwi wa kwanza kwenye foleni ya kusubiri taa ziruhusu, Huwa nafuata mkumbo Jambo ambalo sielewi, utakuta taa zimeruhusu...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu wa Biashara ya cake accessories

    Habari wadau!, Naomba mtu mwenye uzoefu katika biashara ya cake accessories (vifaa vya kutengenezea keki (isipokua oven), mapambo ya keki, mabox, ingridients za keki, n.k) anisaidie kunipa overview ya biashara hii pamoja na makadilio ya mtaji.
  10. Norshad

    JamiiForums Tanzania Kwa yeyote atakayeguswa na tatizo la huyu ndugu yetu, tunahitaji msaada wako

    Habari ndugu zangu. Natumai wote mpo salama, na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku. Ndugu zangu, na marafiki zangu na wasio kuwa Marafiki zangu, wote kwa ujumla nina jambo nataka kulileta mbele yenu kwa maana ni kweli kweli nahitaji msaada wenu, wa hali na mali na ushauri pia. Mdogo...
  11. Anonymous77

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona usiku wa leo, msaada wenu wanaJF

    Kwanza kabisa nianze Kwa salamu: Asalam alaykum na kwawale wasiopenda salamu hii basi habari za asubuhi ndugu zanguni wana JF. Kwanza kabisa ningependa kwenda moja kwa moja kwenye pointi husika nayo ni kile nilichokiona usiku wa Leo. Kwa kawaida yangu na ratiba zangu za kulala siku za hivi...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mama wa watoto 8 atorokwa na mumewe, aomba msaada

    Waziri Dkt. Gwajima D kuna hii familia ya kuitazama inahitaji msaada wa kiuchumi na kijamii. Mama wa watoto nane, Belita Deus, ambaye mumewe katoroka. Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Wilaya ya Malinyi, Mkaguzi wa Polisi Michael Rasha, ameguswa na hali ya mama wa watoto nane, Belita Deus...
  13. buyoya419

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kujaza hapo

    .
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msichana mjasiriamali na mhitimu wa Uhasibu. Natafuta kazi naomba mnisaidie

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa miaka 23 nimemaliza chuo kikuu mwaka huu kwa masomo 2024 ya Uhasibu na Biashara (Bachelor in Accounting ). Tangu nikiwa chuo nimekuwa nikifanya ujasiriamali wa kuuza vipodozi na nguo za kike hadi hivi juzi juzi nilipohitimu. Nipo hapa hapa Dar es Salaam...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mahitaji msaada wenu wana JF nimekwama, tafadhari nisaidieni.

    Habari za muda huu wana JF. Kama kichwa kinavyojieleza, nahitaji msaada wenu wa kitaalamu. Nina boma langu ambalo nahitaji kulipaua baada ya kukaa muda mrefu bila paa. Nimejaribu kuhesabu na mafundi kadhaa ili wafike pale site na kunipa za bati mahitaji. Hata hivyo, kila mara wanaponitumia...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa kimataifa kilichoibwa na kuhodhiwa godauni la hamas baada ya walinzi kulikimbia jeshi la Israel

    wapalestina wanalia njaa, chakula chote cha misaada kinaenda kwenye magodauni ya Hamas kwajili yao na familia zao, wapalestina wa kawaida huuziwa kwa bei ya juu mno. Palestina kuna njaa inayosababishwa na Hamas kujichukulia kimabavu misaada halafu wanaanza kuidanganya dunia kwamba ni Israel...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa umoja wa mataifa baada ya walinzi wa magodauni ya hamas kulikimbia jeshi la Israel

    moved
  18. Christian msangi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji Winchi kubwa kuanzia tani 25+

    Habari zenu wadau, Nipo mwanza nilkuwa nauhitaji wa winchi kubwa kwanzia TAN 25+ Please mwenye kujua anijuze naipata wapi 0614853457 pls
  19. T

    JamiiForums Tanzania Msaada: Je, ni sahihi Jamhuri kukata rufaa baada ya miaka miwili ya hukumu kupita?

    Wakuu naomba kueleweshwa, nilishtakuwa Kwa kesi ya jinai na Jamhuri miaka miwili imepita sasa toka hukumu ilipotolewa na mahakama iliniachia huru baada ya kujiridhisha na ushahidi. Imepita sasa miaka miwili, Jamhuri wamekata rufaa. Naomba mnieleweshe imekaaje hii ya rufaa imepita miaka miwili
  20. otimbiotimbi

    JamiiForums Tanzania Viupele hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno, ni ugonjwa gani?

    Yani hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno ,vinapoanza panaanza kuwasha kwanza halafu vikishatokezea kama vipele ila vinakuwa kama mtu kaungua na moto hv yaani ukiminya vinakuwa na maji yani vinauma kweli kweli. Vinaweza kukaa kama miezi mwili ama mitatu vinarudi tena...
Back
Top Bottom