msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Habari wa ndugu .... Iko hivi ... Nilipata ruhusa ya kwenda chuo nje ya nchi ila mkurugenzi wangu aligoma kunisainia barua. Nikaondoka bila ruhusa yake. Nikiwa huko masomoni nikapigwa SP ""Stop Pay"" sababu ni kuondoka kwenye kituo cha kazi bila ruhusa. Nikapambana kwa kumbembeleza mwajiri...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nimekariri watemi kina Nyatsimba Mutota nikiwa sekondari sijaona msaada wake, ama kweli nilipoteza muda

    Nakumbuka nilikariri hadi matarehe ya vita zao lakini hadi sasa najuta nilipoteza sana muda. Muda huo heri ningejifunzaga hata kupalilia matuta ya kunipa chakula Muda huo heri ningejifunzaga hata kupika nizijue survival skills Muda huo heri ningejifunzaga kunyoa nijifunze mbinu za kujiingizi kipato
  3. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya AIRTM

    Husika na kichwa cha habari hapo juu hivi kutoa hela zilizoko kwenye acc ya airtm ni lazima majina uliyosajilia line zifanane na zilizoko kwenye acc ya airtm.. Mfano kwenye lain ya simu jina linasoma musa jumbe na majina kwenye acc ya airtm yanasoma abdala hamza.? Ni lazima zifanane.?
  4. JamiiForums Tanzania Kama unaona mtoto wako uwezo wake ni mkubwa haijalishi uwezo wako, omba msaada au tumia pesa yako, hapa Tanzania ni sehemu kuua ndoto za watoto

    Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa. Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma. Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kusikiliza Maria spaces

    Kwa upande wangu limekuwa tatizo la kudumu. nikijoin inakatakata huwezi kupata flow kabisa ya kinachoongelewa. Nifanyeje niweze kusikiliza bila kukatakata.
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watoto chini ya miaka mitano na Wajawazito wamekuwa wakitozwa pesa katika Kituo cha Afya Mundindi

    Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto zinazowakabili wananchi wanapopata huduma za afya katika Kituo cha Afya Mundindi. Kuna madai kwamba watoto walio chini ya umri wa miaka mitano na wanawake wajawazito wamekuwa wakitozwa fedha za matibabu, licha ya utaratibu wa Serikali kutoa huduma...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuliko kupewa msaada kama huu bora wachimba dhahabu wa Katoro wawe wanaichangia serikali.

    Kama watu wanafanya harusi ya zaidi ya bil 3 alafu wanaacha serikali yao inapewa msaada wa bil 2.6 kwa manyayasho. Hapo hakuna busara
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuliko kupewa msaada kama huu bora wachimba dhahabu wa Katoro wawe wanaichangia serikali.

    Kama watu wanafanya harusi ya zaidi ya bil 3 alafu wanaacha serikali yao inapewa msaada wa bil 2.6 kwa manyayasho. Hapo hakuna busara
  9. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwenye ess kuomba mkopo

    Nikifika hatua ya mwisho napata ujumbe huu, na nimefanya kila kitu kujaribujaribu bado ujumbe ni ule ule Nimewasiliana na benk wanaelekeza na nafanya marekebisho wapi. Nionacho wataalaam wa IT wanisaidie hili jambo
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa, ilikuwaje Kiarabu kikaathiri lugha ya Kiswahili

    Wataalam wa lugha na historia ya Afrika Mashariki naomba kueleweshwa, ilikuwaje Kiarabu kikaathiri lugha ya Kiswahili kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na lugha za jamii nyingine ambazo tulichangamana nazo toka enzi hizo eg jamii za wahindi? Na ilikuwaje tukachukua misamiati ya Kiarabu...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada kuondoa ujumbe huu kwenye mtandao nikiingia kwa kompyuta yangu

    Jamani Nikiingia aidha kwenye mtandao hasa email, app, system yoyote inahitaji password yangu napata ujumbe huu Your token has expired Awali nilifanya yafuatayo kuondoa 1. Nikiingia kwenye dot tatu kulia mwa address ya web nikaenda setting ku delete catches, cookies nk 2. Nili reflesh site...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wenu tafadhali kama una stress don't comment. Nahitaji ushauri

    Habarini wakubwa ninawasalimia. Mimi Nina mke na watoto 03. Huyu kwa kwanza ni mkubwa ana miaka 23 ameumuka kama kama mamaake anaumbile kubwa na amefanana na mamaake, ni mnene na anakila kitu alichomacho mamamaake. Umetomea ugonvi baina yangu na mamaake. Kwa kimaumbile mamamaake ana maungo...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada, anataka kwenda chuo Diploma Zenji, bahati mbaya alipoteza vyeti vyake

    Kuna huyo mshikaji, amemaliza form four 2013, sasa alikua anataka kwenda chuo sasa diploma hapa zenji, Kwa bahati mbaya alipoteza vyeti vyake, na mwaka huu anataka anze mwaka wa kwanza diploma in clinical medicine. Kuna watu wanadai atumie index no yake ya form four, ambayo anayo, Kuna wengine...
  14. JamiiForums Tanzania Je Dudu baya amewahi toa msaada Gani/ kumchangia mtu

    Daaah naona mwamba hayuko sawa baada ya kwenda kutibiwa India anamchukia Kila mtu .....Kwa sababu hakuchangiwa ......na saizi anaona Kila mtu aliye mbele yake ni adui 😂😂😂 Je yeye amewahi toa msaada Gani Nb Dudu baya, yu bela wochi yua back😂😂
  15. JamiiForums Tanzania Naomba msaada nipo serious

    Wadau wa jf naare?? Sasa mimi napenda sana pangani , ila nasikia pangani uwizard umezidi sana,.. Lengo langu la hii post nilikuwa naombeni jamani mtu serious sana tukiacha watani wa humu,,nilikuwa namtafuta mtu mwenyeweji wa kule anipe ushirikiano mzuri wa kuifahamu pangani na sehemu zake...
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada wenu katika hili

    Nimekuwa nikifanya utafiti wa kina na maandalizi ya bidhaa moja ya kibunifu (innovative product) kwenye sekta ya vinywaji hapa nchini. Bidhaa hii inaleta suluhisho la kipekee sokoni na tayari nimeshaanza hatua za msingi za kisheria na usajili na mamlaka husika (TBS/TRA) ili kuhakikisha kila kitu...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya AVN number

    Naitwa Mr Avn number solutions kwa Tatizo lolote La Avn number unalokutana nalo kama vile kusahau password wakati WA maombi karibu the Mt online stationary Tukuhudumie 0622569980 ✅ Tunafanya maombi ya Avn number ✅ Application za Vyuo ✅ Application za leseni kwa Kozi ya Clinical medicine ✅...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tumelipia viwanja Vikonje 'BM' – Dodoma, kampuni iliyotuuzia imeingia mitini, tunaomba msaada Serikalini hatusaidiwi

    Kero yangu ni kuna kampuni inauza viwanja inaitwa Landmatrix Ltd walikuja ofisini kwetu na kutueleza kuwa wanauza viwanja vilivyopimwa maeneo mbalimbali mnamo mwaka 2024 kwa wakati huo walikuwa na mradi eneo la Vikonje 'BM', Dodoma. Malipo yalikuwa ni kwa awamu ndani ya miezi 24 na makubaliano...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mtu akitoa msaada lazima apige picha na mpokeaji?

    Au mtaji ni wasiojiwezaa
  20. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kufika bungeni

    Habari wana JamiiForums. Nina ombi la dhati. Mimi ni kijana wa miaka 21 kutoka Tanzania, na moja ya ndoto zangu kubwa ni kupata nafasi ya kutembelea Bunge la Tanzania na kushuhudia kikao cha bunge nikiwa kwenye jukwaa la wageni. Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya bunge kwa muda mrefu, na nina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…