SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,235
- 9,963
Nilikuwa naumwa sana tu sasa nikaona humu watu ni wengi nitapata msaada aise niliweka post kadhaa wakaja watu , ila sasa mmh ni ajabu hivi humu jf tunaishi na majini au matahira maana unakuta anakupa namba ya mtaalamu kumbe muda wote ulikuwa unaongea na chizi unafika kwa mtaalamu wake naye kituko.
Isitoshe sasa anachokufanyia anaongeza shida sijui anakutibu au anaongeza ugonjwa , ngoja uende kwenye maombi sasa eh unaletewa watu kama madaktari wa muhimbili, eti wanakuombea halafu unambiwa utoe nguo zote unatoa nguo zote halafu unaambiwa panda kwenye chumba cha giza unavaa nguo nyeupe ndefu wako watu wa 4 na watano ni mchungaji eti anakupima shida yako nini yaani kuanzia miguu mpaka kichwani eti akikugusa mahali popote usimzue weh nilikimbia .
Jingine kazi sasa hapa ndio balaa hivi kweli hawa watu humu mwenye jf tunaomba iwekwe kipimo cha kupimwa akili humu maana hawa watu asilimia kubwa wamesha maliza mwendo haiwezekani mtu anakuja pm nakuomba viambatanisho vyakazi na picha zako halafu hakuiti kazini anakutongoza tu .
Halafu ananza kujinadi nakusema anahela nyingi nakuonyesha miamala mpaka ya wanaume wenzake aliowasaidia yeye hakusaidi maana alikuita gesti hujaja . Huo ni ufala nani yupo tayari kulala na machizi na wanaonekana .
Baadae bhana kumbe anafugwa kama mbwa ndani hela sio zake.
Niza mkewe na ndio amempa achunge mali zake aloo nusu achike kwa kusikiwa kazi yake ni watoto wawatu anawatongoza .
Angekula mavi .
SAsa nikapata kazi ya part.time aloo tulikula kwa mama ntilie wote hapa arusha ila hiyo kazi sijaielewaga ilikuwa inahusikaga nanini .
Nilijaribu kujua nikaona ngoja nikae home tu nirudi kuwa dalali wa elfu kumi