Kwanza tunawashukuru JamiiForums kwa kutupazia sauti, na baada ya hilo HESLB ikaongeza siku 4 za maombi. 🙏🏽
Lakini hadi leo 16 Septemba, OLAMS bado haijakaa sawa. Button ya kuingia kwenye application haipo, hivyo uki-login huwezi kuendelea na maombi.
Hatuombi nyongeza nyingine ya muda. Tunaomba tu mfumo urejeshwe ili hizi siku 4 tulizopewa zitumike. Sisi tuliokwama kutokana na mfumo bado tuna hofu kubwa kuhusu hatma ya mikopo yetu. 😔🙏🏽