Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 881
- 774
Mchungaji wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Mtaa wa Kinyerezi, Mchungaji Maotola Lumbe, amemshukuru Waziri Mkuu na Serikali kwa msaada walioutoa baada ya wanakwaya wa kanisa hilo kupata ajali eneo la Bahi, ikiwemo kuwezesha waliokuwa wakihitaji matibabu zaidi kusafirishwa hadi Dar es Salaam.
“Yapo mambo ambayo fedha inaweza kuyapima, lakini yapo ambayo thamani yake haiwezi kupimwa kwa fedha. Kwetu sisi, ule haukuwa msaada wa kifedha pekee; ulikuwa ujumbe wa faraja, upendo na mshikamano katika kipindi kigumu tulichokipitia,” amesema Mchungaji Lumbe.
-----------------------
Aliyasema hayo jana, Jumamosi Septemba 19, 2026
Wakati wa Ibada ya Kufunga Makambi ya Kanisa la Waadventista wa Sabato yaliyofanyika kwa siku saba katika kanisa hilo, Kinyerezi, jijini Dar es
Salaam.