Wakuu msaada jamaa kayatimba

Wakuu msaada jamaa kayatimba

DEO mtiifu

Member
Joined
Apr 3, 2026
Posts
96
Reaction score
223
Facebook account yake imehackiwa, analog in kama kawaida, ila mesenja kuna huyo mpuuzi anawatumia watu sms vibaya mnooo yaani kila siku sms sizisopungua 20 kuhusiana na masuala ya betting, tukiangalia kwenye setting "where you log in" inaonesha jamaa yupo vietnam,.

Jamaa yangu anatumia 0ppo83,akijaribu kulog out au kurecover au kubadili password inamkatalia eti haimtambui, tufanyeje mtu anakwenda kudhalilika huko Maana lijamaa limetoa hadi profile picture iliyokuwepo.
 
Mfanyw kureport huko huko Facebook pia aende sehemu ya support akatoe malalamiko..

Ila kama ana Account yake anaweza kuaccess aweke verification by code kabla hajalog in lazima atumiwe code kwenye simu aiweke ndo aingia baada ya password
 
anajaribu kurequest verification code, ili atumiwe kwa message inahesabu sekunde halafu hailet code
 
Back
Top Bottom