Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005
kiwanja kilikua kimepimwa Kwa maelezo yake wakati ananunua muuzaji alitoa mawe ya namba za kiwanja kimya kimya ndio zkamuuzia mwaka 2018 jamaa akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka kaleta askari kwamba jamaa kajenga kwenye ardhi yake na akaonyesha hati ya hicho kiwanja jamaa alichanganyikiwa sababu shahidi wake kwenye maudhiano Sasa ni marehemu hapa vipi wazee jamaa ndio kashatapeliwa au ataweza kupata haki yake na je aanzie wapi maana naona kama amechanganyikiwa