msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wale wenye familia.

    Ni hivi , Baba Mkubwa wangu alikuwa na mke na akapata naye watoto ,mwishowe akamfukuza huyo mwanamke . Lakini kutokana yule mwanamke alipendwa sana na Bibi yangu ( Mama yake Baba mkubwa ) alimsaidia sehemu ya kuishi akawa jirani tu .Baadae yule mwana mama alizaa watoto wengine 3 na watu...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya mizigo ya magari makubwa kanda ya ziwa msaada tafadhali

    Mwenye connection ya mizigo ya magari makubwa kanda ya ziwa msaada tafadhali
  3. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi naweza pata auto adrenaline injection pen

    Wakuu habari moja kwa moja kwenye mada. Nasumbuliwa sana anaphylaxis shock nkiumwa na wadudu kama nyuki na majigu na shughuli zangu mara nyingi nazifanya maporini kukutana na wadudu tajwa ni pie. Katika kufuatilia tatizo langu nlishauriwa ntafute injection pen ntembee nayo hivyo kwa yeyote...
  4. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kubadilisha jina

    Wakuu habari nipo kwenye harakati za kubadilisha jina wa Sababu binafsi. Nilienda kwa advocate akasema anaandaa deed pool kwa 50k then after nipeleke wizarani nitalipia 32500/= Sasa Kuna mtu amenishauri niende mahakamani niwe nimejaza Ile deed pool gharama haitazidi 15k Naombeni ushauri...
  5. Olsea

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya ku activate locking/unlocking bee sound.

    Habari wakuu,nina gari aina ya Toyota Belta X niki lock kwa kutumia remote yake ina flash taa za indicator mara 1 na nikitoa lock ina flash taa za indicator mara 2 kimya kimya bila kutoa sauti ya ku beep ya aina yoyote,naomba kujuzwa namna ya ku activate iwe ina beep nikiweka lock au kutoa...
  6. Full charge

    JamiiForums Tanzania MSAADA: JUU YA WATER PROOF POWDER/CEMENT/MATERIALS KWA AJILI YA UJENZI

    Habari zenu wajenzi wa taifa hili,natumai mko vizuri kabisa. Back to the point, naombeni msaada juu ya hizo cement au powder za waterproof nahitaji kufahamu uwezo/ubora/na uimara wake pia nijue na kampuni nzuri inayotengeneza bidhaa hizo. Je ni kweli zinazuia maji kupenya kwenye ukuta kama...
  7. Fazzah5x

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine? Inachukua muda gani?

    Habari za humu wakuu, niko na swali hapa; Je, hivi inawezekana mtu kujifunza mwenyewe kunyoa nywele kwa kutumia mashine na je, yaweza kuchukua kama mda gani kwa mtu kujua hata za saizi moja?
  8. Thelonious

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta progression tests za Cambridge stage 6 2024

    Kwa mwenye nazo msaada please!!
  9. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Tumehifadhi namba za simu za watu waliofanikiwa tukidhani ni msaada kwetu

    MHADHARA (100)✍️ Sisi masikini tunahifadhi namba za simu za watu ambao wamefanikiwa kimaisha na wengine wameinuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali za uongozi. Tunafanya hivyo tukidhani kwamba siku tukipatwa na shida yoyote watatusaidia. Wakati mwingine tunawapost mara kwa mara kwenye akaunti zetu...
  10. captain 21

    JamiiForums Tanzania Msaada: maswali ya usaili (Written interview - economist)

    Wakuu mambo vipi? Naombeni msaada mwenye maswali ya usaili (written interview) kwenye upande wa uchumi (economist) naomba anisaidie.
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo

    Wakuu jamii forum kisima Cha maarifa nataka nianze ujenzi nisaidieni ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo ndani nitashukuru sana wakuu na ikipendeza kama mafundi mpo mpate na kazi kupitia huu Uzi
  12. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, atoa msaada wa kumpyuta zenye thamani ya milioni 9 Shule ya Sekondari Ihanamilo

    Mbunge Kanyasu Akabidhi Kompyuta zenye thamani ya Tsh Mil 9. Geita - Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Constantine Kanyasu, ametekeleza ahadi yake kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Ihanamilo kwa kukabidhi kompyuta tano zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa. Akizungumza wakati wa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) watoa msaada kwa Kituo cha Wazee Wasiojiweza Njoro

    Mtandao wa Polisi Wanawake (TPF-net) mkoani Kilimanjaro leo Machi 6, 2025 wametoa msaada wa vitu mbalimbali katika kituo cha wazee wasiojiweza Njoro, kilichopo kata ya Mji mpya mkoani hapa. Vitu vilivyotolewa ni mchele kilo 100, unga wa ugali kilo 50, unga wa ngano kilo 50, mafuta ya kula...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria Sumbawanga kesi 125 zilibainika na kushughulikiwa

    Jumla ya Kata 10, Mitaa 15, Vijiji15, kesi 125 zilibainika na kushughulikiwa huku wananchi 25,780 walifikiwa ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga katika zoezi la msaada wa kisheria ambalo kilele chake ni leo Machi 6 Katika Mkoa wa Rukwa. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa...
  15. Ibanda1

    JamiiForums Tanzania Msaada tatizo la taa ya check engine kwenye premio 1NZ

    Habari wakuu Gari yangu imepata changamoto inawasha taa ya check engine, nikamtafuta fundi kwa ajili ya diagnosis, tukapata code p1656 (vvti sensor toyota) fundi akasema ni tatizo la vvti sensor tumbedilisha lakini bado taa inawaka. Kwa mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama hili naomba msaada...
  16. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Wataalam, Msaada Tafadhali

    Wakuu, naomba Msaada wa namna ya ku unlock hii pocket router ya Alcatel pichani Nikiweka line tofauti na voda inaandika hivi👇🏽👇🏽
  17. nipo online

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa uzi wa Mpwayungu ''Sitosahu Safari yangu ya Lindi''

    Wakuu ama mods naomba ule uzi wa Mpwayungu Village nina shida nao sana labda kama kuna link yake , asanteni
  18. mangiTz

    JamiiForums Tanzania Msaada ufafanuzi page ya Tanzania government communicator

    Habari wakuu Kama title inavyojieleza naomba kufahamu hivi page ipo chini ya taasisi ya serikali au ipo chini ya mtu binafsi. Ni kwasababu mara nyingi nimeona caption zake zinaanza na neno " nime... " Nimefanya hivi n.k Lakini kuna vingine pia ni kama havihusiani na page au viko kibinafsi...
  19. Nguvuyabwana

    JamiiForums Tanzania Msaada spea ya Toyota Alteza

    Wakuu kwema!?. Msaada tutani, nina gari aina ya Toyota Alteza ina engine ya 3s Yamaha imeua throttle(inajires na kuwasha chek engine muda wote). Wapi naweza pata spea!
  20. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ku unlock router hii hapa chini

    Nimeambatanisha d details zote pichani.
Back
Top Bottom