msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Msaada wa matumizi ya dawa hizi

    Hizi dawa zinafaa kula ukiwa unaumwa na kichwa?madoctor karibuni
  2. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Azampesa vs Selcom Pesa. Msaada tafadhali.

    Salamu wadau, kwema? Nilikuwa nataka kujua hizo huduma hapo juu, Kwa anayetumia. Yupi yup ahead zaidi ya mwenzie? Wapi Kuna makato nafuu? Nasoma komenti
  3. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Msaada Kwenye Whats App

    Habari wakubwa WhatsApp ya ndugu yangu imekuw Blocked msaada tafadhali kama inavyoonesha hapa chini
  4. Poluyakhtov

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tatizo la sonona

    Habari za asubuhi wana JF, Kama kichwa cha thread kinavyojieleza, kuna ndugu yangu wa kiume mwenye umri wa miaka 30. Yeye ni mhitimu wa chuo kikuu miaka 5 iliyopita, alisomea Bachelor of Human Resources Management. Alipohitimu tu;akabahatika kufanya kazi ya muda kwenye ofisi moja ya shirika la...
  5. S

    JamiiForums Tanzania King'amuzi cha Azam tv

    Habar za jioni,nimepata changamoto king'amuzi kinaniambia "hakuna kituo" Msaada kwa anaejua tafadhali
  6. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Msaada nina maswali haya juu ya DRC na jeshi lake

    1. Kwanini kuna vikundi viiingi vidogovidogo vya majeshi ndani ya DRC? FARDC, FDLR, ADC, Wazalendo... 2. Wale maaskari wana mafunzo ya kijeshi au ni raia wa kawaida tu wanapewa magwanda ya kijeshi wavae? 3. Wanawapataje maaskari viongozi kama majenerali, kanali (wao wanaita Koloneli)?-je wana...
  7. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu demu wangu kaondoka na nguo zangu za ndani tu?

    Habari Nimetoka chuo mda huu nimefika geto, nina kawaida ya kwenda kuoga kwanza. Nimetoka kuoga naona Nguo zangu za ndani zote hazipo nampigia demu simu kaniblock nipo confusion msaada
  8. Mamtolo

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kujiunga na Bolt Driver Location Dodoma

    Nipo dodoma, nina kigari ambacho nataka nikipigie mishe za Bolt ili kujipatia vijisenti vya hapa na pale maana hali ni ngumu kiukweli. Kama kuna mtu anaweza kunifanyia mchakato nikapata akaunti ya Bolt driver,tuwasiliane. Gari nlonayo ni private(namba ya njano) sio ya biashara (namba nyeupe)
  9. T

    JamiiForums Tanzania Tunaomba msaada jamani tumekwama na basi Dodoma tangu Saa 8 Usiku

    Habari Sisi abiria wa Bus la Turu Best namba T 110 DAA kutokea Mbeya tumekwama hapa nadhani ni maeneo ya Fufu karibu na Chamwino tangu Saaa 8:52 usiku, wenyeji wa hapa wametaja kuwa eneo hilo linaitwa hilo jina nililolitaja hapo ni Dodoma mwanzoni ukiwa unatokea Iringa. Hamna dereva wala konda...
  10. captain 21

    JamiiForums Tanzania Msaada: Usaili kwa njia ya mtandao

    Mambo vipi wakuu? Wakuu naomba msaada kwa yeyote mwenye uzoefu, kuna ajira zilitangazwa na Sekretarieti ya Ajira na usaili wake yaani written interview ni tar.19 mwezi huu. Sasa huu usahili ni kwa njia ya mtandao, huu usahili kwa njia ya mtandao ndio inakuaje? mnapewa tablets then mnaingia...
  11. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata mbezi mwisho kama mitano tu

    Naombeni msaada Kwa mtu anaejua mitaa ya kata ya mbezi mwisho kama mitano tu anisaidie
  12. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi wanauza Mic za Blue Yeti au SnawBall ice kwa DSM

    Naomba mnisaidie ni wapi naweza kupata Microphone hizo Blue Yeti au SnawBall ice kwa DSM. Mimi binafsi nimezunguka Kariakoo na baadhi ya maduka sehemu nyengine kama Makumbusho lakini sikufanikiwa kuzipata hizo microphone. Wauzaji wengi wanasema hawana hizo microphone. Mwenye kujua naomba...
  13. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu TIN

    Habari Wadau wa JF! Kama nilivyotangulia kuandika hapo juu, naomba kujua kama kuna namna naweza kupata namba yangu ya mlipa kodi. Ni muda mrefu sikuitumia maana sikuwa na matumizi nayo, nilitafuta kwa ajili ya kupata leseni ya udereva. Kwa ujumla namba yangu siikumbuki, naomba kujua kama...
  14. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania HELLO NAOMBA MSAADA

    Nipo na kikundi ninachokisimamia mimi binafsi na maelezo kamili kuhusu huduma zetu 🏡 LUNO GROUP – UBORA WA UJENZI UNAOWEZA KUAMINI! 🏡 Mshirika Wako Anayeaminika Katika Kujenga Ndoto Zako Dodoma 🌟 Unatafuta huduma bora za ujenzi kwa bei nafuu? Katika LUNO GROUP, tunatoa huduma kamili zenye...
  15. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Msaada maelezo ya kutambua Chanjo ya kuku ya TATU MOJA kama imepoteza ubora.

    Tafadhali naomba msaada wa maelezo ya kutambua endapo chanjo niliyo nunua bado ina ubora au imepoteza ubora kwa kuharibika au kuchakachuliwa. Kwa mujibu wa maelezo ya wagunduzi chuo Cha SUA chanjo hiyo imewekwa rangi maalumu kama indicator ya kuonesha ubora au usalama wa chanjo. Wanasema...
  16. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina tatizo kubwa la afya ya akili linaninyemelea. Wataalamu wa mambo ya saikolojia naombeni msaada mda sio mrefu nitadata

    Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Japani kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto.

    Tanzania na Japan kupitia Shirika lake la Maendeleo (JICA), zimetiliana saini mkataba wa msaada wa Yen za Japan bilioni 1.527 sawa na shilingi bilioni 27.3 kwa ajili ya kuboresha sekta ya afya nchini. Mkataba huo umesainiwa katika Ofisi za Hazina Ndogo jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu Wizara...
  18. k-bee

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani vifurushi vya post paid (SME)

    Kwema wanajamvi?? Nimeunga kifurushi cha Voda SME POST PAID cha Tsh 15,000/= kwa mwezi huu ni mwezi wa 3 natumia....!! Shida nikitaka kulipa baada ya matumizi hela haiendi kwa akaunt yangu inakuwa UNSUCCESSFULL numelipa mara moja siku ya kuiactivate...!! Msaada hapo nifanyaje mana siku unaweza...
  19. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa Condom za msaada - Corner Bar Afrika Sana

    1. Kumekua na uhaba wa Kondom za Msaada (toka kwa wafadhili) hapa mashine ya kutolea Kondom (Condom Vending machine) Kona baa Sinza. 2. Inabid watu wapige mbichi ku-kutembelea rim. 3. Tafadhali Mheshimiwa Dr Waziri tukumbuke wapiga Kura wenu.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Interview za TRA zinakaribia soon naomba msaada jamani nondo za tax management officer

    Msaada wadau maaana sielewi ni guse wapi navurugwa tu hapa mwenye idea jamani naomba masaada maeneo ya kugusa ili nisipishane na keki ya TAIFA hii TRA huko
Back
Top Bottom