jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 3,907
- 15,010
Nimepata dharura nataka niende uganda kwa haraka tatizo sina kadi ya manjano.
Kesho ijumaa nataka niende mnazi mmoja nikachome ila safari ni ghafla sana natakiwa niondoke jumatatu ila tatizo nasikia tetesi kwamba ninatakiwa kukaa siku kumi baada ya chanjo ndio nisafiri jee inawezekana kuondoka hiyo j3 au nitaenda kuzuiliwa.
Naomba mwenye kujua anisaidie.
Natanguliza shukran.