msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hili tatizo limenisababisha nisivune mapapai huu ni mwaka wa 2 sasa

    Habari zenu wakuu. Naomba niende kwenye mada. Mim ni mkulima natokea Mpanda Katavi. Nimelima mwaka juzi zao la papai na kila mwaka wa mavuno hutokea hili tatizo la kuweka vidoti. Wakati papai linaanza kukua kisha hua kama kibarango ikifikia papai kua kubwa na huanza kuoza kabla halijakomaa...
  2. JamiiForums Tanzania Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada Nimepewa barua ya uhamisho lakini hawataki kunifungia Datasheet

    Wakuu nimepewa barua ya uhamisho na nikaambiwa niandike barua ya kuomba kufungiwa data sheet, nimefanya hivyo lakini hawataki kunifungia Datasheet niweze kuondoka, ni siku 7 sasa tangu niandike barua ya datasheet , Kwa wazoefu waliowahi kukumbana na hili mlichukua uamuzi Gani ???, nipo...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada FIFA 23

    Habari FIFA 23 la PC pad controller zimenigomea msaada jinsi ya kuactivate
  5. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka please

    Bata wanakosa nguvu na kukaa wanashindwa kula na within a short time wanakufa. tatizo ni nini na amtibabu yake ni dawa gani?
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Msaada wa TSH 1.2 trillion kutoka umoja wa Ulaya kwa Tanzania kujadiliwa Mei 07

    Kumbe pamoja na chawa kujigamba kuwa hatutegemei mabeberu, Umoja wa ulaya unatoa msaada Kwa Tanzania almost 1.2 trillion. Tetesi zilizopo ni kuwa kwenye resolutions siku ya may 08, Kuna asilimia kubwa msaada huo ukasitishwa. EU inatoa magari Kwa ajiri ya miradi,lakini gari izo zinatumika...
  7. JamiiForums Tanzania Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

    Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
  8. JamiiForums Tanzania Msaada; Naomba kufahamu Kama Kuna vifurushi maalumu vya laini ya halotel ya chuo

    Naomba maelezo Kama Kuna vifurushi maalumu vya laini ya halotel ya chuo na jinsi vinavyopatikana
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories

    Poleni na majukumu wakuu. Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu. Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua...
  10. JamiiForums Tanzania Ibraah aomba msaada wa Bilioni 1 kwa Watanzania ili kulipa Harmonize na kujiondoa Konde Gang

    Kupitia Ukurasa wa Instagram msanii wa Bongofleva ambaye mwaka 2020 alitambulishwa rasmi kuwa Msanii wa Label ya Muziki ya Konde Gang, Ibraah ameandika ujumbe wa kuomba msaada kwa watanzania kiasi cha B 01 ili aachane na Kondegang "Sio mbaya kukubali kuwa mimi ni kijana niliyetokea kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Nimechat na mrembo ili kufahamiana zaidi si nikamuuliza 'What your love Language? Mtoto si kanijibu 'Both

    Nimepata msichana mrembo na anaonekana ni msomi tu maana kanambia kamaliza chuo mwaka jana, Sasa katika kuchat ili kufahamiana zaidi si nikamuuliza 'What your love Language? Mtoto si kanijibu 'Both' nikamuuliza both nini, kanijibu kiswahili na kingereza,😁😁 Hapa nimeishiwa pozi nimebadili mada...
  12. JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kuwaomba Msaada Marekani na Uingereza kuja kutulinda Raia wa Tanzania tunaodai haki zetu?

    Mwaka 1964 wakati wa maasi ya Jeshi la Tanzania ( King's Ruffles Army) aliyekuwa Rais wa Tanzania aliomba msaada kwa Jeshi la Uingereza kuja kumuokoa ambapo Jeshi la Uingereza lilituma vikosi vyake vikaingia Dar es Salaam na kumlinda Nyerere na Wananchi. Miaka zaidi ya 60 tangu kutokea kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa kujua shule nzuri za Sekondari za mchanganyiko ya kutwa au Bweni

    Wakuu habari zenu. Tafadhali naomba kujua shule ambayo ni nzuri naweza kumpeleka kijana wangu anayemaliza std 7 mwaka huu kwa ajili ya kujiunga kidato cha kwanza. Shule natamani kujua zile zenye mchanganyiko yaan wavulana kwa wasichana ambayo ni either Ya Kutwa au ya Bweni hasa hasa zilizopo...
  14. JamiiForums Tanzania Mzungu akikupa msaada jua kuna kitu utampatia tu

    Je? Hicho kitu ni kitu gani mpaka sisi waafrika hatukioni. Kwa waafrika wenzetu.
  15. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Maombi ya vyuo, mikopo,ajira na kadhalika

    Piga au tuma meseji kwa 0623446608 update msaada kama umesahau password na kadhalika
  16. JamiiForums Tanzania Wapwa Msaada huu ni Ugonjwa unasababishwa na nini?

    Wapwa Msaada huu ni Ugonjwa unasababishwa na nini?
  17. JamiiForums Tanzania Msaada, chaneli inayoonesha "Top 20" ya muziki Startimes

    Kwanza napenda niwapongeze 'Startimes' kwa kuiondosha kabisa chaneli namba 322 kwenye king'amuzi chao ambayo ilifahamika kwa St SA Music na kubadilishwa kusomeka St Kasi Music. Chaneli hii ilikuwa burudani tosha kwa wale wapenda muziki hasa wa Afrika Kusini na siku ya jumamosi walikuwa na...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Elimu ya chuo imekaa kipigaji sana, masomo mengi unayosoma hayana msaada kazini.

    Nikiangalia Transcript yangu iliyojaa lundo la masomo niliyosoma nikilinganisha na kazi nayofanya, naona masomo mengi yalikuwa hayana umuhimu wowote ule. Ni masomo machache sana utayoyatumia practically kazini. masomo mengi ilibidi yawe kwenye kozi nyingine ila yamerundikwa ilimradi tu, masomo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Msaada practical interview ASSISTANT ICT OFFICER II

    Ndugu naombeni msaada kwa wale wenye uzoefu wa practical za kada ya ICT. (Kwenye duties and responsibilities nyingi ni kuhusu maintanance and repair). Naomba kujua maswali yanakujaje na mda wanatoaga mda gani. Ahsante
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu tunasumbuliwa na magonjwa tangu tumefunga ndoa

    Habari wakuu mimi nimetoka kufunga ndoa sio muda mrefu ni mwezi wa 11,hivyo baada ya kufunga ndoa kuanzia mwezi wa kwanza hivi nimeanza kuumwa na maradhi ambayo siyaelewi mara damu nyingi,mara kuumwa kichwa kesho naweza kuumwa na homa au mara nyengine naumwa na maradhi ata sijui nini naumwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…