Ushauri: Diploma ya IT ni vema kwenda Degree au VETA?

ProShackys

Member
Joined
May 23, 2025
Posts
8
Reaction score
8
Wakuu, wenye uzoefu wa elimu na maisha ya chuo msaada wenu kwa ushauri mtu alipiga diploma ya IT miaka mi3,,,heri aendlee degree au aende veta kusoma mambo mengine!?
 
Apa bro wewe akili yako inafikiria nini kwa sasa maana sie pia tunafikiria majibu ya akili zetu kuweza kukupa kaka labda tuanzie kwako kwa upande wangu kama uko fit unaweza kutumia diploma yako kama unataka kuwa na skills zaidi nenda degree pia veta ni sehemu sahihi inategemeana na mawazo yako kipi unataka maana maamuzi yanatoka kwako na hii ni kwaa jili ya maisha yako mwenyewe
 
Yeah ni right bro lkn unaweza kuwa na skills na bado zisikupatie fursa za ajira au kujiajiri compared to VETA mkuu
 
Hahaha bro acha utani bhana skills za IT zinahitajika sehemu zote kama uko nondo hii ni siriazi nakuambia. Japo pia VETA ni nzuri sana pia
 
VETA ni Must kwa Kijana ambae bado hujaingia duniani kuanza pambana.

Kama upo kwenye level ya kujiongeza maarifa kabla hujaupa mgongo ELIMU malizana na VETA kabisa then KARIBU duniani.
 
Back
Top Bottom