Kufuatia sekeseke la machafuko na mgogoro wa kisiasa mara baada ya uchaguzi, nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana mchakato wa majadiliano/makubaliano ya kurejesha amani nchini Kenya.
Inasemekana Mh. Martha Karua aliingia kwenye malumbano personal na Mzee Annan na BWM mpaka ikafikia hatua ya Annan kugoma kuendelea na hizo negotiation kupitia hizo timu za wawakilishi wa PNU na ODM.
Swali ninalojiuliza, huyu mama hii jeuri na kiburi anaipata kutoka wapi?
Nitaweka habari ambayo imemtaja kwamba yeye ndiye aliyevuruga mazungumzo yaliyokuwa yanasimamiwa na Annan.
Kwa wale walio Kenya au walio na ufahamu juu ya role ya Martha Karua ndani ya PNU naomba watupe kwa undani ili tujue kama na yeye ana ndoto ya kuja kugombea urais ama ni ufurukutwa wa Kibaki. Kwa kiasi kikubwa amekuwa kikwazo cha marekebisho ya katiba kwa kutumia cheo chake cha uwaziri wa sheria na pia alivuruga hata mikutano ya minimum reforms ambayo lengo lake lilikuwa ni kufanya marekebisho madogo kwa ajili ya uchaguzi ili uwe huru na wa haki. Lakini sasa naona wamewa-fix na sijui kama watapata upenyo wa kukwepa tena kufanya hayo marekebisho.