msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Sound bars za hisence

    Naomba msaada wa kufahamu kwa anaejua sound bar za hisence zenye watts 130 na 320. Naulizia ubora wa hizo kwa ambae anatumia
  2. M

    JamiiForums Tanzania Majibu niliyopewa Wiki Mbili na Leo pia na Mtabibu wa zamu juu ya Mpwa wangu yamenichanganya naombeni Msaada wa Kuyaelewa tafadhali

    Alilazwa Wiki Mbili zilizopita All - Rounder nikaambiwa kuwa Mpwa wangu HE IS IN COMA hivyo nitulie tu Wahangaike nae waweze kuona kama wataokoa Maisha yake japo Daktari Mmoja aliniuma Sikio na kuniambia nijiandae Kisaikolojia kwa lolote lile. Leo muda mfupi tu nimetoka Kumtizama Mpwa wangu...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wataalam wa solar energy

    Ni solar panel na betri ya namna gani ambayo itaweza kuwasha taa tatu na kuchaji simu mbili kwa wakati mmoja?
  4. JamiiForums Tanzania Jamani naombeni msaada hivi ukitaka kupata namba yako ya NIDA unafanyaje?

    Jamani msaada ukitaka kupata namba yako ya nida unafanyaje kwa sasa hivi manake nimejaribu ussd code(*152*00#) imekataa sehemu ya nida siioni.
  5. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kudhibiti ndege waharibifu kilimo cha maharage

    Habari wanajamvi. Mimi ni mkulima wa maharage ila changamoto kubwa sana ninayokutana nayo ni uharibifu mkubwa unaofanywa na ndege wanaoshabulia majani ya mimea wakati ikiwa michanga. Hawa ndege ni wa rangi ya brown, wana mkia mrefu na kichwani wana kichungi. Kweli wananiharibia sana kiasi cha...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji huduma ya internet

    Wakuu salama humu? Naombeni msaada katika hili. Mahali nilipo huduma ya internet kupitia mitandao ya simu haipatikani na ikitokea inasoma E kiasi kwamba siwezi fanya cha maana kwa kutumia mtandao. Naomba kuuliza kama kuna uwezekano wa kuunganishiwa wireless internet ili niwe natumia wi-fi...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada katika kipaji changu hiki, nimekata tamaa

    Habari ya uzima wapendwa, tumshukuru Mungu kwa kutupa uhai bure, kwa siku nyingine tena imenipendeza kuwaleteeni changamoto hii ambayo naona ipo juu ya uwezo wangu. Mimi ni kijana mwenye umri 25 years old,nimekulia maeneo ya kijijini, kipaji changu cha uchoraji kiligundulika toka nipo shule ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ubao wa kuning'inizia simu na vifaa vya simu dukani unaitwaje?

    Huu ubao hutumika kuninginiza vifaa kama vifaa vya simu n.k, unaitwaje? Na naweza upataje? Unaonekana kwa nyuma.
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa kutatua tatizo la enter power save mode kwenye desktop

    Habari Wataalamu, Naomba msaada wa kutaua tatizo kwenye desktop baada ya kudisplay maneno ya Enter Power save mode kwenye desktop Asanteni
  10. V

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi nipate kipato cha kujikimu na familia yangu nina uzoefu wa kazi za ujenzi

    Kwema wana jukwaa la JF Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam tegeta nakuja mbele yenu kuomba kazi yoyoye halali ya kujipatia kipato. Maji yamenifika ukingoni baada ya kukaa muda mrefu bila kazi na na familia ya mke na mtoto mmoja na wote macho yao kwangu kama kichwa cha familia Nina uzoefu na kazi...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada mafuta ya kupikia/Alizeti Kwa jumla tokea Singida/popote

    Hello JF Members, Natumaini mnaendelea vizuri, naomba msaada kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji connections ya kupata mtu anayeweza niuzie mafuta ya jumla/alizeti au kuniunganisha pia, napatikana Dar. Nitafurahi kwa mchango wenu kwangu, najua nitapata msaada. PM ipo wazi,
  12. JamiiForums Tanzania Bloggers, msaada please

    Habari za muda huu wakuu! Mimi blogger na Kuna tatizo linanisumbua naomba msaada weny wenye ujuzi please Kuna baadhi ya post zangu zina onyesha maandishi ya kiarabu ambayo mimi sikuyaweka na hata mfumo wa post hizo umebadilika, badala ya maneno kuanzia kushoto kwenda kulia yanaanzi kulia kwenda...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka, Jinsi gani ya kutuma online SMS

    Habari zenu wakuu, ni website gani nitumie kutuma sms/mms? natumia kitochi chenye browser ya opera mini. Msaada tafadhali!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani juu ya tatizo hili linachanganya sana

    Oo
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kiinua mgongo kwa Private Sectors

    Hello, natumai wote ni wazima. Naomba msaada kwenye mkataba imeandikwa mwajiriwa atalipwa mshahara wa siku kumi kwa mwaka mzima kama kiinua mgongo baada ya kumaliza mkataba. Hii ina maana ipi? Ni siku kumi za kila mwezi au siku kumi kati ya siku 365? Mfano mtu aliye na mshahara wa laki3 kwa...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Msaada: SEAP programme by ERB

    Habari zenu jf members ! Mimi ni graduate wa B.sc in Irrigation and water Resources Engineering. Nilikua naomba msaada wa kupata maelezo ya kina kuhusu hii programme ya SEAP iliyo chini ya Engineers registration body (ERB). Nimekuwa registered as Graduate Engineer by ERB kwa huu mwaka na kuwa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa hili la kutoendelea na level nyingine ukiwa na supp

    Habari zenu mm ni mwanafunzi wa diploma medicine CMT. Kwa sasa nipo level 5 sem ya kwanza mwaka jana nilivyokuwa level 4 sem two nilipata supp ya pathology ambayo nilifanyia mtihan huu wa nacte ulioisha wa feb 2021 kama supplementary. Kwahyo nilikuwa na soma level 5 huku nkiwa na supp moja ya...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kuelekea siku ya wanawake Duniani Machi 8, 2021 UCSAF yatoa msaada katika kituo cha Watoto yatima

    KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE UCSAF YATOA MSAADA KWA YATIMA Na: Celina Mwakabwale Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2021, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote ( UCSAF) umetoa msaada wa vifaa mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Nyumba ya Matumaini...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kuset facebook (Instagram Ads)

    Msaada kuset facebook (Instagram Ads). Kama Una Uzoefu Katika kuset target facebooks ads & Instragram njoo Inbox Tuyajenge.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada sehemu ya mbele ya kichwa inauma sana

    Wakuu Sehemu ya mbele ya kichwa yaani fore head ama tuite kipanda uso panauma sana siku ya 4 sasa shida ni nini? Na wala sina Mafia Nina kikohozi tu kidogo ..napata tabu kufanya shughuli zangu maana nikiinamisha sura chinj niandike document yoyote napata maumivu sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…