msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jamani Modem yangu imekufaje MSAADA

    Nina modem ya vodacom zile za zamani sijui nimeikorofisha wapi mara baada ya kui unstall na kui install Join air, hapo ndomkosa likaanzia. zamani ilikuwa ukiichomeka kwenye computer inajiinstall yenyewe automatic lkn sasa hivi wala haifanyi hivyo tena na hata ile dashboard yake haipo kwa hiyo...
  2. S

    Msaada wa nafasi ya kibarua/kazi

    Wadau habari za asubuhi, Kama ilivyo mm ni muhanga wa kukosa ajira miongoni mwa vijana wengi hapa Tz, hivyo ninaomba kwa mwenye connection ya nafasi ya kazi anisaidie, popote pale ninafanya kazi walau inilipe kuanzia 200k kwa mwezi nitashuku na pia nitatoa dau la Tsh 80k kwa atakayenisaidia...
  3. Msaada jinsi ya ku unlock simu aina ya amazon fire

    Habari za majukumu wandugu, naombeni msaada wa program itakayoweza kunisaidia kuondoa simlock katika simu aina ya amazon au kama kuna mtu anaweza kufanya kazi hii aje PM Natanguliza shukrani.
  4. Chonde chonde ndugu zanguni naombeni msaada wenu. Nina wakati wa kuhuzunisha moyo

    Katika shemeji zenu wavumilivu huyu ni mvumilivu sana. Mpaka naogopa na kumwonea huruma sababu ni mwanamke mzuri anayejielewa ila kanipenda mimi mtu wa hovyo kabisa. Nisiyemfaa, mjinga, bwege na fala. Hili jambo limenitesa sana moyo wangu.mdada ameshawahi nifumania mara 2 akanisamehe na...
  5. N

    Naomba kupata ufahamu kuhusu utaratibu wa 'sick sheet'

    Kuna hiyo kitu kwa wafanyakazi wa serikali pale anapougua, nasikia hutolewa na halmashauri husika. Naomba kuelewa kidogo kuwa hutolewa vipi na hujazwa muda gani. Mfanyakazi aliye likizo na kuugua huko, utaratibu wake wa matumizi ya hii upo vipi? Akirudi na cheti chake cha kawaida cha hospitali...
  6. Msaada tutani: Je, website hii iliyokuwa inatoa Salary Slips nayo pia ilikuwa ni ya Serikali?

    Site yenyewe hii hapa: http://watumishiportal.utumishi.go.tz/ Ni website ambayo nilijisajili na hatimaye nikawa nina-print slalary slips zangu kuanzia March 2017 Salary slip ya kwanza niliyopata kutoka kwenye website hii ni ya March 2017 Niliendelea kupata Salary slip hizi hadi December 2018...
  7. Upepo wasomba jiko la Shule ya Sekondari Mkwasa, wadau waomba kutoa msaada

    Zaidi ya wanafunzi 500 wa Shule ya Sekondari Mkwasa wilayani Hai Mkoa wa Kilimanjaro watakosa huduma ya chakula waliyoizoea kutokana na jiko la shule hiyo kusombwa na upepo mkali ulioambatana na mvua Shule hiyo iliyopo kijiji cha Mungushi kata ya Masama Kusini ilikumbwa na kadhia hiyo Januari...
  8. N

    Msaada wa kisheria wa nyumba za kupanga kati ya mpangaji na mwenye nyumba

    Habari zenu wakuu. Nipo msaada wa wenu mwenye nyumba ananiambia nihame pasipo kunipa notice ya kujiandaa kuhama, nichukue hatua gani?
  9. Usitafute Sifa Ukweni. Wanakusanifu

    1. Uliyeoa "Mgombani" usijidai kutaka point 3 ukweni eti unasaidia shemeji sijui wakwe, utaumbuka mapema asubuhi. Jiimarishe kwenu! Mgombani hawanaga shukrani. NB: Yamemkuta rafiki yangu kaoa Palestina, kachangia ujenzi wa nyumba na Kuna kipindi Mama mkwe aliomba akopeshwe 7m eti akipata...
  10. R

    Msaada jinsi ya kuroot samsung A2 core

    Habar wadau Nisiwachoshe nina samsung a2 core ipo poa ina android 8.1 sasa kuna vitu inaniboa mfano haina dark mode wala galaxy theme ivo nakuwa sina uhuru sn pia haina LTE only feature so nataka niroot kisha ni update iwe android 10 niweEaeti dark mode na kuchagua theme itayopenda kwenye...
  11. C

    Msaada wa wordpress na Besa theme

    Habari zenu ndugu! Nimedownload besa theme nulled. Hapa nafanya mazoezi ya kutengeza ecommerce website. Kwenye desktop kila kitu nimefanikisha nnavotaka, shida ipo kwenye mobile version. Yaani nikiweka kwenye mobile view, hio site ina display header nyengine kabisa ambayo hata haifanani na...
  12. Wakuu msaada wa hili swali.

    Je kivipi utajibu swali kama hili?
  13. Wanauchumi msaada wa hili swali

    The existence of be perfect competition depend on number of strict condition prevailing on the market with firm operates.with example discuss the condition and show if it applicable be in the real situation
  14. Tanzania na China zasaini mkataba wa uendelezaji wa ujenzi wa reli ya kisasa SGR kutoka Mwanza - Isaka

    TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka Hicho ni kipande cha tano, ambapo kipande cha Kwanza ni kutoka Dar mpaka Morogoro, Cha pili ni...
  15. Msaada: Kampuni inayosafirisha mizigo kwa Meli kwenda nchi za Uarabuni

    Habari zenu wakuu, Nahitaji kusafairisha kiroba cha kilo 50 (nguo) kuepeleka OMAN. Nipo Dar, ila kama hiyo kampuni itakua na branch Zanzibar itakua vizuri zaidi. Mwenye kufahamu naomba anijuze. Natanguliza shukrani
  16. Msaada: Naomba mwenye templates nzuri ya blog anisaidie

    Wakuu habari! Naomba mwenye template nzuri ya blog anisaidie
  17. M

    Msaada redmi note 8 pro china version

    Habar wadau, Nimeipenda simu ya xiaomi redmi note 8 pro ila ni china version Bei yake 450,000 Kabla ya kufanya manunuzi napenda kufahamu China version ya xiaomi itashika band za Tanzania? Pia bei hio ni reasonable kwa simu hio Ushauri wadau.
  18. Msaada kuhusu hili suala la mbwa kuua mwizi na mmiliki wa mbwa kufunguliwa shtaka la mauaji

    Msaada tafadhali juu ya scenario hii! Kuna jamaa ana mji wake na katika mji huo ameweka ulinzi wa Mbwa hawa America Broiler pamoja na fensi, usiku kuna jamaa alienda kwa lengo la kuiba kwake alipofika eneo la tukio akaruka ukuta ili aweze kuingia ndani baada ya yeye kutua ndani akakutana na...
  19. Msaada wa namna na gharama za kusajili Blogu

    Habari Wakubwa? Kulingana na suala la ukosefu wa Ajira nchini na Duniani kwa ujumla, baada ya kuhitimu mafunzo yangu ya chuo, nahitaji kufungua blogu yangu, ambayo inakuwa kama entertainment and news media, ili niweze kujipatia chochote kitu. Naomba kujua taratibu za kisheria hususan TCRA...
  20. Msaada wa setup za Microsoft Word na PDF Reader

    Habari wana JF, Husika na kichwa cha habari kama kinavyojieleza. Naombeni msaada wa setup za Microsoft Word na PDF Reader. Natumia Window 10 Pro 32 bit. Natanguliza shukrani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…