msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: King'amuzi changu cha Azam kimegoma

    Habari za wakati wana jamii forum, king'amuzi changu cha azam ghafla kimegoma kuonesha ili hali kila kitu kiko sawa kwa maana nkifunga kingine kina fanya kazi vizuri tu je shida inaweza kua nini hapo?
  2. JamiiForums Tanzania Msaada matibabu ya Apendex

    Habari za leo wakuu, Naomba kuuliza je kuna matibabu mbadala ya apendex mbali na kufanyiwa upasuaji. Apendex yenyewe hospitalini baada yakuapigwa ultrasound imeonekana bado ndogo
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta: Matumizi ya kifaa kinachoitwa dehumidifier kwa hapa bongo ni yapi?

    Pamoja wakuu, naomba kufahamishwa matumizi ya dehumidifier kwa hapa bongo na kama kuna maduka yanaziuza na soko lake linakuwa linalenga watumiaji wa aina gani. Nawasilisha.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Atakayeguswa, nahitaji kumshauri kijana wangu

    Kwa yeyote atakayeguswa nahitaji kumshauri kijana wangu lakini sina upeo wa nini achague ni kwamba amechaguliwa vyuo viwili course ya kwanza ni Gender and Development na chuo kingine course ni Bsc in History naomba mnisaidie ipi at least in uwanja mpana wa ajira hapo baadae
  5. P

    JamiiForums Tanzania Admission third around msaada

    Ndugu wanajamvi kwenye account yangu ya Udom admission nataka kuomba third around kwenye Apply online haifunguki,je tatizo hili nikwangu tu,msaada namna ya kusolve hili tatz
  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa instagram

    Habari za asubuhi wadau....Poleni na majukumu... Nahitaji msaada wenu Account yangu ya Instagram Inaandika hivyo kama mnavyoona hapo chini.. Nifanyaje ili hili tatizo? Msaada Plz #forgive me.
  7. JamiiForums Tanzania Namba yangu ya nida haipatikani mtandaoni

    HABARINI. Namba yangu ya nida AU national identity number NIN nikijaza sehem zinazo ihitaji au kupata nakala ya kitambulisho hicho nambiwa namba hiyo haipo wakati mwanzo nilikiwa natumia hata kwa kuhakiki lain ya kwa usajili wa vidole vodacom. Kama kuna anae jua au ishauri nini nifanye...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya chuo kikuu cha ardhi

    Wakuu, mdogo wangu amechaguliwa vyuo zaidi ya kimoja, chuo cha ardhi kikiwemo, lakini toka asubuhi mpakaa saiv (saa tatu usiku) akijaribu ko-login inakataa.. alitaka ku-confirm hicho chuo cha ardhi lakini ndo ivoo. Wahusika tunaomba mtusaidie.
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa Dawa nzuri ya matonsi na kikohozi

    Habari za kazi wakuu nilikua nasumbuliwa na Matonsi na kikohozi...nilikua naomba msaada wa dawa nzuri ya kutumia
  10. JamiiForums Tanzania Nisome ipi kati ya Diploma ya Famasia na Bsc ICT

    Habari wakuu wa jf ,nimechaguliwa UDOM - Diploma in pharmacy OPEN UNIVERSITY - Bachelor of science in information and communication technology ST JOSEPH - Bachelor of science with education in bios and chem. je nikasome kozi gani hapo kwa kuzingatia kigezo cha kujiajiri
  11. JamiiForums Tanzania Ni macho yangu au nimekosea! Msaada nifaamishwe hiki ni kitu gani!

    Nipo nafanya kazi kwenye ofisi fulani hivi za serikali mkoa Kilimanjaro. Ninapokaa hapa unaweza kuona kwa uzuri kabisa maua yaliopo nje, katika kopo moja wapo kuna ua la kawaida na jani lImeota pembeni yake. Kama nilivyoweka picha hapo chini. Sasa tunabisha wengine wanasema ni weed na wengine...
  12. JamiiForums Tanzania Anaejua kiwanda cha kununua pembe za ng'ombe kiko wapi msaada tafadhali

    Nauliza hivi malighafi zitokanazo na mazao ya ng'ombe zinauzwa wapi? Na ni kiwanda gani kinanunua kama pembe,meno,ngozi na uume? Vitu hivyo huko China ni dili sana je kwa Tanzania soko liko wapi?
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Simu haina option ya kusign in kwa google account

    Habari wakuu .Simu yangu aina ya Samsung galaxy S6 edge iliibiwa na nikafanikiwa kuipata ila bahati mbaya niliikuta wameiflash tayari. Nilivopeleka kwa fundi akairudisha sawa kwa kuipiga file la Samsung alilolidownload mtandaoni. Shida imekuja kwamba tangu simu ipigwe lile file siwezi kusign in...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Wakati Gari inapigwa Starter Moto unakuwa unafika Lakini haiwaki!

    Salaam! Naomba Msaada kwenye hilo. Gari unapopiga Starter linakuwa moto unafika ila haiwaki. Muda mwingine Kesho yake au muda mrefu umepita Ukiwasha inawaka. Naombeni Kujuzwa kwa wale waliowahi kumbana na adha hii.
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kwa aliewahi kufaulu Uptitude Test ya Alistair Company Ltd

    Habari za muda huu Kama wiki imepita nilifanya Aptitude test ya Alistair Company sasa juzi wamenitumia majibu yangu kwamba nimefaulu Kuna mtu hapa alishawahi kufaulu hii test yao ? Na je baada ya kufaulu nini kilifuata ? Mana mimi wameniambia kwamba timu yao ya kuajiri ina screen Cv yangu ila...
  16. JamiiForums Tanzania Simu inanisumbua Camera

    Wakuu habar zenu mimi na shida simu yangu inanisumbua camera. Itel a32f, camera inaonesha giza nimepeleka kwa fundi akabadilisha akaweka camera zingine lakini bado inaonesha giza tu nimejaribu pia kwa fundi mwingine kabadisha kaweka zingine lakini inaonesha hivyo hivyo kuback up naye nimeback up...
  17. JamiiForums Tanzania Msaada waungwana

    Naomba msaada was msanii aloimba wimbo huu na jina LA wimbo,
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba kufahamu zilipo Ofisi ya Mipango Miji Wilaya ya Ilala

    Wana JF Nataraji mpo salama na familia zenu. Naomba kufahamu zilipo ofisi ya Mipango Miji Wilaya ya Ilala Shukrani
  19. JamiiForums Tanzania Msaada app inayoweza ku convert movie za format hii

    Hizi ni movie hazifunguki kwa VLC so nataka kuziconvert ili zifunguke kwa VLC Winx Hd na Any video converter zimeshindwa ku convert
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyoyte ndani au nje ya Kahama

    Kwanza kabisa niwasalimu ndugu wote wana jf, mimi nikijana mwenye 25yrs, elimu degree, naishi kahama, nimekuja mbele zenu kwa unyenyekevu mkubwa naombeni kwa yeyoyote. Mwenye connection ya ajira iwe rasmi ama isiwe rasmi hata ukondakta niko tayari kufanya kwa uaminifu mkubwa na moyo wangu wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…