Msaada: King'amuzi changu cha Azam kimegoma

d.one

Member
Jul 7, 2015
18
45
Habari za wakati wana jamii forum,

king'amuzi changu cha azam ghafla kimegoma kuonesha ili hali kila kitu kiko sawa kwa maana nkifunga kingine kina fanya kazi vizuri tu je shida inaweza kua nini hapo?

IMG_20210922_111343.jpg
 
Mtanzatozo

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
897
1,000
kam tv yko sio flat haiwezekani mkuu..😅 (Utani tu ndugu) mbaka error ina tokea kweny screen means kweny cable na na tv vpo sawa, cheki connection ya cable kama imelegea pin au haipo tight! then kata kipande cha wirw kwenye kichwa na ufunge tena! jaribu hvyo kwanza
 
Seth saint

JF-Expert Member
Oct 27, 2020
245
500
Wasiliana na mtoa huduma wako au disconnect decoder yako then uconnect tena.Kuna mda signal zinapotea kutokana na hali ya hewa au mtoa huduma ndio tatizo lipo kwake.
 
d.one

Member
Jul 7, 2015
18
45
Yah hapo naweza kukubaliana na wewe maake nkifunga king'amuzi kingine kina piga kazi fresh tu.... Swala inakuja je ina rekebishika?
 
😁😁😁 sema shida sio cable wala pin kuregea maana nikifunga kingine kinaonesha safi tu ila hiki hamna
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
6,112
2,000
Yah hapo naweza kukubaliana na wewe maake nkifunga king'amuzi kingine kina piga kazi fresh tu.... Swala inakuja je ina rekebishika?
Kama upo mikoani tembelea kwa mawakala wa azam, watakupa muongozo wa jinsi ya kukifikisha dar, wanakitengeneza buree, na kama upo dar, nenda ofisi zao pale tazara, watakirekebisha.
 
d.one

Member
Jul 7, 2015
18
45
Wasiliana na mtoa huduma wako au disconnect decoder yako then uconnect tena.Kuna mda signal zinapotea kutokana na hali ya hewa au mtoa huduma ndio tatizo lipo kwake.
Jamaa wana nambiaa nikipeleke tazara wakiangalie kwa maana nikisafirishe toka mkoa
 
d.one

Member
Jul 7, 2015
18
45
Kama upo mikoani tembelea kwa mawakala wa azam, watakupa muongozo wa jinsi ya kukifikisha dar, wanakitengeneza buree, na kama upo dar, nenda ofisi zao pale tazara, watakirekebisha.
Itabid tu niki safirishe maake ndo walivo nambia pia customer service
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
6,112
2,000
Itabid tu niki safirishe maake ndo walivo nambia pia customer service
Fanya hivyo, kwani hao mafundi wengine wataenda kukiua kabisa!!kama mwezi mmoja na nusu uliopita timu ya mafundi walizunguka baadhi ya mikoa na kutengeneza.
 
Seth saint

JF-Expert Member
Oct 27, 2020
245
500
Jamaa wana nambiaa nikipeleke tazara wakiangalie kwa maana nikisafirishe toka mkoa
Yeah, sema pia wana mawakala wao mikoani jaribu kuangalia kama mkoa uliopo kuna wakala maana wanakuwa na mafundi pia.Ila kama wamekueleza hivyo basi fanya ufike ofisin kwao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom