msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Kondomu zimeadimika, nini tatizo?

    Nakumbuka hizi condom zilikuwa zimetapakaa kote katika sehemu za wazi kla mtu anachukua bure. Sasa hivi ni "almas" maana hazipatikani na zikipatikana ni bei kubwa -- a pack of 3 per 1,000 Kulikoni? Au kwa Msaada wa watu wa Marekani ilisitishwa? na kama ni hivyo kwanini walisitisha?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuappeal mwaka huu HESLB na sijafanya usajili bado na kwenye appeal form wanahitaj reg no, nafanyaje hapo?

    Naombeni msaada wa hilo swali plz kwani sielewi mpaka sasa nifanye nini angali sijapata registration no ya chuo kutokana na kukosa ada ya kujisajili na form ya kuappel kuna kipengele cha kujazwa reg no
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Majibu ya vipimo vya UTI kufotautiana ndani ya lisaa limoja nini tatizo

    Wiki kadhaa nilikuwa nasumbuliwa na UTI baada ya kupata vipimo katika kituo cha afya X na doctor akanishauri nitumie dawa make alisema sio nyingi ni ya kawaida ..baada ya kumaliza dozi ikabidi nirudi kujiridhisha kama nimepona ugonjwa ila cha ajabu majibu yakatoka kuwa nina UTI ya kutosha kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu wa haraka

    Ndugu wanajamii, nawasalimu. Mimi ndugu yenu nina shida na ninahitaji msaada wenu ili niweze kukabili hii hali inayonisumbua. Tatizo langu ni kukata tamaa mapema, siwezi kupigania kitu nakipenda na kukihitaji na mpaka sasa naona nitapoteza mwelekeo. Niko kwenye mahusiano na huyu mwanaume...
  5. JamiiForums Tanzania Mtoto mchanga wa wiki mbili anapata maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa

    Habari madoctors!! Mwanangu ana wiki mbili toka azaliwe lakini ameanza kupata changamoto ya maumivu akitaka kujisaidia haja kubwa maana kanalia kakitaka kunya na pia hadi makalioni kamekuwa na rangi ya uwekundu. Naomba mwenye experience na hili suala anisaidie.
  6. JamiiForums Tanzania Ni zipi taratibu za kuanzisha chama cha siasa Tanzania?

    Salamu wakuu, Naomba kufahamu taratibu za kuanzisha chama cha siasa. Ahsanteni..
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nitawezaje kutoa msaada huu kwa wahitaji?

    Nina mavazi ya kiume ya mtu mzima. Mashati, suruali, makoti, viatu, mabegi,mashuka nk Mengine yamewahi kutumika na kuna mengine hayajawai tumika. Naamini kuna watu wanauitaji wa hivi vitu kuliko mimi kuviteketeza. Kwa mwenye kufahamu namna naweza kuvifikisha kwa wahitaji. Iwe wazee, watoto nk...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba

    Wasaalm wanabodi Kama kichwa cha habari kilivyo, Kijana wenu usiku wa leo nimeibiwa nyaya na vifaa vya wiring ya nyumba. Nomba msaada mtaalam wa kuweza kufanikisha vikarudi au mwizi kupatikana. Niko Morogoro mjini. Mnakaribishwa PM Picha Update* November 8, 2021 Wakuu nashkuru sana kwa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Je, nahitaji kibali kumiliki silaha hii?

    Hii kitu nayo nahitaji kibali kwa maana ya licence to carry or licence to own. Wazee wa kamati ya ulinzi na usalama tukumbudhane, nataka kuagiza kwa mchina, manake majuzi vibaka wameua mbwa wangu na wakaingia uani na kukata dirisha, bahati madifisha yangu sikutumia flat bar bali nondo, hivo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri ujenzi wa dali ya moto na zege

    Habari za weekend wadau. Nimetokea kupenda design hii ya dali ambayo miti na zege vimetumika kuremba muonekano. Je kwa wataalam ni miti gani inafaa?. Nini hasara na faida ya ujenzi huu (gharama vs steel reinforcement, mazingira, uwezo wa kudumu n.k) ?
  11. JamiiForums Tanzania Je, mazoezi haya wakati wa kuyafanya unatakiwa kubana pumzi?

    Natumai muko njema bandugu. Msaada wenu bandugu,,,mazoezi haya wakati wa kuyafanya unatakiwa kubana pumzi??? Na je, usipobana pumzi inakuwaje? Nitashukulu sana mukinisaidia na Mungu atawabaliki. Zoezi la kukimbia Kegel Push up Gym Zoezi la kuchuchumaa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Haraka: Rafiki yangu kagundua Mchumba wake ni Msaliti, kachanganyikiwa hajui la kufanya Mpaka sasa

    Habari Wana JF. Kuna Rafiki yangu nimesoma nae chuo, Sasa alikuwa na Mpenzi wake wa karibu na wamekaa takribani Miaka 4,ila Kwa bahati mbaya yeye huyo jamaa na Mchumba wake Wanaishi Mikoa Tofauti,ila mara kadhaa Binti huenda kumtembelea jamaa yake.Na wanapendana Sana tu. Sasa Changamoto kubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbeya, Kahama ma Dodoma naombeni msaada wenu

    Kichwa cha habari kinajieleza, kwa wakazi wa maeneo tajwa hapo juu natarajia kufungua library ya kuuza na kukodisha CD. Sasa naombeni ABC zote za maeneo niliyotaja hapo juu, sehemu kwenye mzunguko mkubwa wa watu, sehemu biashara hiyo ya CD inatoka kwa wingi. Natarajia kufungua ofisi kubwa sana...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Utunzaji Fedha

    Wapendwa mimi ni binti wa miaka 25 naishi kibaha nipo mbele yenu nikiomba ajira mnisaidie naamini humu kuna watu mbali mbali pls nikomboeni mimi 😭. Elimu yangu ni stashahada ya utunzaji fedha (niwe mkweli sijawahi fanya hii kazi toka nimalize chuo sijafanikiwa kupata kazi ya fani yangu) ila ni...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Je kuna ulazima kwa developer kujua kila component ya ide

    HABAR WADAU hope wote mpo poa Leo nina maswali mengi sana wadau nilitaka nifungue uzi mmoja niweke mada zote ila nikaona nitawachanganya wadau ngoja nifungue kila kitu na uzi wake uzi huu niliwahi kuuandika apo nyuma sema sikuwa na screenshoot ivo mada ikakosa mashiko leo sasa twende pamoja pia...
  16. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yasitisha Msaada kwa Sudan

    Benki ya Dunia (WB) imesitisha Msaada kwa Sudan baada ya Jeshi la Taifa hilo kufanya Mapinduzi dhidi ya Utawala wa Kiraia mapema wiki hii Kusitishwa ghafla kwa Msaada huo kunaweza kuwa na matokeo mabaya kwa Uchumi wa Sudan, wakati huu ambapo unaanza kurejea katika hali yake Maamuzi...
  17. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa vyombo vya majini?

    Msaada kwa wataalamu wa vyombo vya majini; FIRE BARGE ndio nn, na bei zake zikoje?na Identification barge with name and check number inauzwaje pia?
  18. JamiiForums Tanzania Ujerumani imepata Tanzania msaada wa Euro milioni 71, sawa na takriban Sh190.5 bilioni

    Ujerumani imeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 71, sawa na takribani Sh190.5 bilioni kwa ajili ya kutekeleza miradi kadhaa ikiwemo maji, uendelezaji wa maliasili na utalii, afya ya mama na mtoto pamoja na mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia. Taarifa iliyotolewa na kitengo cha...
  19. JamiiForums Tanzania Mkopo kwa wanaoendelea majibu huwa yanatokaje wakuuu msaada

    Msaada wakuu naombeni kujua kuhusu utaratibu wa majibu kwa walio omba mkopo kwa wanaoendelea huwa yanatokaje
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Nini Maana ya Cookies?

    Katika kuperuzi mitandao mbalimbali nimekutana na hii kitu "website hii inatumia cookies " na wanakupa option ya kukubali na kuendelea kuperuzi mtandao husika. Nachopenda kufahamu ni; 1. Cookies ni nini? 2. kwanini wanatumia cookies? Naomba wenye uelewa na hili wanieleweshe.Asante
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…