msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wajuvi wa cryptocurrency msaada wenu tafadhali

    Mfano nimedepost usd 50 kwenye crypto wallet nikanunua ethereum coins za thaman hiyo nikazi-hold,.. baadae ethereum coin zikashuka sana thaman sokoni zile usd 50 zikapukutika. Je, wallet yangu itasoma negative (- 50) ili soko ilikipanda zipande tena ama wallet itasoma zero kabisa yani hamna...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada! Kozi za kusoma online kwa hapa Tanzania

    Umuofia kwenu, Mimi ni muajiriwa wa serikali katika kada moja nikiwa na ngazi ya diploma kutokana na mabadiliko mbali mbali ya kimfumo na kimikakati imenilazimu nitafute degree kwa njia ya online. Kwa sasa nipo dar kwa yeyote ambae amewahi kusoma online degree tafadhali naomba muongozo wake...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: kesi ya ajali ya pikipiki

    Wakuu wanasheria natumaini mko poa. Nilinunua pikipiki juma tano na niliambiwa kuwa kadi haijafika tukapewa chases number tukarudi. Jumamosi nikiwa safarini nikaambiwa dogo amegonga mtu na huyu dogo hana lesen. Kachukuliwa yeye na pikipiki yeye aliwekwa mahabusu then kuna mtu kaenda kumuwekea...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada Von refrigerator

    Wakuu habar. Kuna mtu anataka kuniuzia fjiji Aina ya Von milango miwili. Ni friji dogo. Sasa sina utaalam na friji na hata muuzaji hafaham linatumia unit ngap Kwa siku. Mwenye kujua Kwa kuangalia specification hizi anisaidie.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada; Naweza vipi Kupata API ya benki ya NMB.

    Wakuu nina ofisi inayonajishughurisha na software development, Juzi nimepata mteja ambaye anataka "School Management System" lakin anataka malipo yakifanyika kwenye account ya shule yaonekane kwenye system. Na hili ili liwezekane nilazma nipate API ya bank ya account husika. Kama kuna mtu...
  6. JamiiForums Tanzania Msaada mwepesi na waharaka wa kubadili TIN namba isiyokuwa ya kibiashara kwenda ya kibiashara

    Naona Staff wa TRA wa uku nilipo siwaelewi kabisa,wanafanya mambo yawe magumu... Mwaka 2017 nikiwa Dar es salaam nilipata TIN namba lakini ilikuwa si kwa ajiri ya biashara (non business use),niliipata nkiwa ktk harakati za mafunzo ya udereva. Kwa sasa nipo mkoa wa nyanda za juu uku ktk...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka wana jamvi la sheria Jumatatu nahitajika mahakamani

    Yapata miezi kama kama miwili imepita Tangu nilipobomolewa mlango wa nyumba ya kupanga mida ya mchana na nikaibiwa vitu kadhaa ikiwepo TV , radio, pesa , vyombo na vitu vingine. Wakati Tukio linafanyika nilikuwa kazini na wife nae alikuwa safari so nyumbani hapakubaki mtu. Baada ya...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata kibali cha Masomo(study permit) nchini Afrika Kusini

    Habarini wanajukwaa, niko hapa mbele yenu nahitaji msaada wa mtu yeyote mwenye idea ya study permit ya South Africa 🇿🇦 au hata ambaye aliyekwishwa omba na kuipata. Je ni Nini kitakufanya uipate au pia ukose visa hiyo. Huwa wanaangalia sana documents gani wakati wa ukaguzi ( submission ) wa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati BBA na BBM

    Naomba kujua tofauti kati BBA na BBM hizi course kwani zinautofauti? Msaada wenu nahitaj kujua kwa undani
  10. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kurudia somo moja

    Habari zenu wakuu. Nilimaliza form four mwaka 2018 kwa ufaulu wa division 3 ya 24, lakini nilikua na F moja ya Mathematics hata hivyo nikachagulia na TAMISEMI kusomea coz ya marketing ndiyo ninayosoma Hadi Sasa. Nataka ku risiti nirudie SoMo moja la mathematics ambalo nilipata "F" form four...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata eneo zuri la biashara ya uwakala wa benki Iringa Mjini

    Habari zenu wakuu, msaada wa eneo zuri kwa ajili ya kufanya biashara ya uwakala wa benki kwa hapa Iringa Mjini. Kama wanaoufahamu mji vizuri ni wapi naweza pata eneo na pakavutia hii biashara. Asante. PM iko wazi pia!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani

    Habari wakuu Naomba kujua hawa ajira portal wanatumaga email (Confirmation email)mda gani Mara baada ya kujiunga Natanguliza shukrani.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Msaada aliyewahi kuagiza mzigo kutoka China kwa njia ya meli kupitia silence ocean au kampuni yoyote

    Habari wana jf kwa anayefahamu kiasi gani kitanikosti nikisafirisha mzigo wa kilogram 50 na mzigo wa kilogram 100 kupitia kampuni za hapa bongo zitakosti Bei gani? Tafadhali naomba nijue kwa anaye fahamu asanteni
  14. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kuhusu mawasiliano yangu ya simu

    Habari za mda huu waungwana, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nimekuwa nikisumbuka sana juu ya laini yangu ya tigo kutopatikana na iko hewani. Watu tofauti walipokuwa wakinipigia walikuwa wakipewa ujumbe huu.''Namba unayopiga haipatikani kwa sasa" Cha kushangaza Mnara unasoma...
  15. JamiiForums Tanzania Nimekua na uraibu wa sauna muda mrefu sana

    Habari zenu ndungu zanguni, Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,naomba Daktari anisaidie kuhusu kitu kinacho itwa SAUNA. Najua wengi tunafahamu kuhusu SAUNA,nimekua na uraibu wa sauna mda mrefu sana,nikiwa mapumzikoni jioni lazima niende nikatoke jasho. Je, Madaktari mnasemaje kuhusu...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa namba/ mawasiliano ya Clearing and Forwarding Agent wa Namanga Arusha

    Habari za majukumu wakuu, Kuna mzigo nataka kuingiza kupitia border ya Namanga, Arusha. Ombi langu ni kwa mtu anayejua kampuni au mtu ambaye ni Clearing and Forwarding Agent anayefanyia kazi pale border anipatie mawasiliano yake. Nipo mbali na eneo hilo ndio maana nimeomba msaada huo...
  17. JamiiForums Tanzania Mapenzi: Dogo katendwa na Baba Mkwe, anahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi kuliko Vitisho vya Polisi

    Siku zote natamani sana sana nchi yetu ingekua na vitengo vya wanasihi, sio kila kitu kinahitaji polisi na kutumia nguvu. Mfaano mzuri ni huyu kijana ambaye kwa majibu wake ni kwamba Baba mkwe kavunja ndoa yake iliyodumu tangu 2012-2021. Miaka Tisa ya mahusiano si michache. Katika kutafuta...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Alama hii ina maana gani?

    Nimekutana na hiyo alama maeneo ya Mataa ya Kipawa karibu na uwanja wa Ndege, je ina maana gani?
  19. JamiiForums Tanzania Davido kutoa msaada wa 68M kwa Yatima baada ya kuchangiwa pesa na mashabiki

    Nyota wa muziki miondoko ya Afrobeats Davido anasema atatoa naira milioni 250 ($608,000; £450,000) kwa mayatima nchini Nigeria baada ya mashabiki wake kumtumia pesa. Mapema wiki hii, mwanamuziki huyo maarufu aliwaomba mashabiki wanaoamini kuwa "Aliwapa wimbo mzuri" kumtumia pesa kwenye akaunti...
  20. JamiiForums Tanzania Mwenye history ya Patrick Lumumba msaada jamani

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…