Habari zenu,
Dada yenu nimekwama tafadhali naomba mnisaidie,
Nimekodi meza ya biashara soko la Tandika, nimeanza kwa kuuza nusu balo la skin jeans na nusu balo la blouse. Wiki sasa inakata mzigo hautoki mpaka nahofia kula pesa ya mtaji.
Naomba kama kuna yeyote anaweza nisaidia balo la nguo za watoto nimuuzie hapa mezani ili nisikate mtaji maana nguo za watoto hapa nilipo zinatembea sana tofauti na mzigo wangu, hata kwa kuhesabiana kila jioni niko tayari. Tafadhali wakuu msaada wenu unahitajika sana.