msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimekua na uraibu wa sauna muda mrefu sana

    Habari zenu ndungu zanguni, Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,naomba Daktari anisaidie kuhusu kitu kinacho itwa SAUNA. Najua wengi tunafahamu kuhusu SAUNA,nimekua na uraibu wa sauna mda mrefu sana,nikiwa mapumzikoni jioni lazima niende nikatoke jasho. Je, Madaktari mnasemaje kuhusu...
  2. Msaada wa namba/ mawasiliano ya Clearing and Forwarding Agent wa Namanga Arusha

    Habari za majukumu wakuu, Kuna mzigo nataka kuingiza kupitia border ya Namanga, Arusha. Ombi langu ni kwa mtu anayejua kampuni au mtu ambaye ni Clearing and Forwarding Agent anayefanyia kazi pale border anipatie mawasiliano yake. Nipo mbali na eneo hilo ndio maana nimeomba msaada huo...
  3. Mapenzi: Dogo katendwa na Baba Mkwe, anahitaji msaada wa kisaikolojia zaidi kuliko Vitisho vya Polisi

    Siku zote natamani sana sana nchi yetu ingekua na vitengo vya wanasihi, sio kila kitu kinahitaji polisi na kutumia nguvu. Mfaano mzuri ni huyu kijana ambaye kwa majibu wake ni kwamba Baba mkwe kavunja ndoa yake iliyodumu tangu 2012-2021. Miaka Tisa ya mahusiano si michache. Katika kutafuta...
  4. Msaada: Alama hii ina maana gani?

    Nimekutana na hiyo alama maeneo ya Mataa ya Kipawa karibu na uwanja wa Ndege, je ina maana gani?
  5. Davido kutoa msaada wa 68M kwa Yatima baada ya kuchangiwa pesa na mashabiki

    Nyota wa muziki miondoko ya Afrobeats Davido anasema atatoa naira milioni 250 ($608,000; £450,000) kwa mayatima nchini Nigeria baada ya mashabiki wake kumtumia pesa. Mapema wiki hii, mwanamuziki huyo maarufu aliwaomba mashabiki wanaoamini kuwa "Aliwapa wimbo mzuri" kumtumia pesa kwenye akaunti...
  6. Mwenye history ya Patrick Lumumba msaada jamani

  7. Msaada: Namna ya kununua shiba coin

    Wakuu tafadhali mwenye kujua ABC about shiba coin namna ya kuji-regist; kununua...nimevutiwa na aina hii ya uwekezaji wa pesa ya kidigtal Mwenye kujua steps by steps tafathali anielekeze, niko tayari hata nimpoze ya voucher kwa usumbufu na muda atakaokuwa amepoteza. Nawasilisha.
  8. Kozi ya Construction Management ajira zake zipoje?

    Msaada kuhusu construction management endproduct yake anakuwa mtu gani na ajira zake zikoje Naomba msaada wa hio course wakuu
  9. Msaada wa taarifa - natafuta empty glass bottles

    Naomba kujua - kwa anayefahamu - mahali ninakoweza kununua chupa tupu za glass za robo lita, nusu lita na lita moja kwa ajili ya kuhifadhia vitu mbalimbali. Natanguliza shukrani.
  10. D

    Msaada kuhusu St Teresa of avila girls Secondary school

    Habari wana jf, Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada. Naomba mwenye mawasiliano ya shule tajwa hapo juu ya St Teresa of avila girls Secondary iliyopo MWANGA, KILIMANJARO. Nimejaribu kutafuta address zao kwenye website nimepata namba ambazo hazitumiki kwa Sasa. Naomba...
  11. MSAADA: Naomba mwenye ujuzi wa mashine za kubeti anisaidie tafadhali

    Ndugu, habari za wakati huu. Bila kupoteza muda ningependa kuomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa juu ya zile mashine ambazo zinatumiwa kwa ajili ya kubeti mfano, premier bet, pm bet n.k Naomba kujua cost ya kuwa wakala au kununua. Pia naomba kujua commission yake kwa mwezi, namna ya...
  12. Msaada kwa watumiaji wa Microsoft Word au Any text editing software

    Mimi ni mwandishi mchanga wa vitabu, nimekutana na hii document somewhere; naomba kuuliza kwa Anayefahamu jina la font hizo kwenye picha hii
  13. Hili ndilo desa la Kibatala kwa msaada wa KAS ya ujerumani

    Discrediting Evidence in a Criminal Trial Discrediting evidence can be the best line of defense. By Deborah C. England Types of Evidence In general, three types of evidence will typically be offered at trial: testimonial evidence (statements of witnesses on the stand); physical evidence (such...
  14. Msaada wa kutuma mzigo Rwanda

    Habari ya asubuhi? Naomba kupewa namna mbali mbali niweze kufikisha mzigo (simu) rwanda. Leo hii Ahsante
  15. H

    Wapi nitatibiwa Deviated septum?

    Habari za muda huu ndugu zangu. Kwa muda mrefu nimegundua nina tatizo kitaalam linaitwa Deviated septum,hivyo nahitaji kwenda kufanyiwa operation yaani septoplasty, Tatizo langu naona limekua severe sana mpk kufikia pua moja kuziba kea muda mrefu kabla ya kupokeazana na ingine. Naomba kupata...
  16. I

    Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakazi CWT?

    Msaada wa kisheria: Nitawezaje kujitoa kwenye chama cha wafanyakaz cwt? Ikumbukwe sijawah hata kujiunga nacho ila nakatwa makato ya 2%?
  17. Msaada Biashara ya Vijora

    Wapendwa salaam! Amani ya Mungu baba muumba iwe juu yetu sote! Jamani mwenzenu nilikuja humu ndani kuuliza biashara ya vyombo ila nasikitika sana sikufanikiwa katika biashara ile kwani nilipata mtihani wa maradhi! Pesa yote ikaisha! Mimi naishi Dar, Nimevutiwa sana na biashara ya Vijora ila...
  18. Msaada kuhusu biashara ya kuagiza laptops nje ya nchi

    Wakuu salaam sana. Nimepata kamtaji kidogo nataka nijiongeze nianzishe biashara ya kuagiza laptops used toka Uk. Tayari nina contacts na suppliers kadhaa ambao wameonesha utayari wa kufanya nao biashara. Tatizo langu kubwa na lilofanya niombe ushauri ni kuhusu kiwango cha kodi wanachotoza kama...
  19. R

    Msaada: Hii ina maana gani? Kwanini wasiandike Judgement wanaandika ORDER of the Court?

    Nimekuwa nikikutana na hii kitu hapo juu marakwa mara. Ina maana gani. Judge anaandika Order of the Court badala ya kuandika Judgement anaposikiliza pingamizi. Naweka hii order muione . Halaf hiyo kesi ya tarehe 12 nai attach for convinience and quick reference...
  20. N

    Sifa hizi za kocha mpya wa klabu ya Simba, zina msaada wowote kwa timu?

    Imekuwa kila kukicha tunaelezwa uzoefu wa mwalimu mpya wa klabu ya Simba kwamba ametokea katika kufundisha timu kubwa na kwamba anafahamiana na walimu wengi na wakubwa katika mataifa ya nje. Swali langu ni je; sifa na umaarufu wa mwalimu huyo unamchango gani kwa klabu ya Simba?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…